Ndugu zetu 'Wanajeshi' si tulishakubaliana kuwa hii tabia ya 'Kuua' Wake zenu kwa 'Wivu' wa Kimapenzi isijirudie tena?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,385
108,453
Askari JWTZ Mbaroni kwa Kuua Mke kwa Kumchoma na Kisu kwa kile kinachodaiwa ( na ambacho GENTAMYCINE nina uhakika nacho ) kuwa ni Wivu tu wa Kimapenzi.

Chanzo: Habari Leo Ukurasa wa 3

Sasa nyie Marafiki zangu ( Wajeda ) mnakuwa na Wivu hivi kwakuwa 'mnamegewa' sana Wake zenu mbona na nyie ndiyo Mabingwa wa 'Kutubandulia' hovyo Dada na Mademu ( Wake ) zetu Sisi Raia humu Mitaani?

Halafu si niliambiwa kuwa kwa nyie ambao ama huwa mnaenda katika Missions ( huko Sudan Kusini na DRC ) au Kozi zenu kabla ya Kurejea Makwenu huwa mnapewa Counseling na Wakubwa zenu kuwa muwe Wavumilivu kwa chochote kile mtakachokikuta kwa Wake zenu pale mkirejea Kuungana nao?

Leo GENTAMYCINE nawapeni Makavu ili mbadilike na najua hapa JamiiForums mpo wengi tu. Hivi nyie ( Wajeda ) kwa Akili ya kawaida kabisa mlitegemea Wake zenu mkiwaacha kwa Miezi 4 au 6 au 9 na mpaka 12 wakae bila 'Kubanduliwa' na hata Kubebeshwa Mimba?

Kwahiyo 'Nyege' huwa mnazo nyie tu ile Wao ( Wake na Mademu ) zenu mliambiwa kuwa ni Malaika ambao wanaweza kuwa Waaminifu kwa 'Kutokubanduliwa' na 'Masela' Wengine wowote pale nyie mkiwa hampo nao kwa muda mrefu?

Na nahisi huyu Askari ( Mwanajeshi ) aliyefanya hili Tukio atakuwa ni Mhaya au Mnyiramba au Muha au Mnyaturu au Mkara au Mrangi kwani ndiyo wanaoongoza kwa kuwa na Wivu wa 'Kishamba' wa Kimapenzi tofauti na Wakurya na Wazanaki ambao ni Wastaarabu ( Waaminifu ) mno na hawauwi Wake zao na wanawapenda kweli kweli hata Malaika wa Mbinguni wanalijua hili ( hilo )
 
Mimi nilijua kwakuwa hawa Ndugu zetu ( Wajeda ) wamefundishwa sana Uvumilivu hivyo hata wakigundua 'Wanabanduliwa' Wake zao au Wapenzi wao basi wala 'hawatahamaki' na badala yake watakuwa tu Wapole na watawasamehe kisha Maisha yaendelee.
Hao ni kenge kwenye msafara wa mamba.
Nafikiri ndio wale wanabebwa tangu interview hadi anamaliza depo.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Askari JWTZ Mbaroni kwa Kuua Mke kwa Kumchoma na Kisu kwa kile kinachodaiwa ( na ambacho GENTAMYCINE nina uhakika nacho ) kuwa ni Wivu tu wa Kimapenzi.

Chanzo: Habari Leo Ukurasa wa 3

Sasa nyie Marafiki zangu ( Wajeda ) mnakuwa na Wivu hivi kwakuwa 'mnamegewa' sana Wake zenu mbona na nyie ndiyo Mabingwa wa 'Kutubandulia' hovyo Dada na Mademu ( Wake ) zetu Sisi Raia humu Mitaani?

Halafu si niliambiwa kuwa kwa nyie ambao ama huwa mnaenda katika Missions ( huko Sudan Kusini na DRC ) au Kozi zenu kabla ya Kurejea Makwenu huwa mnapewa Counseling na Wakubwa zenu kuwa muwe Wavumilivu kwa chochote kile mtakachokikuta kwa Wake zenu pale mkirejea Kuungana nao?

Leo GENTAMYCINE nawapeni Makavu ili mbadilike na najua hapa JamiiForums mpo wengi tu. Hivi nyie ( Wajeda ) kwa Akili ya kawaida kabisa mlitegemea Wake zenu mkiwaacha kwa Miezi 4 au 6 au 9 na mpaka 12 wakae bila 'Kubanduliwa' na hata Kubebeshwa Mimba?

Kwahiyo 'Nyege' huwa mnazo nyie tu ile Wao ( Wake na Mademu ) zenu mliambiwa kuwa ni Malaika ambao wanaweza kuwa Waaminifu kwa 'Kutokubanduliwa' na 'Masela' Wengine wowote pale nyie mkiwa hampo nao kwa muda mrefu?

Na nahisi huyu Askari ( Mwanajeshi ) aliyefanya hili Tukio atakuwa ni Mhaya au Mnyiramba au Muha au Mnyaturu au Mkara au Mrangi kwani ndiyo wanaoongoza kwa kuwa na Wivu wa 'Kishamba' wa Kimapenzi tofauti na Wakurya na Wazanaki ambao ni Wastaarabu ( Waaminifu ) mno na hawauwi Wake zao na wanawapenda kweli kweli hata Malaika wa Mbinguni wanalijua hili ( hilo )
Aione na ajitathimini Demi muke ya Askari
 
Back
Top Bottom