news

  1. At least 13 US service members killed in Kabul airport attack

    August 26, 2021 Afghanistan-Taliban news At least 13 US service members killed in Kabul airport attack Biden briefed on explosion outside Kabul's airport From CNN's Jeremy Diamond President Biden has been briefed on the explosion outside Kabul airport, a White House official says. Moments ago...
  2. U

    Taliban yapiga marufuku Waafghanistan kuondoka nchini humo kuanzia leo

    Taarifa za muda mfupi uliopita Msemaji wa Serikali ya Taliban amesema wamepiga marufuku Raia yeyote wa Afghanistan kuondoka nchini humo kuanzia leo Aidha ameongeza kuwa wamepiga marufuku Wanawake kutoka nje ya nyumba zao BBC
  3. Hivi gazeti la Daily News nalo lilifungiwa?

    Mara baada ya Rais Samia kuchukua madaraka, gazeti la serikali, Daily News, lilichapisha tangazo kutoka STAMICO, la kumpongeza Rais huyo mpya. Zaidi ya kumpongeza, tangazo hilo hilo pia lilitoa masikitiko ya kufiwa/ kufa kwa Rais Samia Suluhu Hasan! Lilikuwa tangazo la hovyo kweli. Sijui hata...
  4. U

    Morogoro: Moto wateketeza kituo kikubwa cha kupozea umeme cha TANESCO

    Moto mkubwa umeunguza na kuteketeza kituo kikubwa kabisa chenye mitambo maalumu ya kupokea, kupoza na kusambaza Umeme kuelekea Mikoa ya Morogoro, Dar es salaam, Tanga na Kilimanjaro Moto huo bado haujazimika hadi sasa na juhudi za kuuzima zinaendelea Hadi sasa chanzo cha moto huo hakijulikani...
  5. Sad News: Watanzania Wanne Wauawa Afrika Kusini Katika Vurugu Zinazoendelea Nchini Humo

  6. Wadau, mna maoni gani kuhusu vurugu inayofanyika Afrika Kusini?

    Wadau, wiki iliyopita nimekuwa nikitazama hii kesi ya Jacob Zuma. Zuma alifungwa kifungo cha miezi 15. Alikamatwa usiku wa kuamkia Alhamisi. Wafuasi wake wakaanza kuandamana. Usiku wa kuamkia juma mosi walichoma trucks (Ukipenda trela yaani yale malorry makubwa) zaidi ya 30. Baada ya kuchoma...
  7. BBC News: Hivi ndivyo matajiri wakubwa hutumia pesa yao

    https://www.bbc.com/swahili/habari-57510899.amp Pesa ni kitu cha ajabu sana, mtu anazitafuta kwa udi na uvumba na anapozipata anazitumia kwa matumizi yake aliyojipangia au alichokipatia kipaumbele. Lakini kama wanadamu tunatofautiana katika matumizi. Jarida la Business Insider liliwahi...
  8. Kenneth Kaunda afariki dunia akiwa na miaka 97

    Mzee Kennedy Kaunda amefariki mchana wa leo wakati akipatiwa matibabu kwenye hospital ya Maina ===== MAISHA YA AWALI Kaunda ni mtoto wa mwisho katika familia ya watoto wanane. Alizaliwa katika hospitali ya Misheni ya Lubwa katika kitongoji cha Chinsali, katika Mkoa wa Magharibi mwa Northern...
  9. U

    Shocking News: Spanish Man Jailed for killing and eating his mother

    A Spanish man has been jailed for 15 years and five months for killing and eating his mother at the apartment they shared in Madrid. Alberto Sanchez Gomez killed his mother, cut up her body and ate her over a period of at least 15 days in early 2019, according to a statement from the Madrid...
  10. A new low for fake news CNN

    TF is wrong with CNN? Huyu jamaa, Jeffrey Toobin, alibambwa kwenye zoom call akipiga punyeto. Ilikuwa ni zoom call ya mwajiri wake wa wakati huo [Oktoba 2020], The New Yorker magazine. Pia, alikuwa ni CNN’s chief legal analyst. New Yorker walimfukuza kazi. CNN naona walimsimamisha kazi...
  11. Good news: Money Heist is back

