Mohammed Hussein Tshabalala 'asinya' Simba SC mbele ya Kocha Mkuu Profesa Gomez

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,548
108,882
Ameshamalizana na Simba SC dakika 15 zilizopita na anaendelea kubakia Simba SC mpaka pale atakapozeeka kabisa.

Na sasa kuna Clause tumeweka ambapo Timu za ndani kama Azam FC ikimtaka itoe Tsh Bilioni 1 tu.

Kama Klabu ya Yanga SC ikimuhitaji basi itabidi imnunue kwa Tsh 37 Bilioni tu.

Klabu zote za Afrika Kusini au Uarabuni zikimuhitaji basi tutawapa ( tutawauzia ) kwa Tsh Milioni 500 tu pekee.

Yaani Tshabalala atoke anakokula Kuku na Mrija 24/7 aende wanakogombania Maukoko ya Ugali, Mnafu na Maharage yaliyochacha Yanga SC? Hivi mpo serious kweli nyie?

Asante Mo Dewji na Asanteni Simba SC.
 
Kwanhiyo kijana katema ofder ya mamelodi sundown na chiefs?
 
Aende akachukue namba ya nani kwenye hizo team?
Sii walikuwa wanamtaka sii maana yake anaenda kuchukua namba ya mtu jamani.

Alafu sii unajua tena ni opportunity ya kuishi kwa madiba unachukua ndugu zako kama wadogo zako wanapiga skonga hapo angalau wakitoka huko lugha ya malkia ilishakaa sawa.
 
Labda akachezee benchi na kubadilisha hali ya hewa
 
Back
Top Bottom