Kuna brand za nguo zilitikisa sana aisee!

Kuna brand za nguo zilitikisa sana aisee!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,382
Reaction score
103,829
Sijui ata brand izi zilipotelea wapi. Ila enzi zake zilisumbua sana.

Phat Farm: Hawa walikua na nguo, na viatu. ((P))
IMG_5988.webp


FUBU

DADA: Hawa majeans yao yalikua na mifuko ya nyuma mikubwa, kaunta buku haukunji.
IMG_5989.jpeg

G-Unit: Hii ilikua clothing line ya wakina 50 Cent na wenzie.
IMG_5992.jpeg

Sean John: Nadhani ilikua inamilikiwa na Diddy.
IMG_5990.webp

FILA: Hawa wana viatu na nguo.
IMG_5991.webp
 
Kuna clothin line ilikua inamilikiwa na Eminem, SOHK, School Of Hard Knocks.
Nilimiliki jeans kadhaa na juu Tshirt za Sean John za mtu mzima Diddy.

To brag enzi zile St. Anthony nasema chini nina Eminem na juu nina P. Diddy...noma sana
Time flies maaaniinaaa
 

Attachments

  • Screenshot_20260113-000650_1.jpg
    Screenshot_20260113-000650_1.jpg
    193.2 KB · Views: 25
Halafu zilikuaga na quality nzuri kinoma. Sio haya mafamba ya leo. Nilikuaga na fubu inang'aa hivi, disco la kumaliza standard 7 nikaitupia. Chini nina viatu vya lagz kama vile vya tid kwenye video ya wimbo wa siamini
Umenikumbusha mbali lugs zilikua za kipekee niliachiwaga na broo form one ile siku ya kuripoti kabla ya kushonewa uniform nikaitupia aisee siongei kilichofata ila heko kwako Christina Masanja, sema ulihama kihuni sana.
 
Back
Top Bottom