Ninahitaji mbunifu na mshoni wa nguo za kike na kiume

Mtafiti77

JF-Expert Member
Oct 31, 2011
1,855
2,281
Kwa wajuvi wa kuulamba jijini Dar es Salaam

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ninahitaji mtaalamu wa kubuni na kushona nguo za kike na kiume. Awe mkali katika suti na mavazi mengine ya me na ke. Si lazima awe huyohuyo. Mmoja anaweza kuwa mtaalamu wa nguo za kike na mwingine za kiume au vyote.

Ninahitaji mtaalamu hasa tafadhali, awe na vitambaa vikali, the nimechoka kushonewa nguo kama viroba na kununua midosho ya dukani.Shukrani
 
Aiseee niliacha kuvaa vitenge ila kuna fundi amenitolea nguo zangu na baba Watoto Zipo mahali pake

N:b mwili unaruhusu kushona unachotaka kushona?
 
Ndiyo maana ninahitaji dizaina. Mtu mwenye shepu ya utata anahitaji dizaina. Maana mnashona na fundi kwa pamoja. Dizaina anakutazama na kujua mapigo yako.
 
Kwa wajuvi wa kuulamba jijini Dar es Salaam

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ninahitaji mtaalamu wa kubuni na kushona nguo za kike na kiume. Awe mkali katika suti na mavazi mengine ya me na ke. Si lazima awe huyohuyo. Mmoja anaweza kuwa mtaalamu wa nguo za kike na mwingine za kiume au vyote.

Ninahitaji mtaalamu hasa tafadhali, awe na vitambaa vikali, the nimechoka kushonewa nguo kama viroba na kununua midosho ya dukani.Shukrani
Nitafute ndugu, kwa nguo zote za kiume, suits, kaunda, khadet na mashati pia suits za kike. Hutajuta kutufahamu. Karibu
 
Back
Top Bottom