Mbunge wa Viti Maalum Dkt. Thea Ntara ametaka Serikali kuwachukulia hatua wasanii wanaovaa bila kuzingatia maadili akisema kuwa msanii sio kuvaa nguo za ajabu au kuimba nyimbo za matusi
Ametoa kauli hiyo akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti Wizara ya Maendeleo ya jamii, Jinsia...
Mwanaharakati wa haki za binadamu kutoka Kenya, Boniface Mwangi, ametoa simulizi ya kushtua na isiyo na kificho kuhusu masaibu aliyoyapata akiwa kizuizini nchini Tanzania, akieleza jinsi alivyolazimishwa kuvua nguo, kutambaa na kuosha damu mwilini mwake, huku akidai kuwa aliteswa kikatili pamoja...
Ukumbi wa Super dome ulishangazwa na tukio la majiz,tajiri wa EFM na ETV kutinga ukumbini na nguo za bei chee pale tandale ambapo mgeni rasmi alikuwa rais Samia Suluhu Hadsan,
Jamaa alitinga T shirt ya 10,000 jeans ya 20,000 na sandal za 8000
sasa chawa wake na wafanyakazi wake walivyolipuka...
Njaa mbaya jamani, njaa ndio inayowafanya akina Heche wapande jukwaani kulalamika maisha magumu, ile ni njaa.
Wakati Lissu anakamatwa tuliambiwa kuwa wasaidizi wake walikimbia haraka nyumbani kwake kwenda kuvunja mlango wamchukulie dawa zake anazotumia, kwahiyo Lissu anatumia dawa kutokana na...
Kila mtu anapaswa kujua kwamba ili Mungu akubariki ni lazima utoe kilicho bora zaidi na sio kitu ambacho hata hukihitaji tena.
Hata Mungu alimtoa mwanae wa pekee kama tunavyoamini sisi wakristo. Angeweza kumtoa mmoja wa malaika wake lakini alitoa kilicho bora zaidi.
Ikiwa unataka kuwapa...
Unajua manara ana hii tabia ya kuchonganisha watu pia ana tabia ya kuwapondea watu anapokuwa amezungukwa na watu, alishawai kumzungumzia vibaya Hersi ambaye ni Rais wa Yanga. Pia safari hii amewaponda sana Mabosi zake ambao ni GSM na Salaah na Wake zao.
https://youtu.be/j_9LbO4AGaA
Kutunza na Kufua Nguo na Matendo Yetu
Nguo au vazi linawakilisha “matendo ya mtu”. Maana yake ni kuwa kiroho, mtu mwenye mavazi safi, maana yake matendo yake pia ni safi. Kinyume chake, mwenye mavazi machafu maana yake matendo yake si safi (Ufunuo 19:18).
Kuna uhusiano kati ya mavazi ya mtu na...
Siku za nyuma, SAMIDRC Mission ilifikia makubaliano na M23, ya kuirahisishia kuondoa wanajeshi wake huko mashariki mwa DRC.
South Africa, kwa kuogopa kuzomewa kama walivyofanyiwa mamruki wa Ulaya, walipokuwa wakipita mpakani mwa Rwanda na DRC, waliiomba M23 kwa makubaliano(Hakika yalikuwa na...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Hao waarabu wakijiroga na wakawa kichwa ngumu wakatumia chumba Cha kubadilishia nguo hapo Kwa Mkapa tarehe 9 dhidi ya Makolo,namuhakikishia huyo Mwarabu atachezea Mkong'oto wa goli zisizopungua 4 a.k.a 4R za mama !
Waarabu wakitaka hiyo mechi washinde...
Gwajina yupo CCM kwa nguo tu Moyo wake upo upinzani. Heche anaongea haya haya lakini machawa wamampiga madongo Je anayo ongea Gwajima hapa anampinga nani?
https://youtu.be/2gvSQKmNeWw?si=xBlSbTN1zgqnahP_
Hizi ni mbinu zifuatazo ntakazotumia kuhakikisha tunakua na viwanda vya nguo
Kuanzisha viwanda vya petrochemical vyenye capacity kubwa sana
Kuanzisha viwanda vya spinning ambavyo vitakua vinachakata pamba na kuwa nyuzi (yarn) ambao hutumika kutengeneza fabric (vitambaa vya aina mbalimbali)...
Unasahauje kitu kama nguo ya ndani uliyokua umeivaa wakati unaelekea kwenye faragha hiyo?
Ni sahihi kweli kufanya hivyo?
Mbona hukusahau blauzi au suruali? Hata kama game ilikua ya moto sana, mbona hukusahau simu badala yake unasahau nguo ya ndani?
don't stamp authority scientifically plz kwa...
Wakuu hii ni thread ya kujua machimbo ya wachina nguo viatu vyombo mashuka Kila kitu yaani mchina alipo na sisi tupo tumechoka kupigwa Kwa kigezo Cha kuitwa washamba hivyo washamba Sasa tumejanjaruka tunawaambia nyie mawinga Mali mtaipata shambani Ili muache kukaa kariakoo mkiibia wananchi pesa...
Wiki zilizopita nili nunua viatu vya kichina ikatokea vikapotea mazingira ambayo ni uzembe wangu.Kwa vile nilipo mji ni mdogo nikashangaa kuulizia na alama niliyo gundua kuwa niliweka mimi nikaambiwa ni mtumba vinadumu.
Hivi kwa nini watu wanaamini kilicho tumika kinadumu wakati kinaweza kuwa...
Habari
Nimetoka chuo mda huu nimefika geto, nina kawaida ya kwenda kuoga kwanza. Nimetoka kuoga naona Nguo zangu za ndani zote hazipo nampigia demu simu kaniblock nipo confusion msaada
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.