Kijana Salvador Ramos ambaye amehusika na mauaji ya watoto 19 na watu wazima wawili jana Mei 24, 2022 katika Jimbo la Texas, Marekani, imebainika alikuwa akizomewa na kuchekwa na wanafunzi wenzake kutokana na hali ya umasikini wake na familia yake.
Rafiki wa karibu wa kijana huyo amesema...
Mapema leo wachezaji wa Norwich city wakati wakicheza mchezo wao wa mwisho, england premier league dhidi ya totenham.
Wamevaa tishert zenye rangi za
kishoga wakimsapoti mchezaji wa Blackpool fc inayoshiriki ligi ya daraja la tatu huko wingereza aliyejitangaza kuwa ni shoga.
Wapo wengi tu...
Huko ni Ulaya, wanaume wachafu hivyo, je huku unadhani mashuka yao yatakuaje?
Nguo za ndani je? Jamani wanaume wenzangu tujitahidi usafi, uchafu sio uanaume.👇
Nnatabia ambayo sio ya kawaida huwa napenda harufu ya chupi ya mwanamke na nikilala usiku naivaa kichwani halafu naishusha hadi puani inaziba pua kale kaharufu najihisi niko peponi.
Je, nina shida? Ila iwe imevaliwa hata wiki na isifuliwe.
Ukiona mdada anavaa nguo za mpenzi wake wa kiume, kama; mashati, tshirt, bukta, boxa, suruali, vest n.k Juwa mmewe/mpenzi wake anamkoleza ipasavyo.
Ni vigumu, mtu kusema habari za mpenzi wake; hasa mambo ya sirini na kuyaweka hadharani. Ila kwa kuangalia vitendo, utagundua uwezo wa mwenza wake...
Habari za humu ndani wakuu, kama heading inavyojieleza mimi nipo morogoro mjini ninayo cherehani ila nina majukumu mengine yanayonibana,natafuta mtu aliye serious na kazi na anajua kushona vizuri nimkabidhi cherehani kwa makubaliano maalumu tuweke kijiwe tupige kazi.
mwenye uhitaji huo nicheki...
Salamu Jf family
Natafuta mashine za kufulia nguo na kukausha kwaajili ya biashara,kuanzia 12kg na ziwe zile za kufungukia pembeni na zenye sehemu ya kuweka sarafu.Kwa yeyote mwenye taarifa sahihi tafadhali ni PM
Shukrani.
SWALI LA KWANZA
UNAPENDA AU UMEWEKEZA TU.??
Leo nataka nitoe mfano mmoja kwa kutumia GENGE LA CHIPS tu. Hapa naongea na watu wanaopenda sio wanaowekeza ,ndio unawekeza je unapenda ???? kwanza unapenda ???
Usilaumu Usimamizi wakati hufurahii kukaa kwenye Banda la chips mda mwingi
Kuna watu...
Habari za wakati na poleni na mihangahiko.
Naulizia Nguo za mtumba za watoto kwa anayefungua mzigo kwa bei hiyo 500/1000TZS tuongee biashara hapa hapa na wengine wanufaike mi ninanunua naenda kuuza nipate angalau faida kidogo. Mimi niko mkoani.
Naombeni ndugu wajuzi humu ndani mnipe ABC ya biashara ya nguo za ndani kwa wanawake yaani chupi....nina wazo la kufata mzigo Kampala Uganda ila sasa bado sina uzoefu wake so naombeni mnichangie mawazo juu ya hili.....asanteni
Ndugu habari.. !!
Natafuta mtu anayefanya biashara ya uuzaji wa nguo za kiume mtumba mikoani...
Nina bidhaa za nguo za jeans suruali, t-shirt ,na pia trak juu na chini.. (GRADE A) bei nafuu tu nipo maeneo ya Tabata segerea
Mawasiliano 0744644627
0622531099
Hata pia kwa ulieko Dar Es salaam...
Ndugu habari.. !!
Natafuta mtu anayefanya biashara ya uuzaji wa nguo za kiume mtumba mikoani... Nina bidhaa za nguo za jeans suruali, t-shirt ,na pia trak juu na chini.. (GRADE A) bei nafuu tu nipo maeneo ya Tabata Segerea.
Mawasiliano 0744644627
0622531099
Hata pia kwa uliyeko Dar Es salaam...
Ndugu habari!
Natafuta mtu anayefanya biashara ya uuzaji wa nguo za kiume mtumba mikoani.
Nina bidhaa za nguo za 👖 jeans suruali, t-shirt ,na pia trak juu na chini.. (GRADE A) bei nafuu tu nipo maeneo ya Tabata segerea
Mawasiliano 0744644627
0622531099
Hata pia kwa...
Duka linapatikana njiro 88 pick n pay
Baada ya crdb
Room no 8
Nguo nzuri za kike ziko kwenye punguzo
Suruali za vitambaa 10000 ukipata kuanzia 5 @8000
Magauni 10000
Skirt 10000
Jeans 8000
Instagram:Divineclothingstore_arusha
0762 998333
Kuna huyu jamaa ana trend kwenye mitandao, yeye amekua kwenye matukio mawili makubwa, pale Kariakoo na sasa amejitokeza Tena Jana kuwa alishuhudia moto ule na kwamba chanzo Cha moto ule ni mshumaa uliowashwa na mateja.
Kama umewahi kufuatilia documentaries za crime unaweza kupata ABCs kuhusu...
Namtafuta fundi nguo wa kike awe na umri chini ya miaka 33
Awe tayari kuhama alipo na kufuata eneo la kazi
Awe tayari kujifunza ujuzi nafasheni mpya.
Ashone nguo za kiume na kike kama hajui zingne awe tayari kujifunza.
Awe tayari kufanya kazi kwa muda mrefu yaani miaka mingi
Awe tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.