Taliban yapiga marufuku Waafghanistan kuondoka nchini humo kuanzia leo

ad8565a032be52e5df77b97d46de1509.jpg

Daaah! Kutokula hii kitu watu husababisha ukatili
 
Taarifa za muda mfupi uliopita

Msemaji wa Serikali ya Taliban amesema wamepiga marufuku Raia yeyote wa Afghanistan kuondoka nchini humo kuanzia leo

Aidha ameongeza kuwa wamepiga marufuku Wanawake kutoka nje ya nyumba zao

BBC
Taarifa hii niya uingo. Hembu isikikize BBC vizuri.

Tuwache tabia za uongo na unsfiki nyie wenye VIFUA FLAT
 
Taarifa za muda mfupi uliopita

Msemaji wa Serikali ya Taliban amesema wamepiga marufuku Raia yeyote wa Afghanistan kuondoka nchini humo kuanzia leo

Aidha ameongeza kuwa wamepiga marufuku Wanawake kutoka nje ya nyumba zao

BBC
Ndo maana RAIA walikuwa wanakimbia!
Kwann sasa wanawalazimisha kubaki?
 
Biden ALIKURUPUKA na kutosikiliza ushauri wa washauri wake toka State na Defence Depts, sasa imekula kwake. Maelfu ya Afghanistans ambao wana uraia au ukazi wa kudumu Marekani, Canada, UK na nchi nyingine za Magharibi ndiyo wameshakwama. Na kama majeshi ya USA na nchi nyingine za Magharibi hayatamaliza kuondoka August 31st nina wasi wasi Talibans wanaweza kabisa kuanzisha varangati la nguvu sana ambalo litasababisha vifo vingi sana pande zote mbili.
Taarifa za muda mfupi uliopita

Msemaji wa Serikali ya Taliban amesema wamepiga marufuku Raia yeyote wa Afghanistan kuondoka nchini humo kuanzia leo

Aidha ameongeza kuwa wamepiga marufuku Wanawake kutoka nje ya nyumba zao

BBC
 
Basi macho yote Afghan kwa sasa
Wazungu wanatafuta kila njia kuonesha dunia kuwa hao watu ni wabaya
Wawaachie nchi yao kwani miaka 20 ya kuvuna Opium haijawatosha?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom