Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.
Hizo huwa mnatutajia humu akina UDSM sijui UDOM hawapo hawatambuliki wala kusikika, ndugu zetu hata sayansi naona mnitelekeza kwa kauli za kuponda chanjo ya korona huku mkiendelea kupokea chanjo ya maradhi mengine kutoka kwa hao hao mabeberu.
The University of Nairobi has been ranked the top...
Naona hizi taarifa jamaa amekamatwa na furushi la vinyonga alilokua anasafirisha kimagendo kutokea Tanzania kupitia Ethiopia, yaani huko nje vitu kama hivi ni dili la kupiga hela, ila wenzetu wa kusini wao wapo wapo tu. Mambo kama haya yangetendeka enzi za mababu ingeeleweka, ila yanatendeka leo...
Kuna hoja ameiwasilisha Polepole kwenye television (chanel 10) kipindi cha papo kwa papo nakuungwa mkono na Mhe Waziri kwamba mabasi badala ya kwenda kwenye hoteli zenye hadhi na chakula salama wawapo safarini Basi mabasi hayo yasimame kwa muda mrefu stand watu wale chakula nakupata huduma...
Ni huzuni
Ni majonzi
Mpendwa wetu ametutoka akipatiwa matibabu Hospitali Mugana wilayani Misenyi
Mtumishi huyu wa Bwana amehitimisha safari yake ya Utume katika Parokia ya Mtakatifu Yohana Maria Muzeyi - Minziro Jimbo Katoliki la Bukoba
Mwili wa Mwendazake huyo utapumzishwa Jumatatu kwenye...
Katika shemeji zenu wavumilivu huyu ni mvumilivu sana. Mpaka naogopa na kumwonea huruma sababu ni mwanamke mzuri anayejielewa ila kanipenda mimi mtu wa hovyo kabisa. Nisiyemfaa, mjinga, bwege na fala.
Hili jambo limenitesa sana moyo wangu.mdada ameshawahi nifumania mara 2 akanisamehe na...
Jana nimetoka zangu mkoa kurudi Jijini nikiwa na jamaa yangu katika mizunguko ya maisha.
Kufika Chalinze tukakuta watu kadhaa wakisubiri usafiri wa kuja Dar. Nlimwona dada mmoja mzuri amependeza na amekaa kwa unyonge sana, zaidi alikuwa na kabag tu kadogo.
Akasimamisha gari, nikasimama mbele...
Binadamu ana thamani zaidi ya fedha, kumnyima uhuru binadamu nikuzamisha ndoto zake nakumkoseha Uhuru wakufanya yale aliyopangwa kufanya hapa Duniani.
Mateka Duniani siku zote wamekuwa wakithaminishwa na fedha au Mali, kwamba unatekwa unafichwa then ndugu zako wanaitwa watoe kiasi flani cha...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wa humu JamiiForums.
Ndugu zangu Watanzania;
Kuna stage ugonjwa ukifika ni lazima busara itumike. Mnauza mali zote kulipia matibabu, ndugu anakufa kisha familia inabaki na umasikini wa kutupwa. Familia masikini/fukara kuuza nyumba yao ya pekee ni pigo...
TANZANIA NA CHINA YASAINI MKATABA WA KUJENGA RELI YA KISASA (MWANZA-ISAKA)
Serikali ya Tanzania na China vimeingia makubaliano ya kujenga reli ya kisasa ya Kilometa 341 kutoka Mwanza hadi Isaka
Hicho ni kipande cha tano, ambapo kipande cha Kwanza ni kutoka Dar mpaka Morogoro, Cha pili ni...
Mkazi wa Kijiji cha Mvungwe wilayani hapa ameuawa kwa kushambuliwa na ndugu yake baada ya kutokea ugomvi uliotokana na deni la Sh13,000.
Habari zilizopatikana na kuthibitishwa na Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Tanga, Blasius Chatanda ni kuwa mauaji hayo yalitokea jana saa 1:00 asubuhi katika...
Nasema uongo ndugu zangu? Huu msemo kwasasa ndio unatrend sana hapa jamiiforums. Ni nadra sana ukafungua uzi wowote halafu kwenye comment 10 za mwanzo usikutane na huu msemo, ni nadra sana! Nasema uongo ndugu zangu? Msemo gani mwingine una trend wakuu?
Wakuu, nmekuwa nikisoma hapa JF, mara nyingi tu huu msemo kuwa "" nasema uongo ndugu zangu?"....
Naomba kufaham msemo huu ulitokea wapi na ni nani mwasisi wake, huwa unatumika katika mzingira gani?
Japo kwa kweli unavutia sana kuutumia...
Wadau, kupitia gazeti la mwananchi la tarehe 20/12/20 Brg. Gen Mbungo, kamanda wa Takukuru Tanzania ameeleza kuwa, kuna taasisi nyingi zinaumiza wananchi kwa kutoza riba kubwa, ikiwemo kushikilia mali za watu kutokana na mikopo umiza.
Km unauelewa wa taasisi hizo au vikundi hivyo, basi vitaje...
Morning Fam,
Kimsingi licha ya exposure katika mambo mengi tu yakiwamo mahusiano, magari, fashions na teknolojia nikiri tu kuna maswala mengine niko katika ujima.
Hivi karibuni nimekumbwa na kipengele, nataka nikanunue Gold jewelleries zikiwemo hereni, chain na pete ila sasa kimsingi sijui...
Niko 'frustrated' naomba mniwie radhi kama uandishi na mpangilio wa hoja yangu utashindwa kueleweka kwenu.
Ni hivi,
Mimi pamoja na kaka yangu mkubwa tumbo moja na baba tulikuwa tukiishi vizuri lakini uhusiano wetu ulianza kuingia doa baada ya mzee wetu kufariki.
Baada ya mzee kufariki...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania;
UTANGULIZI
=====
Ndugu zangu, umasikini ni kitu kibaya sana. Umasikini unakatisha uhai wa watu wengi wangali wadogo sana kwa sababu tu wameshindwa kumudu gharama za matibabu.
Umasikini ndio chanzo cha...
Mnaipaka matope nchi yenu mnasema eti ni nchi isiyothamini wawekezaji je hii ni kweli?
Mmechukia kutopata Ubunge je kwani Ubunge ni ajira? Hapana.
Kwa muktadha huu ni kuwa watanzania wameridhika na CCM.
Sasa mnataka nini? Mnaeneza uongo hapa Jf kuwa wawekezaji wanadhulumiwa bil of Tsh, jambo...
Habari za majukumu ndugu zangu wa jf?
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 mzaliwa wa wilaya ya kyela. ninaishi (mbeya mjini)
Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu ngazi ya shahada ya kwanza ya elimu (BAEd) kutoka chuo kikuu cha Tumaini Makumira Arusha mwaka 2016. Nimetafuta kazi kwa bidii sana...