nguo

  1. Mad Max

    Kuna brand za nguo zilitikisa sana aisee!

    Sijui ata brand izi zilipotelea wapi. Ila enzi zake zilisumbua sana. Phat Farm: Hawa walikua na nguo, na viatu. ((P)) FUBU DADA: Hawa majeans yao yalikua na mifuko ya nyuma mikubwa, kaunta buku haukunji. G-Unit: Hii ilikua clothing line ya wakina 50 Cent na wenzie. Sean John: Nadhani...
  2. Pakome

    Inaonekana kama Elon Musk anapenda Nudity, Twitter akaita X, Wikipedia akapendekeza Dickpedia, Grok kupata kashfa ya kuvua Wanawake nguo

    Binafsi sijajua ni kipi kilichopo kwenye akili ya Elon Musk, pengine ana uraibu wa ngono kwasababu matukio yake ya kashfa za ngono yanafuatana Baada ya kununua Twitter akabadilisha jina na kuitwa X lakini pia akaruhusu maudhui ya ngono hata za ulawiti X ni alama ya utambulisho wa ponografia kwa...
  3. figganigga

    Azam Sports Wamefuta Picha zote za Mwakinyo alizovaa nguo yenye picha ya Tundu Lissu

    Azam Sports Wamefuata Picha za Mwakinyo alizovaa nguo yenye picha ya Tundu Lissu. Mara ya kwanza walipost hii, kabla ya kufuta picha zote zinazomuonesha Tundu Lissu Katika Mchezo wa ngumi uliokiwa Ukirushwa Azam TV, Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo, alivaa t-shirt yenye picha ya Mwenyekiti...
  4. S

    Nicodemus amekamatwa na watu waliojitambulisha kuwa ni askari wakiwa na nguo za kiraia

    Anaandika Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa Instagram "Nicodemus Julius loyore Amekamtwa jana ofisini kwake walienda watu waliovaa kiraia wakajitamburisha kuwa ni Polisi wakamchukua na kuondoka nae Ofisi yao ipo mataa ya kamata jengo jeupe upande wa kulia kama ukiwa unaelekea mnazi mmoja...
  5. Sifi Leo

    Mlio karibu na Peter Msigwa na Wenje wambieni wavae sare za CCM za mama mitano Tena wapite barabarani waone kitakachojiri zaidi ya kuwachumu

    Je, Wenje na Peter Msigwa wakivaa nguo za CCM na kuvaa kale kakofia kalikoandikwa mama mitano Tena, tutawachumu au tutawapa zawadi gani? Mimi nitawachumu kwa busu la kenge. "Nyokorikoooooo" wewe je utawafanyaje?
  6. Hance Mtanashati

    Hakuna kununua chochote kwenye biashara ya msanii, iwe ni nguo, vipodozi, msiishie tu kuwa unfollow

    Boashara yoyote inayofanywa na msanii hakikisha haumuungishi, mkiacha kuwaungisha mauzo yatashuka, mwisho wa siku ataishia kufunga tu biashara yenyewe. Na si hivyo tu, hakikisha pia bidhaa zozote zinazotangazwa na msanii hununui, mauzo yakiporomoka ubalozi atavuliwa.
  7. Mshana Jr

    Taifa linavuliwa nguo

    Kama mifumo yetu ni dhaifu kiasi hiki basi maadui zetu siku wakiamua kutufanyia ubaya ni dakika tuu Kabil analeta mafunuo ya kutisha Sana.. Anatufunulia uchi wa nchi tunauona mpaka ndani.. Kuna vitu vikubwa Sana anatufundisha kuhusiana na usalama wa nchi kwenye upande wa hifadhi na ulinzi...
  8. Genius Man

    Kauli za Gerson Msigwa zinachochea moto zaidi na kujivua nguo kimataifa vyombo vya kimataifa ni vyombo huru haviingiliwi

    Kauli za Gerson Msigwa zinachochea moto zaidi na kujivua nguo kimataifa vyombo vya kimataifa ni vyombo huru haviingiliwi
  9. Kubwa la Maadui

    PostGE2025 Ushauri kwa serikali: Muungwana akivuliwa nguo huchutama

    Za asubuhi Sisi wengine umri wetu ni mdogo sana na tunapenda maendeleo na amani kwenye nchi yetu itawale na tupate mafanikio na kutimiza ndoto zetu kama nyinyi wazee na viongozi vijana mliopo serikali na popote pale mnapotoa huduma na kujipatia ridhiki. Kwahali inayoendelea kwasasa nchini sio...
  10. stakehigh

    Aliona sifa kuvaa nguo ya jeshi wakati wa maadamano

    https://youtube.com/shorts/pPZAeqHderM?si=vw04-V9jiV-rFFY1
  11. 4

    Nimepeza majembe yangu mawili ushauri tafadhali nizike nguo au wenda wakarejea?

