nguruwe

Nguruwe
Nguruwe ni wanyama wa familia Suidae. Nguruwe-kaya hufugwa kote duniani. Nguruwe ni jamii ya wanyama wasiocheua, na wenye kwato zilizogawanyika. Wanyama wengine walio kwenye jamii hii ni pamoja na Nguruwe pori na Ngiri.
  1. Nsumba ntale tz

    JamiiForums Tanzania Kama una eneo Dodoma lipo tu hulifanyii kazi tuwasiliane tufuge nguruwe

    Habari wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza kama una eneo halina kazi naomba tukutane, ili tuone kama tunaweza kushirikiana tufuge nguruwe kama washirika mimi nina mtaji wewe eneo. Eneo lisiwe nje sana ya mjini Tafadhari tuwasiliane PM Mrejesho: Nimeshapata eneo tayari ahsante JF
  2. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Virusi vya Corona viwe somo kwa aina mpya ya virusi vya homa ya mafua ya nguruwe viliyogunduliwa China

    Tangu mwanzoni mwa mwaka huu watu wengi wamekuwa wakiongelea janga la virusi vya corona ambalo limetikisa dunia nzima. Watu wote wameguswa na ugonjwa huu wa COVID-19 kwa namna moja ama nyingine, mana kama si ndugu yako kuugua ugonjwa huu basi ni rafiki au jirani yako. Lakini nchi na mtu mmoja...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Virusi vipya ambavyo vinaweza kusababisha mlipuko duniani vyagunduliwa China

    Aina mpya ya mafua ambayo inaweza kuwa janga kubwa la kiafya imegunduliwa na Wanasayansi nchini humo. Mafua hayo ni aina mpya ya virusi na kutokana na hilo, inawezekana binadamu wana kinga mwili ndogo ya kupambana nayo au hawana kabisa. Imeelezwa kuwa mafua hayo yapo kwa nguruwe lakini binadamu...
  4. Abdallahking

    JamiiForums Tanzania Mkuki Kwa Nguruwe (Kisa Cha Kweli)

    Mkasa : MKUKI KWA NGURUWE Mwandishi: MSUYA M MSUYA (EMUTHREE) Imeletwa kwenu na: BURE SERIES SEHEMU YA 1 Ni kisa na mkasa, chenye mafunzo ndani yake, kinachotokana na ushauri wa kirafiki kati ya marafiki wawili. Ushauri uliokuja kuzaa mtafaruku hadi marafiki hawa wawili wakaja kuwa maadui...
  5. Agenda1

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kijana wa kuhudumia shamba la Nguruwe Dodoma

    Shamba liko nje kidogo ya Dodoma, ndio limeanzishwa. Malipo tutazungumza. Piga 0789464641. Wadau pia naomba tujuzane kama unamfahamu kijana mwaminifu na mwenye uhitaji.
  6. Ronee

    JamiiForums Tanzania Nahitaji piglets (watoto wa Nguruwe) kwa ajili ya ufugaji

    Wakuu mada tajwa hapo yahusika, Nahitaji kupata mbegu bora kwa ajili ya ufugaji, nikisema mbegu bora kwa mfugaji anaelewa. ingependeza hasa kwa alienao maeneo ya kanda ya Kati. Nipigie kwa 0689464641tufanye biashara.
  7. Tipperhendrix

    JamiiForums Tanzania Ninafuga, Ninachinja na Kuuza Nguruwe

    Habari. Nauza Nguruwe. Madume yaliyo hasiwa Yapo. Madume ya Mbegu Yapo. Na Majike ya Mbegu Yapo. Ukihitaji Nyama. Kilo 1 ni Tshs 8,000/= Kama unataka Nguruwe, au Kula Nyama ya Nguruwe. Piga simu au tuma Message kupitia namba +255738141339 au +255714313711 Kama upo WhatsApp, tumia namba hii...
Back
Top Bottom