ndegemzungu
Member
- Mar 10, 2019
- 92
- 240
Sasa hii biashara imehamia mitandaoni ukiingia Telegram kuna mpka madalali wa wa kuunganisha madem kama unahitaji mkoa wowote ule unaunganishwa mabint wadogo kabisa wanajihusisha na hii biashara tena ule mtandao pendwa unatolewa nje nje hii ni hatari dunia inaelekea tabati.
Nawasilisha
Nawasilisha