ngono

  1. JamiiForums Tanzania Nikishafanya ngono na mwanamke hamu ya kuendeleza mahusiano inakatika

    Kiukweli niko kwenye mahusiano serious na mwanamke mmoja ambaye ni mzuri sana tuu lakini pia kuna michepuko ambayo nayo ni pisi kali. Ishu ni kwamba huwa kuna vibinti vya kawaida tuu tena sana lakini baadhi wa wanaume ukishaanza kukatania kwa nia ya kukala basi mzuka unaongezeka na utafanya juu...
  2. JamiiForums Tanzania Madhara ya kuweka dawa za kuongeza hamu ya ngono ukeni, hatarini kupata saratani ya shingo ya kizazi

    Wanawake wameshauriwa kuacha mara moja kuweka dawa za kuongeza hamu ya ngono ambazo hazijapimwa na wataalamu katika sehemu zao za siri, kwa kuwa wako katika hatari kubwa ya kupata saratani ya shingo ya kizazi ambayo ni tatizo kubwa kwa wanawake wengi nchini. Amezungumza hayo Mtaalamu na Mshauri...
  3. JamiiForums Tanzania Wanaume tunatembea na wanawake kwa sababu mbili, Ngono na mapenzi

    Lakini mara nyingi wanaume hatuowi kwa ajili ya ngono au kwa ajili ya mapenzi, huoa kwasababu ya utulivu wa mwanamke. Mwanaume anaweza kukupenda na asikuoe. Mwanaume anaweza kufanya mapenzi na wewe kwa miaka mingi bila kukuoa. Lakini mara akipata mwanamke anayeleta amani na utulivu katika...
  4. JamiiForums Tanzania Gabriel Mwita Thobias, Mkurugenzi bandari aandamwa na rushwa ya ngono

    WAKATI Serikali ikiongeza nguvu kupambana na rushwa ya ngono na unyanyasaji wa kingono, Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Mamlaka wa Bandari (TPA) Gabriel Mwita Thobias anadaiwa amekuwa akitumia madaraka yake kutekeleza vitendo hivyo. Taarifa zilizoifikia Tanzania PANORAMA Blog zimedai kuwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi nina uraibu wa ngono

    Watu wanasema mficha maradhi kifoo huumbua ..mwanzo nilijua ni mihemko tu ya ujana na umri utakavyozidi kwenda mambo yatakuwa tofauti lkn sasa umri umeenda na kasi imekuwa n 5G,hii kitu ni balaa n zaidi ya njaa na kiu. Na si kwamba natembea na wanaume hovyo hapana ila huyo mmja niliye nae huwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro marathon ni kesho, kinachoendelea Huko Moshi ni ulevi na ngono usiku huu kesho zawadi zote zinaelekea Kenya

    Watanzania huko Moshi Kilimanjaro Kesho ni washerekeaji tu wa Kilimanjaro marathon . Hawana uwezo wa kupata zawadi Hata moja. Wakenya ninasikia wamekuja wengi wamelala tayari kuanza bio Kesho na kuondoka na zawadi zote. Wabongo ni ulevi usiku kucha na ngono Yakima asubuhi Hakuna cha...
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake hawana kitu kingine cha kuwapa wanaume tofauti na ngono

    To be honest, wanawake hawanaga lolote la kutufaa sisi wanaume kwenye mahusiano apart from sex.Yaani kutwa kucha tupo kuwahangaikia Wanawake eti kisa utelezi tu.Unajikuta umevutiwa na mwanamke unafall in love naye ukidhani utakusaidia kwenye Mambo mengi kando na kukupa mbunye tu kumbe...
  8. JamiiForums Tanzania Kama Ngono sio kipimo cha upendo katika mahusiano, kwanini kuchapiwa kunauma kuzidi kuachana?

    Ifahamike kwamba mapenzi ni muunganiko wa watu wawili katika kupendana kwa dhati na sio muungano wa sehemu za siri, hili si la kupuuza maana ndio uhalisia huo. Kuunganisha sehemu za siri kunawezekana kirahisi sana lakini watu kuunganika kwa kupendana kwa dhati hio ni case nyingine kabisa. Sasa...
  9. JamiiForums Tanzania Tunakamata wanaowapa ujauzito wanafunzi huku tukibariki na kuruhusu wanafunzi kushiriki ngono. This is nonsense!

    Mpaka sasa sijapata kujua kuwa kifungu cha 60 A(3) cha Education Act kinachowatia hatiani wanaowapa mimba wanafunzi kama kinafanya kazi. Kuruhusu wanafunzi kurudi masomoni baada ya kupata mimba na kujifungua ni sawa na kuruhusu washiriki matendo ya ngono hata kabla ya kumaliza shule. Sasa kama...
  10. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuwafundisha vijana mahusiano yasiyo na hizi ngono zembe

    Swala la ngono hovyo katika jamii limefikia hali mbaya. Boss kulala na wafanyakazi wa chini yake, akiyewekeza kidogo hata kwa mradi wa chai anataka kulala na wauza chai wake. Huko serikalini ndiyo usiseme. Mbali na utandawazi ambao umechangia sana ngono zembe ni hali mbaya ya uchumi...
  11. JamiiForums Tanzania Video ya mtu aliyedhaniwa ni Meena Ally imesambaa mitandaoni. Meena Ally akanusha asema si yeye

    Kuna video inasambaa mitandaoni ikimuonyesha Meena Ally, mtangazaji wa Clouds Fm akiwa ananyonywa sehemu za siri na mwanaume ambaye sura yake haijaonekana. Video hiyo kwakuwa haina maadili hivyo sitaweza kuiweka hapa. Kina dada, lini mtaacha kukubali kurekodiwa? Hongera sana Meena Ally ===...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anapenda ngono sana

    Mimi nimeoa na mke ila nimekutana na mdada nae ni single mother tulianza mahusiano yapata mwaka sasa, ananipenda sana ila naona mwisho sio mzuri, coz kwanza anapenda sana sex, sasa kwa maisha hya ya kibongo ukipiga hesabu kudate nae 30,000x4 = 120000/ sasa kwa kipato gani unafanya zinaa tu...
  13. JamiiForums Tanzania UDSM, IFM mbona mpo kimya majina ya vyuo vyenu yanapotumika katika video za ngono?

    Kumetokea mtindo wa kusambaa kwa video za ngono (maarufu kama connection) na ambazo muhusika au wahusika katika video hizo wanatajwa kuwa ni wanafunzi wa chuo fulani nchini, mara nyingi ni UDSM, IFM na hata UDOM. Sijawahi kusikia mamlaka za vyuo hivi zikiongelea kuhusu video hizi, ni kama...
  14. JamiiForums Tanzania Kati ya walimu wa vyuoni (Lecturers) na wachungaji / matabibu / ustadh rapa, ni yupi anaelemewa zaidi na vishawishi vya ngono.

    Ma lecturer Katika elimu ya juu vyuoni huwa kuna mabinti wengi kuanzia miaka 18 hadi 24 hawana hatari kama wale wa sekondari mvua miaka 30 , wote hawa hatma yao kwa kiasi kikubwa huamuliwa na lecturer, inaweza kutokea binti kafeli somo hivyo yeye mwenyewe anaweza kumfata lecturer kuomba...
  15. JamiiForums Tanzania Kama Serikali ina ubavu wa kupambana na Rushwa ya ngono, waende pale Tanga

    Ukiona watu kama GWAKISA bado wako ofisini ndio maana Kuna wakati unaona wazi KABISA CCM kweli imeshindwa kuongoza hv kweli serikali makini inaweza kuwa inatembea na mla Rushwa? Hivi mtumishi asiye na MAADILI, adabu wala nidhamu ni wa kutumikia umma wa watanzania? Huyo bwana Gwakisa tumesikia...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hivi tokea Rais Samia aingie Madarakani ameshazungumzia na Kukemea Rushwa ya Ngono Shuleni, Vyuoni na Makazini?

    au huenda Yeye ( kama Mwanamke ) hiki siyo Kipaumbele chake na kwamba kila Mwanamke wa Kitanzania ailinde 'Rasilimali Tamu' yake Mwenyewe tu? Niyaonayo kwa hili ni makubwa mno tu.
  17. JamiiForums Tanzania Nguo zenye uke feki Ni janga jipya Kwenye mahusiano ya Kingono

    Wachina hawaishiwi mambo, Kuanzia enzi za Kwenye kope feki, matiti feki, mimba feki, kucha feki, tako feki, hips feki, miguu feki, macho feki,nywele feki. Sasa Ni awamu ya UKE FEKI. Ikiwa Ni mwaka mmoja TU tangu wazindue teknolojia ya ngozi feki (body silicon skin). Wakahamia Kwenye nguo...
  18. JamiiForums Tanzania Prof. Ndalichako: Serikali haitavumilia vitendo vya rushwa ya ngono katika Taasisi za elimu

    Serikali imesema haitavumilia vitendo vya rushwa ya ngono katika Taasisi za elimu kwani ni ukosefu wa maadili na vinashusha heshima ya wanataaluma pamoja na taaluma katika taasisi hizo. Kauli hiyo imetolewa Desemba 07, 2021 Jijini Dare es Salaam na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof...
  19. JamiiForums Tanzania Ngono ndiyo silaha kuu ya Ibilisi anayojivunia nyakati hizi

    Habari! Najua kuwa nitapingwa na baadhi yenu ila sijali. Ujumbe utakuwa umefika. Shetani amekoleza tamaa za kingono kwenye miili ya vijana mara dufu, kama haitoshi shetani amekoleza tamaa za macho kwa mabinti. Leo hii binti ambaye anaishi kwa wazazi wake anatamani Iphone macho 3. Imefika...
  20. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais yatoa takwimu za wanaofanya biashara ya ngono

    Utafiti uliofanyika umebaini Zanzibar kuna wanawake wanaofanya biashara ya kuuza miili yao 5,554 Huku wanaume wanaofanya mapenzi ya jinsia moja wakiwa ni 3,300, Kati ya hao 3,000 wapo kisiwani Unguja na 300 wapo kisiwani Pemba. Taarifa imetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…