nguruwe

Nguruwe
Nguruwe ni wanyama wa familia Suidae. Nguruwe-kaya hufugwa kote duniani. Nguruwe ni jamii ya wanyama wasiocheua, na wenye kwato zilizogawanyika. Wanyama wengine walio kwenye jamii hii ni pamoja na Nguruwe pori na Ngiri.
  1. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Wakristo Kwanini tunakula viumbe vyote ambavyo Mungu aliruhusu lakini tunachagua na kubagua vilivyokatazwa akiwemo Nguruwe?

    Huwa nashangaa sana ni vipi kila kiumbe ambacho Mungu alituruhusu kula huwa kinalika bila tatizo na ni salama kwetu lakini linapokuja suala la viumbe ambavyo alivikataza huwa kuna ubaguzi, mfano viumbe kama nzi, nyau, punda, mjusi na panya watu wanabagua lakini kwa wakati huo huo wanakula...
  2. McCollum

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ugonjwa wa nguruwe wadogo kuwa na haja kubwa iliyoambatana na maji (kuhara)

    Habari kwa wanajukwaa. Kwa leo naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Naulizia je huu unaweza kuwa ugonjwa gani hasa kwa vinguruwe vidogo kutoa haja kubwa ambayo inakuwa kama uji uji mwepesi na mara nyingi wanakosa hata nguvu ya kutembea. Ninaulizia ili niweze kuujua ugonjwa huu na kuwapatia...
  3. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Njombe marufuku kula nyama ya nguruwe.

    Serikali Wilayani Ludewa Mkoani Njombe imepiga marufuku ulaji wa nyama ya Nguruwe, kuingiza mfugo wa Nguruwe pamoja na kutumia mazao yoyote ya Nguruwe ikiwemo Damu, samadi, mifupa na nywele kwa muda usiojulikana isipokuwa kwa idhini ya Daktari wa mifugo wa Wilaya hyo. Taarifa iliyotolewa na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Chaka la simba halilali nguruwe

    Kuna hofu kubwa imetanda juu ya mwelekeo wa uongozi wa Mama Samia kulingana na matukio mengi yanayojitokeza kila siku iwe ya Ukiukaji wa maadili, uvunjaji sheria, haki na Usalama wa Wananchi upo mashakani. Kuna hofu kubwa imetanda mioyoni mwa watu kama ugonjwa ya Uviko maana hawajui hata...
  5. Iziwari

    JamiiForums Tanzania Bei ya gunia la mashudu ya mafuta ya alizeti: Chakula bora cha kuku Nguruwe Sungura na wanyama wengi

    Bei ya gunia la mashudu ya mafuta ya alizeti: Chakula bora cha kuku Nguruwe Sungura na wanyama wengi. Best Price for Suck of Sunflower meal or Seeds. Mashudu ya mafuta ya alizeti ni chakula cha mifugo ambacho kina thamani kubwa sana. Chakula hiki kina weza kutumika na wanyama kama Kuku, Bata...
  6. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Nguruwe hafugiki jangwani iweje mseme haramu wakati ngamia kwetu hafugiki sehemu zisizo na jangwa

    Tukiseme dini tumletewa ila kuna watu watakimbilia sijui kimeshushwa sijui kimeleta sayansi wataki hiko kitabu kimekuta sayansi teyari na mapiramidi yashajengwa. Jambo lilonileta hapa kila mnyama aliyepo duniani anaishi kulingana na eneo la kijografia alipotoka tokea dunia kuanza ndio maana...
  7. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Arusha: Pale kwa Mromboo nimelishwa nyama ya nguruwe

    Hapo vip!! Leo siku ya mwaka mpya, nikaona nimalizie siku pale kwa murombo kwa lengo la kupata nyama ya kuchomaa, nilipo ingia pale nilikuta pako busy sana ila nilipo waangalia watu wengi waliopo pale ni watu wa class ya kawaida sana ila wengi wanakunywa pombe sana. Anyway nikaona sio hiyana...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Mamluki wa Urusi, Wagner group wauawa kama nguruwe

    Hivi kuna nini Bakhmut hadi Warusi wameamua kujitoa mhanga almradi wasiipoteze, wanauawa kila siku lakini wamekomaa kishenzi hadi wanatia huruma, jameni mbona Putin atakua na wakati mgumu kueleza Warusi nini ilikua maana ya uchizi wote huu...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Nauza nguruwe dume niko Dodoma

    Habari wanajamvi Kama kichwa cha habari kinavyosomeka Mimi ni mfugaji wa nguruwe napatikana maeneo ya Ntyuka Dodoma. Nauza dume kubwa kabisa kwa mahitaji ya kufuga au Kuchinja Umri: mwaka mmoja Aina: largewhite *landrace Mawasiliano: 0672493720/ 0717201982
  10. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Kati ya samadi ya ng'ombe, mbuzi, kuku, nguruwe, Sungura nk. ipi ni bora zaidi shambani?