    Wale wapenzi wa Money heist season 5 imerejea. Mtandao na watayarishaji wa series hii wametangaza official date ya kutoka kwake. Part 1 itatoka SEPTEMBA 3 Part 2 itatoka DESEMBA 3. Tukae mkao wa kula.
  12. Wakala wa Meddie Kagere, Mnyarwanda Patrick Gakumba atoa siri nzito za Kocha wa Simba SC Didier Gomez Da Rosa

    "Huyu Kocha nimejuana nae Siku nyingi hata kabla ya kuja hapo Simba SC. Anafanya mambo ambayo najua yatakuja Kumrudia na ataumbuka kwani hata Mwenyezi Mungu anayaona na atamuadhibu. Ana Chuki Binafsi na Mimi kwakuwa nilikataa Kumpigia Chapuo kwa Ushawishi wangu mkubwa katika Soka la hapa nchini...
  13. Ethiopia Awards Safaricom First Telecom License

    It's big win for Kenya. Safaricom consortium wins Ethiopia licence bid on Sh91.8bn offer Saturday, May 22, 2021 Safaricom CEO Peter Ndegwa during the telco's 20-year anniversary celebration at the Serena Hotel in Nairobi on October 27, 2020. Diana Ngila | Nation Media Group What you need to...
  14. Japanese working in kenya will no longer pay Taxes..Meanwhile more taxes added on kenyans

    Rasmi sasa: Ukoloni mambo Leo..Nchi ya kijinga
  15. Sakata la mtoto wa Amber Lulu, Harmorapa akamatwa na Polisi

    Msanii wa Bongo Fleva anayependa kiki Bongo, Hamorapa amekamatwa na polisi, leo Jumamosi, Mei 8, 2021, katika Ukumbi wa Hotel ya Kebbys, uliopo Mwenge, jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari. Kukamatwa kwa Harmorapa kunatokana na kauli yake aliyoitoa akidai kuwa mtoto wa...
  16. Mohammed Hussein Tshabalala 'asinya' Simba SC mbele ya Kocha Mkuu Profesa Gomez

    Ameshamalizana na Simba SC dakika 15 zilizopita na anaendelea kubakia Simba SC mpaka pale atakapozeeka kabisa. Na sasa kuna Clause tumeweka ambapo Timu za ndani kama Azam FC ikimtaka itoe Tsh Bilioni 1 tu. Kama Klabu ya Yanga SC ikimuhitaji basi itabidi imnunue kwa Tsh 37 Bilioni tu. Klabu...
  17. Z

    Attitude ya Harmonize yafikisha views Million 3 ndani ya masaa 27

    Wimbo wa attitude wa Harmonize yafikisha views million 3 ndani ya masaa 27 you tube. Hii ni record ya aina yake inawekwa na Harmonize. Kama anatania vile lakini ndio anachukua kijiti Cha king of bongofleva kwasasa. Tumsuport jeshi ili tupate kuongeza international artist from Tanzania.
  18. Kilwa Masoko, Lindi: Zaidi ya Tani moja ya Dawa za Kulevya yakamatwa

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na kikosi cha wana maji cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania wamekamata zaidi ya tani mbili ya dawa za kulevya aina ya Heroin. Kazi iendelee,naona wauza unga wanajaribu kupima upepo,pongezi kwa serikali ya awamu ya sita ======...
  19. U

    Klabu ya Simba yapewa siku 14 kulipa kodi ya ardhi jumla ya Tshs milioni 77

    Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar es salaam ( kupitia Baraza la Ardhi na Nyumba) imeipa Klabu ya Simba muda wa siku 14 kulipa tshs milioni 77 kama fidia ya kodi ya ardhi vinginevyo mali za Klabu hiyo ikiwemo kiwanja cha Bunju kitashikiliwa au kitauzwa Utekelezaji wa agizo hilo...
  20. Lawd hamercy!! This can’t be!!

    Is this really real or my mind is playing tricks on me? Everyone involved in this phuckery got to go.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…