Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,402
- 1,560
Habari Waziri wa Vijana Tanzania !.
Nakuomba niweke hapa wazo langu wazi wazi endapo ukinipatia hiyo Milioni hamsini (Tsh.50,000,000/=).
Nakusudia kuanzisha Kiwanda cha Uundaji wa nguo (Work on progree products) yaani kuchakata kitambaa kuwa nguo au vazi kamili( Finished products).
Kupitia mchanganuo ufuatao.
Gharama
1. Malighafi
2. Eneo la kiwanda
3. Vyerehani (100pcs)
4. Wafanyakazi 120 (Moja kwa moja ) na wengine wafanyakazi nje na kiwanda watu 50,000.
5. Utengenezaji wa E-commerce Website.
6. Gharama za Usajili: Brela, Halmashauri, TRA, Osha nk
Unajua nini !?...
Kabla hata uzalishaji haujaanza kufanya kazi naweza kugenerate zaidi ya Milioni 100. Hizi zinapatikana kwa njia Ifuatayo:
1. Kupitia E-commerce nitaweka utaratibu wa Wafanyabiashara vijana wanaotaka kufanya kazi na Kiwanda hiki wajisajili kwa Ada ya Tsh.25,000/=. Nakusudia awamu ya kwanza kuwa na wateja jumla ya watu 4,000.
2. Hawa wateja 4,000 vijana wa moja kwa kiwanda. Nitaweza kuwafanya kuwa Products Distributors hapa nchini. Ndio nitakao anza nao kufanya kazi moja kwa moja.
3. Tutatengeneza Online media+ Vipeperushi vyake kwa kuanza mauzo ya bidhaa zetu moja kwa moja na kujipatia kipato kupitia matangazo ya watu na viwanda vingine vidogo vya hapa nchini wanaotengeneza nguo na mavazi mbalimbali kwa kuchangia Tsh.50,000/= kwa kila mfanyabiashara mwenza mshonaji nguo. (Hapa tunakusudia kupata washonaji - viwanda bubu 100).
Karibu.
Nawaomba dili hilo la Tsh.50,000,000/= nijiripue chapu kwa haraka.
NB
Wazo.haliibiwi; kazi ni kwako.