    Wadau mbalimbali wa kilimo na ufugaji, ninaomba muongozo wa namna bora ya kutumia Samadi ya asili shambani. Kwa kuanzia, nilitaka kufahamu, Samadi ipi ya asili inafaa shambani kwa kilimo cha mboga mboga, matunda au mahindi? Je, kati ya kinyesi cha ng'ombe, mbuzi, Kuku, Nguruwe, Sungura ipi ni...
  11. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi walaji wa kitimoto walivyo hatarini kupata magonjwa

    Walaji wa nyama ya nguruwe nchini wako hatarini kupata magonjwa mbalimbali kikiwamo kifafa kutokana na maandalizi duni ya kitoweo hicho maeneo ya baa na nyama hiyo kutokaguliwa na wataalamu. Pia, kukosekana kwa machinjio za nguruwe za kutosha ni changamoto nyingine inayosababisha watu kuchinja...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sensa ya Watu na Makazi: Tuliulizwa kama unafuga ng'ombe, mbuzi, kuku. Lakini kwanini hatukuulizwa kama unafuga Nguruwe na Mbwa?

    Ina maana kama Taifa hatuhitaji kujua hali ya ufugaji wa huu mfugo utupatiao kitimoto kilicho mkipenzi cha wengi? Je, hakuna mpango wa kuendeleza ufugaji wa nguruwe? Je hakuna haja ya kujua tuna mbwa wengi kiasi gani? Kama ni hivyo tutapangaje mpango wa kuwachanja mbwa dhidi ya kichaa cha mbwa...
  13. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kwanini nguruwe huwa wachafu sana?

    Kama unawajua vyema, nguruwe ni moja ya wanyama wasafi na wenye akili sana duniani. Sasa kwanini wanasifa ya kuwa wanyama wachafu sana? Kuna mawili. 1. Nguruwe huwa hawana tezi za kutolea jasho. Wala hawawezi kupunguza joto kwa kutoa ulimi kama mbwa. Hilo linafanya wahitaji mazingira yenye...
  14. Mokaze

    JamiiForums Tanzania Kumbe viungo (organs) vya nguruwe vinashabihiana na viungo vya binadamu !! 😱.

    Wakuu hii threads haihusiani na masuala ya imani za kidini, ni katika kujiuliza tu; ni kwanini Wanyama hususani jamii ya nyani ambao ndio tunashabihiana nao sana, hawatumiwi sana katika tafiti za tiba kwa ajili ya kupata viungo vya kupandikizwa watu wenye mahitaji ya viungo kama; figo, moyo...
  15. ward41

    JamiiForums Tanzania Kibiblia, nguruwe ni halali kuliwa

    Huu hapa ufafanuzi Dunia hii imepita Kwenye vipindi tofautitofauti na ni Mungu ndiyo anaongoza hivi vipindi. Kipindi Cha kwanza: Mungu anatoa Sheria ya wanadamu kula matunda tu. Hili tunaliona Kwa Adam na Hawa Kipindi Cha pili. Mungu anatoa maelezo ya wanadamu kula vyakula vyote isipokuwa...
  16. Gama

    JamiiForums Tanzania Sasa nguruwe wanaenda kuiangamiza dunia

    Kutokana na matumizi yasiyofaa ya dawa jamii ya ANTIBIOTICS kwa nguruwe, sasa nguruwe wamekuna GENES ambazo zinamfaya nguruwe asiweze kutibiwa kwa dawa za jamii hiii pale anapopata magngwa yanayohitaji kutibiwa kwa dawa za jamii hii. hatari hii huedna itapasishswa kwa binadamu hasa wale...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Je hiki kinaashilia nini kwa nguruwe?

    Habar natumaini mu wazima Nguruwe wangu anatoa ute mweupe sehemu yake ya Uke Kiumri ana miezi 8. Naomba kujua hiki kinaashiria nini? NB:hajawahi kupandwa wala kubeba mimba
  18. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Sheikh apigwa miaka 5 baada ya kuua nguruwe

    Bila shaka sheikh alidhani yuko Riyadh Saudi Arabia. Tiririka nayo. Mtu mmoja nchini .Rwanda amehukumiwa kifungo cha miaka 5 baada ya kuua nguruwe Mashahidi watatu wamedai kumuona imam sadate Musengiana akimpiga nguruwe na kumuua hapohapo. Wakili amedai mteja wake alimuua kwa bahati mbaya...
  19. gimmy's

    JamiiForums Tanzania Nguruwe wangu anatatizo la kukojoa mfululizo mara tu baada ya kunywa maji hayakai tumboni anayakojoa yote papo hapo

    Wanajukwaa wenzangu kama yupo mwenye majibu ya tatizo naomba maelekezo, Ukweli tanzania tunasafari ndefu kwani ukosefu wa maabara za mifugo umewafanya ma afisa mifugo kuwa wapiga ramli chonganishi kwenye matibabu ya mifugo yetu. Natanguliza shukrani!
  20. Nguku Wakabange

    JamiiForums Tanzania Nguruwe wangu ametokwa na mapele kuzunguka titi

    Habari za hapa wanajamii forum!! Naombeni msaada wenu kwa wanaojua tatizo la nguruwe aliekaribia kuzaa (amebakiza wiki 1) kutokwa na mapele kuzungukia titi. mapele haya yalikuwa na hali tofauti yalipo anza ukigusa mengine magumu na mengine malaini lakini hayatoi usaha na cha ajabu sahivi...
Back
Top Bottom