news

  1. G

    JamiiForums Tanzania Serikali inayapangia Magazeti kitu cha kuandika? Tazama haya magazeti

    Leo nimeshtushwa na magazeti haya mawili katika kurasa zao za mbele kubwa na vichwa vya habari vinavyofanana. Kumekuwepo na tetesi kwamba serikali imekuwa ikiyapangia magazeti habari za kuandika. Kati ya magazeti ambayo yalikuwa yamebaki na uhuru kidogo ni haya ya Mwananchi Communication...
  2. Franky Samuel

    JamiiForums Tanzania Kombe jipya la NBC Premier League hili hapa dondosha maoni yako

    Hili kombe Zuri tofauti na lile la mwaka jana
  3. toplemon

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Jela miaka 29 kwa kumbaka mtoto mdogo wa kiume mwenye miaka 8

    Mahakama ya Wilaya ya Iringa, mkoani Iringa imemhukumu mkazi wa Kijiji cha Lumuli wilayani Iringa, Desderia Mbwelwa (57) (katikati) miaka 29 jela kwa kosa la unyanyasaji wa kingoni (grave sexual harassment) mtoto wa kiume mwenye miaka nane wakati kijana huyo akiwa anachunga ng’ombe ndipo mama...
  4. Heavy Metal

    JamiiForums Tanzania Chama afungiwa mechi tatu na faini ya Tsh. Laki 5

    Mchezaji wa Simba Clatous Chama amefungiwa mechi tatu na faini ya Tsh. 500,000/- kwa kumkanyaga kwa maksudi mchezaji wa Ruvu Shooting Abal Kassim Suleiman katika mchezo uliohusisha timu hizo kwenye uwanja wa Azam Chamazi Complex.
  5. Yofav

    JamiiForums Tanzania Sindano ya kutibu U.T.I yadaiwa kumletea madhara mwanamke huyu

    Taharuki yaibuka mkoani Arusha baada ya mwanamke mmoja Ester ambae ni mzaliwa wa Singida, Baada ya kuvimba na kuoza kwa kwa vidole vyake vya mkononi kudai kwamba sababu ya tatizo lake hilo baada ya kuchomwa sindano ya U.T.I katika moja ya duka la madawa (pharmacy) linalopatikana mkoani hapo...
  6. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Saudi Arabia yaungua moto Sudan

    Shirika la Saudi Arabia limesema moja ya ndege zake aina ya Airbus A330 ilihusika katika "ajali" baada ya video kuionyesha ikiwa moto kwenye lami katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Khartoum wakati wa mapigano." Saudia imesema katika taarifa yake leo Jumamosi kwamba, safari zake zote za...
  7. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Emirates imepata dharura, kutua Dar

    Ndege ya Fly Emirates namba EK 262 iliyokuwa ikitokea Sao Paulo kuelekea Dubai, imebadili njia na sasa yaelekea kutua JNIA baada ya kupata dharura. Inakuja tua JNIA sababu imekwepa Anga la Sudan ambapo kuna hali ya sinto fahamu Mahotel na Coaster zijiandae kunufaika maana abiria ni zaidi ya 200
  8. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Yanga kuifunga Simba siyo habari (news) ila kinyume chake ndiyo habari (news)

    Wananchi tumezoea ushindi, tunafunga Simba, Paka, Chui, Sungura na yeyote ajaye mbele yetu. Yanga kuifunga Simba haijawahi kuwa ni habari, na pengine vyombo vya habari visiandike au kutangaza, ndiyo kawaida, yaani mfumo wa maisha kimichezo kwa sasa. Ni kama binadamu kula samaki, ni jambo la...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Droo Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga SC vs Rivers United - Simba SC vs Wydad Casablanca

    Stay tuned hapa kwa updates mbalimbali kwa yatakayojiri katika droo hii hapo baadaye saa 3:30 usiku. Simba SC 🇹🇿 anaweza akakutana na timu moja wapo kati ya hizi • ES Tunis 🇹🇳 • Mamelodi Sundowns 🇿🇦 • Wydad Club Athletic 🇲🇦 Yanga SC 🇹🇿 inaweza kukutana na tumu moja wapo kati ya • A = USM Alger...
  10. 5523

    JamiiForums Tanzania Sky News: Finland Officially joins NATO

    Finland officially joins NATO, as Russia says it may have to respond Finland shares a 1,340km (832-mile) border with Russia, so its entry will more than double the size of NATO's border with the nation. Finland applied to join NATO in May 2022, setting aside years of military nonalignment to...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Breaking News: Makamu wa Rais wa Marekani aomba kukutana na Washindi wa Majukwaa JamiiForums

