Pamoja na Eid, ndugu Waislam Tusisahau Corona Ingalipo

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,857
35,868
Mabibi na mabwana hayawi hayawi hatimaye yamekuwa. Wengine leo na wengine kuanzia kesho. Yote kheri.

Pichani ni kutokea Kigali Rwanda, sherehe za Eid katikati ya Corona inawezekana!

IMG_20210513_172321_035.jpg

Kunawa nawa mikono, social distancing + kuvaa barakoa hadi pale tume ya mama itakapotoa tamko rasmi, mdogo mdogo maisha yanaweza kuendelea katika usalama.

Kazi na iendelee.
 
Nice alert hasa maeneo ya mikusanyiko.

Ni mambo rahisi ya msingi ya kuzingatia ndani ya uwezo wetu yenye impact kubwa katika kulinda maisha.

India walizembea kwenye mikusanyiko ya rituals zao sasa hivi wanajuta.

Walisema waungwana mzaha mzaha hutumbua usaha.
 
Kenge huwa hana habari kuwa anapigwa ni hadi atoke damu masikioni,kirusi hatari cha India tayari kimeshatua nchini ila kama nchi hatuna habari na tupo busy kufanya mizahaa kama hii!👇
987654-1.jpg
 
Kenge huwa hana habari kuwa anapigwa ni hadi atoke damu masikioni,kirusi hatari cha India tayari kimeshatua nchini ila kama nchi hatuna habari na tupo busy kufanya mizahaa kama hii!👇View attachment 1783545

Kama Wachambuzi wetu sayansi ni kina Gwaji boy na kina msukuma. Madaktari wetu wateuliwa wapiga nyungu. Si ajabu kuwa chuo chetu ranked #1 nchini ni #2021 duniani.
 
Mabibi na mabwana hayawi hayawi hatimaye yamekuwa. Wengine leo na wengine kuanzia kesho. Yote kheri.

Pichani ni kutokea Kigali Rwanda, sherehe za Eid katikati ya Corona inawezekana!

View attachment 1783442

Kunawa nawa mikono, social distancing + kuvaa barakoa hadi pale tume ya mama itakapotoa tamko rasmi, mdogo mdogo maisha yanaweza kuendelea katika usalama.

Kazi na iendelee.
Mpaka siku ikuue ndipo utaiacha hiyo corona
 
Mabibi na mabwana hayawi hayawi hatimaye yamekuwa. Wengine leo na wengine kuanzia kesho. Yote kheri.

Pichani ni kutokea Kigali Rwanda, sherehe za Eid katikati ya Corona inawezekana!

View attachment 1783442

Kunawa nawa mikono, social distancing + kuvaa barakoa hadi pale tume ya mama itakapotoa tamko rasmi, mdogo mdogo maisha yanaweza kuendelea katika usalama.

Kazi na iendelee.
Hujawatendea haki wale wa Mbagala leo
 
Hujawatendea haki wale wa Mbagala leo

Heri ya nusu shari mkuu.

Kuna na kuchapa kazi kweli kweli ili kazi iendelee.

Misahafu ya kikristo inatambua kuwa sote hatuwezi kuwa wamesha milangoni mwa watu wote tukiwalilia hali kwa ajili ya maisha yao na yetu.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Kwani tangu ilipomalizana na yule bwana aliyekuwa akisema kaifukuza kwa maombi, umesikia tena mambo ya nyungu?
Dose hii hapa:

Dose ni hii:-

1. Ivermectin 5mg 1x2 kwa siku 10;
2. Azithromycin 500mg 1x1 kwa siku 6;
3. Ped Zinc 1x1 kwa siku 10;
4. Junior Asprin 1x1 kwa siku 10;
5. Multi Vitamine 1x1 kwa siku 10;
6. Cetrizine 10mg 1x1 kwa siku 10;
7. Prednisolone 20mg 1x1 kwa siku 10; na
8. Amoxiclov 625mg 1x2 kwa siku 5.

Hutaki Acha ikuulie mbali. JPM hakuwa na Corona wewe Acha uzushi
 
Vipi nyungu haimo humo?

Nita forward hii prescription kwa wabobezi. Mitaani huku hata kina gwaji boy nao wanatoa zao.

Tunaogopa kuwa guinea pigs wa madaktari kanjanja.

Kwani alikuwa mgonjwa huyu?

IMG_20210327_082404_022.jpg

Ogopa huyu jamaa:

IMG_20210508_211811_711.jpg

Hana simile!
 
India wameanza kutoa ivermectin kijana

Nasubiri mrejesho tokea kwa wataalamu wanaojulikana. Hizi zenu za u Dr. kolola kumbe ni Rev. kalokola hatuwezi kuziingia kichwa kichwa.

Huko India walakini, Wahindi hawajaanza kutoa nyungu japo season 1?
 
Back
Top Bottom