Ni dalili gani au zipi za awali kabisa zinazoweza kumsaidia Baba kuweza kujua kuwa Binti yake ameshaanza kufanya Ngono?

Mzukulu

JF-Expert Member
Feb 14, 2020
1,401
2,631
Kwa akina Mama najua wao ni wepesi kwa kuwagundua mabinti zao ila hapa nataka kwa sisi wababa ( akina Baba ) kuwa utawezaje kugundua mapema kuwa binti yako mpendwa kabisa wanamume wameshaanza Kumnyiri / Kumngono / Kumtia kwa Kumuangalia tu?

Leo nami nikipewa maujanja naweza kuwa ni mwenye furaha kwani kuna vitu nimeanza kuvishtukia kwa mbali.
 
Binti huanza kuwa na kiburi na kaujeuri flani hivii ambacho mwanzoni hakuwa nacho, halafu kale huwa kanakuja automatic hata ukitaka kuji control inakuwa ngumu ila baadaye kabisa unarudi kwenye hali ya kawaida,
talking from experience.!!
 
Kweli kabisa maana mtoto wakike ukishaambiwa yeye mzuri huko nje na kibahari ndio kiburi kinaanza.... Sii kashaambiwa yeye mzuri bwana.
 
Topic zingine huwa ni za ajabu sana,sasa wewe unakaa na kuwaza juu ya mtoto wako wa kike Kujihusisha kimapenzi ili iweje, nawewe unataka umuonje au?

No one can go against nature, umri wa bareghe ukifika na mtoto akaanza kuhisi hayo mambo na kupata shauku ya kufanya hakuna namna utafanya ili kumzuia

Usikute wewe ni baba harafu anakaa na kuwaza upuuzi kama huu dhidi ya binti yako, ona aibu mkuu, kama wewe ulifanya kwanini yeye asifanye?

Kwanini wewe ulipoanza kufanya hayo mambo ulionesha dalili gani?
 
Hata mimba ikiwa changa wamama wakimuangalia tu. Wanasema wewe Carleen una mimba wewe. Basi ataanza kujibaraguza hapo.😀

Kwahiyo Ndugu hapa unataka kuniambia kuwa katika Uumbaji kuna uwezo mkubwa wa Utambuzi Maulana / Mola aliwazidishia hawa Wanawake?
 
Binti huanza kuwa na kiburi na kaujeuri flani hivii ambacho mwanzoni hakuwa nacho, halafu kale huwa kanakuja automatic hata ukitaka kuji control inakuwa ngumu ila baadaye kabisa unarudi kwenye hali ya kawaida,
talking from experience.!!
Utashangaa kutwa Yuko na simu..
Huanza kuwa na kibri + dharau.
Tembea yake inabadilika
Baadhi yao wanaanza kujiamini, wengine wanakua na aibu ya kutengeneza ili ku prove their innocence, kuanza kujiremba/kujipamba tofauti na mwanzo yaani tabia ya awali
 
Back
Top Bottom