    Mwenye Suti Kali naomba aniazime.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kiungo fundi (Mudathir Yahya) asaini miaka 2 Yanga SC

    Klabu ya Yanga imethibitisha kumuongezea Mkataba wa miaka mow ili 2)kiungo Mudathir Yahya wenye kipengele cha kuongeza. Mudathir alitua Yanga katika dirisha dogo la Januari mwaka huu na ameonyesha kiwango kikubwa kwenye mechi za mashindano alizocheza mpaka sasa.
  13. Chikenpox

    JamiiForums Tanzania Pope Francis has signed a decree to forbid Priests or bishops to bless Same Sex marriages

    Breaking News Pope Francis has signed a decree to forbid Priests or bishops to bless Same Sex marriages in the Roman catholic church and he has directed all Bishops and priests everywhere in the world to condemn this barbaric and satanic acts we call LGBTQ rights! The official Position of...
  14. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwalimu auawa na Mwalimu mwenzake shuleni

    GEITA. Kuna tukio la mauaji limetokea Mkoa wa Geita Wilaya ya Geita. Mwalimu Emmanuel Peter Chacha wa shule ya msingi Igaka iliyoko halmashauri ya Wilaya ya Geita ameuawa Leo March 15 Kwa kuchomwa kisu na mwalimu mwenzake. Marehemu alichomwa kisu wakati akielekea darasani kufundisha...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Bei ya unga kilo 25 ni elfu 48 kutoka elfu 35

    Habar wadau. Leo asubuhi nimeamka nikiwa na ratiba zangu za kila siku. Ratiba ya kwanza ni kununua vitu vya shop na kuanza na ratiba zingine. Nikampigia jamaa wa duka la jumla nikitaji sembe. Akaniambia kaka sembe imepanda kwa kuwa nilizoea elfu 41. Nikajua itakuwa elfu 42. Jamaa akasema hana...
  16. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania United Nations votes to demand Russia exit Ukraine Immediately

    23 FEBRUARY 2023 The United Nations, meeting in New York, has voted to DEMAND Russia withdraw from Ukraine "immediately and Unconditionally." The vote was 141 in favor, 7 opposed, with 32 abstaining. The same UN that indefinitely delayed the meeting about the Nord Stream pipeline being...
  17. Matango

    JamiiForums Tanzania Umeme ni maafa ya taifa- Afrika kusini

    Rais wa Afrika ya Kusini ameshalitangazia Taifa hilo kubwa kuwa sasa Umeme umekuwa janga la Taifa na Mamlaka za kushughulikia majanga zimeanza kufanyia kazi hali hiyo ili kulinusuru Taifa hilo kutokana na madhara ya kukosekana kwa umeme. Hali ni mbaya mitambo ya kuzalisha umeme kwa kutumia...
  18. USSR

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum atenguliwa

    Baraza la Waislamu BAKWATA lilikaa jana chini ya Mufti Zubery limfuta kazi Shekhe Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Alhaji Mussa Salumu kutokana na mienendo isiyofaa aliyoionesha tangu siku za nyuma na kufuatia kulumbana na baraza la Maulamaa kuhusu talaka ya mke wa Dk Juma Mwaka. Juzi vyombo vya...
  19. fimbo ya mpera

    JamiiForums Tanzania Kamisheni ya Afrika Haki za Binaadamu yakutanishwa na wahuni wa Arusha?

    WAKUU, Tangu asubuhi leo Watu wa haki za binaadam wamejifungia wanaojiita The commission on human and peoples' rights wamejifungia chumbani na baadhi ya watu waliookotwa na wanaharakati wanaotumika kulichafua taifa letu na kumchafua Rais Samia kuhusiana na masuala mbalimbali yenye tija kwa...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Gari lalipuka Moto Mbezi Beach!. Hakuna Msaada Wowote wa Zimamoto/Wananchi ni Kukodoa tu Macho Kuangalia kama Sinema!

    Wanabodi Hii ni sasa hivi maeneo ya Mbezi Beach Tangi Bovu, Ingekuwa ni maeneo ya Uswazi watu angalau wangejitahidi kidogo, japo kusaidia kuzima kwa mchanga!, lakini haya maeneo ya kishure, washure wanakodolea tuu macho!. Zimamoto ndio usizungumzie kabisa!. Mtanisame nili staafu uandishi wa...
Back
Top Bottom