neno

Emmanuel Neno is a Pakistani Christian author and translator.

View More On Wikipedia.org
  1. toriyama

    JamiiForums Tanzania Ukituma sms yeye neno "SEX" kwa mtandao wa TIGO ujumbe haziendi/kumfikia mlengwa nani kuruhusu hili?

    Ukituma sms yeye neno "SEX" kwa mtandao wa TIGO ujumbe haziendi/kumfikia mlengwa nani kuruhusu hili? Lakini ukiandika kwa kuacha nafasi sms inaenda au ukiweka alama katikati ya neno SEX mfano SE.X sms ndio inaenda nani kuruhusu mambo haya?
  2. tamsana

    JamiiForums Tanzania Namna nchi za AFRIKA zinavyoeleza MAANA ya neno 'SERIKALI'

    Jisomee mwenyewe.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mambo 15 niliyoyaona Simba vs Yanga Ngao ya Hisani jana

    1.Timu yetu ina wachezaji wazuri na wenye uwezo wa kutuletea mafanikio msimu huu, jana kwangu naona upangaji wa kikosi haukuwa mzuri, kwa mfano Yanga wameonekana wakomavu kwa sababu wanategemea sana kuchezesha viungo kama Simba ile ya akina Yussuph Macho, Shekhan Rashid. Yanga kama kawaida yao...
  4. L

    JamiiForums Tanzania TFF mmeona walichokifanya Utopolo leo uwanjani, nasubiria mseme neno

    Tumewaona utopolo katika basi Lao wametanguliza wachezaji 4 t, wengine wamepanda mabasi mengine, TFF nasubiria tamko lenu, wanasema hawarogi nn hii
  5. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi Harmonize kutumia hili neno BOMBOCLAT? Mbele ya viongozi

    Harmonize katika show ya yanga ilikuaje akatumia huu msamiati wa kijamaika wenye maana ya Mother ***** BOMBOCLAT
  6. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Aibu kubwa: Mkuu wa nchi yupo Morogoro yenye shida ya maji kila kona. Lakini hajatamka neno moja juu ya mradi wa Kidunda

    Hii ni dhahiri kuwa hayupo serious na maisha ya wananchi. Zaidi ya kampeni za chinichini alizoanza kwa kulaghai wananchi ili wajazane kila anapopita. Mradi wa Kidunda una umuhimu sana kutatua shida za maji kwa mkoa wa Morogoro. Nilitegemea kiongozi makini aombe msamaha kwa kutotekeleza mradi...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kila neno litaandikwa leo kuisifu Israel

    Kufuatilia kifo cha kiongozi wa Hamas, tutaskia zile sifa za miaka yote juu ya uhodari wa IDF. Sifa za uongo kuhusu jeshi la Israel zitatawala sana wiki hii. Tutasahau kama wanashindana na kikundi kidogo cha Hamas ma ameshapoteza zaidi ya askali 500
  8. realMamy

    JamiiForums Tanzania Neno “Asante” ni dogo sana lakini lina maana kubwa sana

    Kiukweli kabisa kuna watu hawajui kusema Asante Jamani! Sijui ni kutokuridhika na hata kitu kidogo. Usiposema asante huwezi pata zaidi hata siku moja zaidi ya kupoteza. Mimi binafsi kuna nimempatia vitu vingi lakini ni kama anataka zaidi yani anaonyesha kuna kitu bado sijampa. Hiki kitu...
  9. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Faida nilizipata baada ya kuanza kusoma neno la Mungu ( biblia)

    Watu wengi wamejikita kwenye mambo yao bila kumshirikisha Mungu kikamilifu kwa kusoma neno lake kikamilifu hata wakristo wanaoshinda kanisani wengi siku hizi hawasomi neno zaidi ya kutafuta miujiza utakutana mkristo biblia anaifungua siku za Ibada tu Yani jumapili hadi jumapili na hii ndio...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Neno Sanda katika jezi mpya ya Simba ni kinga dhidi ya washirikina na wenye husda dhidi ya Simba, mnaopinga neno hilo mna nia mbaya na timu yetu

    Kama kweli wewe ni mpenzi na mwanachama wa Simba na unaitakia Simba mema, basi usikubali kuingia mtumbwi wa kibwengo, hilo neno Sanda hapo kwenye jezi mpya ya Simba halikukaa kimakosa, nyie wote mnajua maana ya Sanda. Sanda ni shuka anayofunikwa maiti kuelekea kaburini kuzikwa.Simba imeweka...
  11. Bunchari

    JamiiForums Tanzania Naomba anaejua anifundishe jinsi ya kuanza kuhubiri neno la Mungu

    Habari wakuu Kama kichwa kinavyosema hapo juu naomba msaada,pia kama Kuna group za Whatsapp naomba kuunganishwa.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Neno Moja kwa NABII

  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi mlioko hapa JamiiForums tafadhali naomba neno sahihi la Kiswahili la 'Quarter Guard' nitawashukuruni sana

    Na nitaomba pia kama kuna Mwanajeshi yoyote yule hapa JamiiForums mwenye Kamusi Maalum ya maneno ya Kijeshi ya Kiswahili kwenda Kiingereza au Kiingereza kwenda Kiswahili aniwekee hapa au aniambie naweza kuipata wapia. Asanteni Maafande.
  14. Tatu

    JamiiForums Tanzania Update: Naomba Neno Moja tu la Kingereza Ambalo Halina Tafsiri Rasmi ya Kiswahili.

    Kama kichwa cha Habari kinavyosema, zaidi ya wiki sasa imepita toka nilete hii changamoto iliyopo katika lugha yetu ya Kiswahili. https://www.jamiiforums.com/threads/naomba-neno-moja-tu-la-kingereza-ambalo-halina-tafsiri-rasmi-ya-kiswahili.2228322/page-9#post-50651130 Nashukuru kwa wale wote...
  15. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Jinsi wanaume tunavyotapeliwa katika neno "kuwajibika"

    Wanaume wengi wamepumbazwa katika ili neno "kuwajibika" kitu ambacho kinapelekea wanaenda extra miles kulazimisha wafanikishe mambo yasiyokuwa na ulazima hata kama wanajiumiza au kujirudisha nyuma kimaendeleo. Tutaangalia baadhi ya mifano. 1. Mahusiano ya kimapenzi. Ukisikia mwanamke anaongelea...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
  17. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Neno "Kuweza"

    Neno "kuweza" limekuwa linatumiwa vibaya sana kwenye kiswahili cha siku hizi. Luna mifano mingiya matumizi hayo haramu kwa mfano kwenye sentensi hii ina makosa: "Mchezaji wa zamani wa timu A ambaye aliweza kufukuzwa kwenye timu hiyo, sasa hivi kajiunga na timu B." Naomba thread hii ikusanye...
  18. lugoda12

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuwa mtu mzuri kwa kila mtu

    HUWEZI kuwa mtu mzuri kwa kila mtu. Baadhi ya watu wanahitaji tu uzoefu! ✍🏾
  19. THE BEEKEEPER

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa maneno vifupi kihuni tupia neno moja la kisela

    1. 2100- tumia
  20. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Hisia za maumivu ya ajali za barabarani zinavyomezwa na maneno ''Tuko kwenye mchakato"

    Tanzania imekuwa ikikumbwa na changamoto ya ajali za barabarani ambazo zimechangia kwa kiasi kikubwa vifo, ulemavu na uharibifu wa Mali na vyombo vya usafiri. Katika taarifa zinazotolewa nyingi zimekuwa zikizungumzia idadi ya vifo na majeruhi, lakini wengi wa majeruhi wanakua wamepoteza viungo...
Back
Top Bottom