    Wakuu Mungu ndo kila kitu kwangu na ananijua vizuri nje na ndani , nami nashukuru kwa kila jaribio kwangu. Vijana wangu walienda salimia siku ya tarehe 27 huko Misumi kwa siku mbili kwamba warejehe nyumbani tarehe 29 , ikiwa ni pamoja na kutimiza haki zao za kikatiba ,mpaka wanaagq iyo siku...
  12. Waufukweni

    PostGE2025 Video: Wananchi wazika nguo na viatu mara baada ya mwili wa marehemu aliyeuawa na polisi kutopatikana

    Wananchi, wakiwa na huzuni na mshikamano, walizika nguo za marehemu aliyeuawa na polisi baada ya mwili wake kutokupatikana ishara ya kuenzi utu na kupaza sauti ya haki.
  13. Kimbesa11

    Tumeona watu wakirudisha mitungi ya wizi nyumbani, wakuiba nguo za watu madukani, wakichoma vituo vya mafuta, tunaomba hukumu zitolewe mapema wafungwe

    Unajisikiaje unapotumia mitungi ya gesi ya wizi kupitia maandamano? Unajisikiaje kuchoma duka/Sheria za watu? Unajisikiaje unapochoma gari la mbao limekukosea Nini? Unajisikiaje kubomoa miundombinu ya mwendokasi ambayo unatumia mwenyewe? Unajisikiaje kuvunja ATM ili kuiba hela za sisi ambao...
  14. thriftwaika

    Nguo za Mtumba kwa jumla na Rejareja

    Jina la biashara ni thriftwaika au kwa namna rahisi Waika Mitumba Ni wauzaji wa nguo za mtumba za kike na watoto kwa bei ya jumla na Rejareja Tunaouzoefu wa miaka zaidi ya minne (4) kwenye biashara hii..Na kwa uzoefu wetu tunatambua kuwa hitaji kubwa zaidi kutoka kwa watu kwenye bidhaa hizi za...
  15. ndege JOHN

    Wapi Dar wanauza nguo za kitamaduni na kiasili kwa bei nzuri?

    Ukitoa mwenge vinyago wenye bei za kizungu sehemu gani nyingine nitakuta mavazi yenye arts ila bei nzuri
  16. McLaren

    GE2025 Wilbroad Slaa: Kesho kila mtu avae nguo au kitambaa cheusi kama ishara ya kuwa yuko pamoja na Tundu Lissu

    Wakuu, Akizungumza kwa njia ya mtandao Wilbroad Slaa ametaka Watanzania kuvaa nguo nyeusi ili kuonesha kumuunga mkono Tundu Lissu hasa siku ya kesho ambapo kesi ya Lissu itakuwa inasikilizwa "Asubuhi kesho vijana wavae nguo nyeusi ishara ya kuonesha kuwa huyu Jemdari wetu tuko pamoja nae"
  17. kadiri kasimba

    Ijue historia ya nguo ya ndani(BIKINI)aina zake na matumizi yake!

    Historia ya chupi ya bikini Bikini ni aina ya vazi la kuogelea (swimsuit) au nguo ya ndani yenye vipande viwili – juu (bra/top) na chini (panty). Mwanzo wake: Enzi za kale: Wazo la bikini si jipya. Picha za kale za Warumi na Wagiriki kwenye sanamu na michoro zinaonyesha wanawake wakiwa...
  18. A

    KERO Arusha kumekuwa na tabia ya wauzaji wa Vitu sana sana Viatu na nguo kuwauzia wateja vitu feki

    Hii imenikuta mimi nikiwa Arusha kuuziwa Viatu feki. Niwaombe mamlaka ya Mapato Tanzania TRA mkoa wa Arusha wafanye uchunguzi kwa wauzaji wa viatu maeneo ya kariakoo ya Arusha. Wauzaji tukiwaambie watupatie risiti hawafanyi hivyo badala yake wanatuzungusha na kuwa hawatoi. Ukijaribu kufuatilia...
  19. Samia atosha tukutane2030

    Kijana kama unajitafuta nunua nguo rangi hii

    Kama unajitafuta kijana hakikisha una kadeti rangi ya kijivu au silver, saa ya silver Kadeti ya kijivu rangi yake haipoi. Hizi kadeti za elfu 15-25 karibu zote ni za watu wa hali ya chini, hivyo zinachuja na kuchakaa mapema. Saa za elfu 5-10 zote ni za watu wa chini lakini ukipata saa ya elfu...
  20. Emilio Mzena

    Nguo zako ambazo huzivai tena aidha kwa kuchakaa au kuwa ndogo huwa unazifanyaje?

    Nimekutana na mada ya moto kidogo. Kuna wanaoamini tuwape wenye uhitaji ila wengine wanapinga wanasema sio sawa. Unaweza kupata mikosi. Kuna wanaosema wanazitupa au kuchoma moto ila baadhi wanasema hapana. Kuna wanaoamini nguo ukizirundika na huna matumizi nazo basi unazifunga ridhiki zako...
Back
Top Bottom