Nimekutana na mada ya moto kidogo.
Kuna wanaoamini tuwape wenye uhitaji ila wengine wanapinga wanasema sio sawa. Unaweza kupata mikosi.
Kuna wanaosema wanazitupa au kuchoma moto ila baadhi wanasema hapana.
Kuna wanaoamini nguo ukizirundika na huna matumizi nazo basi unazifunga ridhiki zako...
Kila mtu sasa ni lwake ndani ya chama! Walau mpaka jana usiku walikuwepo bado wachache wa kusema kitu.. Lakini si kuanzia usiku wa kuamkia Leo!
This time limeongolewa jambo ambalo ccm katu wasingekubali kwa gharama yoyote ile liwekwe wazi..
Baada ya maonyo mengi na kutosikilizwa hatimaye Pole...
Kuna haka katabia kalianza kunikera katika vilabu vya Simba na Yanga ka viongozi wa siasa kuingia katika vyumba vya kubadilishia nguo vya wachezaji baada ya mechi na wakati mwingine kabla ya mechi na hata kipindi cha mapumziko.
Ni katabia kalikoota mizizi na sasa imeonekana kama ni jambo la...
Ukiona mtu yuko uchi wa mnyama na anatembea barabarani bila kujali, anaongea, anacheza bila wasi wasi wowote basi fahamu fika wazi kuwa mtu huyo ni mgonjwa. Hajitambui kuwa yu uchi, anahitaji msaada maana si busara kumwacha binadamu mwenzako apuyange mtaani akiwa mtupu.
Maguo yenu yana viraka...
Natafuta Fundi wa nguo za kiume Msaidizi. Finishing Suits, Shirts, Pants ect..Nipo tayari kukufundisha kushona nguo za kiume kisasa for free +255719377649 Dar es salaam, Tanzania
Hii nchi kila kona upigaji yaani mtu anakutegea ukiwa umelewa anakuja na shati lake na suruali eti 10000 anakupigisha stori wee eti anakushushia bei 5000 sijui ndo pombe au anamuonea huruma unaichukua nguo unakwenda kuijaza chumbani huivai kumbe ilikuwa NI ronyo.Nyie watengenaji wa pombe...
Kama una duka la nguo, leseni ni kitu muhimu sana kwenye biashara yako. Inakutambulisha kama boss halali wa biashara, inakuondoa stress ya kufungiwa ghafla, na inakufungulia fursa za mikopo na fursa zingine kubwa. Ukiwa nayo, unakua na uhuru wa kufanya biashara bila woga.
Faida unazopata ukiwa...
Kulingana na mila na desturi zetu zinatofautiana kabila hadi kabila na jamii nyingine kwenda jamii nyingine.
Ni kawaida kukuta jamii au tamaduni ya watu hawa haziingiliani na tamaduni za jamii/kabila fln.
Mfano kuna baadhi ya makabila huoa binamu zao wengine huzaa na dada zao nk.
Kule...
Mnapoambiwa msipende kuanika nguo za ndani kama mnaanika mtama wa pombe muwe mnaelewa!!
Watu wabaya sana na uchawi upo..unaambiwa alafu unajibu namtegemea MUNGU..unasema unamtegemea MUNGU wakati hujuhi hata mara ya mwisho kwenda kwenye nyumba ya Ibada ni lini??
Endeleeni kuzianika tu!!
Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, Sophia Mwakagenda akicheza pamoja na baadhi ya Viongozi na Wananchi wa Kata ya Itete, Busokelo Mkoani Mbeya huku akiwa amevalia nguo za Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo tarehe 30 Juni, 2025 wakiongozwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni...
Mambo vp wakuu
Km una duka lako na unahitaji kutengenezewa henga shelf's za kutundikia nguo na kuweke mikoba na bidhaa zingne. Pia reception table za kuvutia kabisa za madukani na za maofisini..
Tupe oda boss tupengezeshe duka lako na ofisi yako
Tupo dar mbagala
0692477610
Mambo vp wakuu
Km una duka lako na unahitaji kutengenezewa henga shelf's za kutundikia nguo na kuweke mikoba na bidhaa zingne. Pia reception table za kuvutia kabisa za madukani na za maofisini..
Tupe oda boss tupengezeshe duka lako na ofisi yako
Tupo dar mbagala
0692477610
Hongereni wale wote mnaotumikia taifa, hasa kupitia familia. Endelea kuwa Nuru kwa familia yako
Kinsingi, Hhakuna tofauti ya bei kwa mavazi ya mtoto wa kiume (hasa walioanza kutembea) na bei ya mavazi ya baba zao.
Mtoto akivaa jeans, t-shirt na kiatu akapendeza, bajeti yake inamtosha pia baba...
Hili ni swali naomba majibu.
Kwanini nguo za akina mama, yaani magauni, sketi, hijabu na zinginezo zinazofanana na hizo huwa zipo wazi chini?
Kwa asili, duniani kote, mavazi ya wanawake huwa yapo wazi chini. Ukiachana na usasa wanavaa suruali na vibana ngozi (tight), lakini kiuhalisia nguo zao...
Hivi hii nchi ina Mkuu wa Polisi kweli? Mkuu wa Majeshi ya ulinzi je, yupo? Mkuu wa Usalama wa Taifa? Au hawajaapishwa kuanza majukumu bado? Inawezekanaje watu wanapotea, kuteswa na kuuwawa na ninyi mpo? Au silaha zenu ni duni kuliko hao watekaji? Au na ninyi mnahusika kwenye huu utekaji wa...
Bajeti yangu ni shilingi laki 7,nahitaji kununua mashine ya kufulia nguo
Ni mashine ipi nzuri pamoja na model yake
Mashine ambayo hata ikiharibika spea zimejaa na mafundi wengi wanaziweza
Huwa wanasema mtu mzima ukivuliwa nguo chutama. Yaani chuchumaa.
Nimeshangaa sana. Kuna mtu kavuliwa nguo. Yeye kainama... Sasa tunashangaa kusudio lake nini? Amejitoa mhanga? Hajali au Kiburi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.