Wakazi wa makkah ambao ni maquraish walikuwa na mashaka juu ya Utume wa Muhammad rehma na amani ziwe juu yake, hivyo walitaka kujiridhisha je huyu kweli ni Mtume wa Mungu au laa!
Basi kwakuwa wanajua kule Madina kuna wanazuoni wa Kiyahudi au watawa wa kiyahudi na wanaijua vizuri Taurati pamoja...