PostGE2025 Ushauri kwa serikali: Muungwana akivuliwa nguo huchutama

PostGE2025 Ushauri kwa serikali: Muungwana akivuliwa nguo huchutama

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

John Sin

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2019
Posts
8,254
Reaction score
16,437
Za asubuhi


Sisi wengine umri wetu ni mdogo sana na tunapenda maendeleo na amani kwenye nchi yetu itawale na tupate mafanikio na kutimiza ndoto zetu kama nyinyi wazee na viongozi vijana mliopo serikali na popote pale mnapotoa huduma na kujipatia ridhiki.

Kwahali inayoendelea kwasasa nchini sio ya kupuuzia hata chembe kila small detail inamaana kubwa sana na uzito usio pimika.

Lakini cha kushangaza watu tunaowategemea ndo wapo katika hali mbaya zaidi kwenye kuchambua mambo kulko hata Gen Z, kuna mambo yanafanyika unajiuliza hii ni kwa manufaa ya nani? Inafaida gani? Haina mbadala?

Nchi bado haijashindikana, bado ipo salama kwa 80% lakini naona kuna baadhi ya watu wanatumia nguvu idondoke haraka zaid.

Kuna mambo siwezi sema hapa lakini ushaur wangu ni mgumu lakini ni salama, makini, wenye matokeo, unapimika na kutekelezeka kuliko karibia watu wote wanao mzunguka mkuu.

Tujenge nchi yetu na tuipende

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom