Wanaume tunatembea na wanawake kwa sababu mbili, Ngono na mapenzi

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,036
20,337
Lakini mara nyingi wanaume hatuowi kwa ajili ya ngono au kwa ajili ya mapenzi, huoa kwasababu ya utulivu wa mwanamke.

Mwanaume anaweza kukupenda na asikuoe. Mwanaume anaweza kufanya mapenzi na wewe kwa miaka mingi bila kukuoa.

Lakini mara akipata mwanamke anayeleta amani na utulivu katika maisha yake, anamuoa haraka

Wanaume ni wenye maono wanapofikiria ndoa, hawafikirii mavazi ya harusi na bi harusi, wanawaza tofauti na chochote ambacho mwanamke anawaza siku ya harusi itakuwaje kwamba siku ya harusi nitavaa vipi ukumbi upi utapambwa rangi gani.

Tunafikiri kuwa mwanamke huyu anaweza kunitunzia nyumba na kukaa na familia bila kuleta matatizo au ataanza kuchepuka.

Wanawake wao hawafikirii maisha ya mbele, ye anachojua ni kutimiza majukumu yake anajua kinachofuata ni kubeba mimba na kuzaliana basi.

Unampa biashara anakuandalia chakula unampa pesa anakupa amani unampa mbegu anakupa watoto
Baada ya muda kidogo ugomvi unaanza, inageuka ndoto mbaya na wanaume wengi wanaijua.

Ndio maana mwanaume anaweza kukaa kwenye uchumba na mwanamke miaka mingi akakutana na mwingine ndani ya mwezi mmoja, kisha akaoa.

Wanaume hawa hitaji vitu vingi kutoka kwa mwanamke wanataka utulivu wa mwanamke.
 
Nakubaliana na mtoa mada,pia wanaume tunaoa wanawake wenye heshima na utii kwa mwanaume,heshima inabeba vitu vingi sana na mwanaume akishagundua kuwa huyu mwanamke anamheshimu na kumtii,chapu kwa haraka anamuoa
 
Tunapigwa sana acha tuchochee kuni Moto uwake

Mapenzi yenyewe tuna igiza
We ungesema tu kwa sababu ya ngono

Mkuu hakuna mapenzi saivi Kuna pesa
 
Lakini mara nyingi wanaume hatuowi kwa ajili ya ngono au kwa ajili ya mapenzi, huoa kwasababu ya utulivu wa mwanamke.

Mwanaume anaweza kukupenda na asikuoe.
Mwanaume anaweza kufanya mapenzi na wewe kwa miaka mingi bila kukuoa.

Lakini mara akipata mwanamke anayeleta amani na utulivu katika maisha yake, anamuoa haraka

Wanaume ni wenye maono wanapofikiria ndoa, hawafikirii mavazi ya harusi na bi harusi, wanawaza tofauti na chochote ambacho mwanamke anawaza siku ya harusi itakuwaje kwamba siku ya harusi nitavaa vipi ukumbi upi utapambwa rangi gani.

Tunafikiri kuwa mwanamke huyu anaweza kunitunzia nyumba na kukaa na familia bila kuleta matatizo au ataanza kuchepuka.

Wanawake wao hawafikirii maisha yambele, ye anachojua ni kutimiza majukumu yake anajua kinachofuata ni kubeba mimba na kuzaliana basi.

Unampa biashara anakuandalia chakula unampa pesa anakupa amani unampa mbegu anakupa watoto
Baada ya muda kidogo ugomvi unaanza, inageuka ndoto mbaya na wanaume wengi wanaijua.

Ndio maana mwanaume anaweza kukaa kwenye uchumba na mwanamke miaka mingi akakutana na mwingine ndani ya mwezi mmoja, kisha akaoa.

Wanaume hawa hitaji vitu vingi kutoka kwa mwanamke wanataka utulivu wa mwanamke.
But,unfortunately kilichopo mi tofauti na ulichoandika!

Tuna mifano minhi humu,walipa wakidhani wamepata wanawake wa kuwapa Amani,kinyume chake makelele hakuna amani
 
Back
Top Bottom