ndugu

Leon "Ndugu" Chancler ( in-DOO-goo CHANSS-lər; July 1, 1952 – February 3, 2018) was an American pop, funk and jazz drummer. He was also a composer, producer, and university professor.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Familia ziwe macho na vijana wao, ndugu kutafunana imezidi

    Wakuu hii hali imekuwa hatari. Hakuna cha binamu, sijui mtoto wa baba mkubwa au mama mdogo.. yaani vijana wanatafunana hatari. Hii sio sawa. Zamani ukisikia mabinamu wametafunana inakuwa jambo la aibu ukoo mzima. Ila sasa hivi hali imezidi kuwa mbaya. Leo nimeona na kusikia mama mmoja...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini ndoa ambazo wanaume wametafutiwa wake na wazazi, ndugu wa wazazi au ndugu zao, zinadumu zaidi ?

    Ni zile aina ya ndoa mwanaume anatafutiwa mke na wazazi, ndugu wa wazazi au ndugu zake watu wazima.
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wilaya ya Kakonko tulisainishwa fedha za kujikimu TZS 80,000 kwa siku ila tunaambiwa tutalipwa TZS 60,000

    Mimi ni mwajiriwa mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko, mkoani Kigoma. Wakati wa kusaini nyaraka za malipo ya fedha za kujikimu, kila mmoja wetu alisaini kiasi cha TSh 80,000 kwa siku kwa muda wa siku saba. Hata hivyo, baadaye tulipigiwa simu na kuambiwa kuwa kiwango hicho kimepunguzwa...
  4. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Tahadhari kwa ndugu Faustine Mafwele

    Kwanza kabisa sijakusamehe kwa kuhusika moja kwa moja na utekaji wa Humphrey Polepole na naunga mkono mkakati wowote wa kukuwajibisha wewe binafsi. Pili nakupa tahadhari walinde members wa familia yako waishio nchi fulani kusini mwa bara la Africa. Wameshawekwa kwenye rada siku kadhaa...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanaume, tunza pesa yako itakayokulea wewe mwenyewe mpaka mwisho wa maisha yako, mwanamke sio ndugu yako

    Jana jioni niliweza kuwatembelea wazee kadhaa waliostaafu na wengine wafanyabiashara wakubwa kiasi (mitaji yao bilioni kadhaa). Wengine wametelekeza majengo na biashara zao na kuamia mikoa mingine ili kuepuka fedheha aliyoipata kwenye mahusiano kwa mkewe. Wengine wameamua kuoa mara nyingine...
  6. JamiiForums Tanzania Ukumbusho kwa ndugu zangu Waislamu

    Ukumbusho kwa nafsi yangu kwanza, kisha kwa ndugu zangu vijana. Ewe kijana, dunia inatupumbaza kwa starehe zake. Leo tunaona muda ni mrefu, kesho tunasikia habari za aliyekuwa anacheka jana, leo yuko kaburini. Tunahangaika kutafuta raha za muda mfupi; pombe, uzinzi, mahusiano ya haramu, na...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kwani ndugu zangu Ccm ni LAZIMA mridhiane na Chadema si Bora mridhiane na Chaumma iliyokuwa na mgombea wa Urais au Act

    Kama ni Ishu ya maridhiano tu ndugu zangu Ccm ridhianeni na chaumma au Act ndo iliingia kwenye uchaguzi. Chadema Haina hata diwani kwanini mnalazimishe waingie kwenye maridhiano wakati Kuna watu wako tayari kina Yeriko na Zito . Nyie si mnataka TU ionekane mmeridhiana kama kule Zanzibar ingawa...
  8. JamiiForums Tanzania Je , upo comfortable watu wako wa karibu , ndugu na marafiki waijue account yako ya Jf ?

    Moja kwa moja... Jf imekuwa tofauti na mitandaoni wengine watu wengi tunatumia majina na picha fake kama utambulisho wetu wachache sana wanaotumia utambulisho wao halisi , hali hii inaelekea ugumu kukutana na kuwajua Wana Jf mtaani tofauti na mitandao mengine. Na mtu anaweza kujutajia account...
  9. JamiiForums Tanzania Makaburi gani mazuri kwa kuzikia ndugu Dar bila kukutana na usumbufu?

    Habarini za jioni, asubuhi na mchana kwa walio huko mawindoni. Nimewiwa kuuliza hili swali maana hivi majuzi nilifululiza kuzika ndugu na marafiki. Katika kuchimba kaburi nimekutana na changamoto nyingi sana. Wakati wa kuchimba, wengine wanakutana na mifupa, wengine wanakutana na mafuvu...
  10. JamiiForums Tanzania Ndugu Chalamila huu Mji wako mchafu sana hayo mabasi sio uchafu

    Nakuunga juhudi zako lakini anza na uchafu barabarani kwanza ,tengeneza mitaro,na sehemu za kutupa taka. Unakuta mji mzima asubuhi umesheheni makohozi tu hata kwa kukanyaga hakuna inakulazimu uruke makohozi kama madimbwi ya maji makohozi mengine unakuta yamechanganyika na ugoro Weka sheria...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Wakristo na Waislam pendaneni kwani ni ndugu na lenu ni moja

    Huwa nashangaa chuki baina ya watoto wa kiarabu wa baba mmoja waitwao wakristo na waislamu. Ukiwaangalia walivyofanana kama mapacha, unashangaa ni kwanini wanabagazana kubaguana, na hata kuchukiana. Nitatoa mfananisho: Mosi, wote wametokea Mashariki ya Kati. Pili, wote wanaamini katika ngano...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Serengeti imekuwa ikiinufaisha Arusha kwa miaka mingi, Ujenzi wa uwanja wa ndege unawapa hofu kubwa sana ndio maana hoja haikauki bungeni

    Baadhi ya watu wanadhani fursa za huu utalii tena wa mikoa mingine unatakiwa kunufaisha kwao tu Ni vita kubwa sana hii, kwa sasa tunasikia milio kila muda panaposikika habari za ujenzi wa uwanja na imeonyesha haijaanza leo bali ni ya muda mrefu sana kupiga sabotage uwanja huu, ila kwa sasa...
  13. JamiiForums Tanzania Jitenge na watu (ikiwemo ndugu), WASIOUCHUKIA umasikini

    Wewe unajitoa kupanga bajeti, kupanga uzazi na vingine vingi ili tu, usirudi ulipotoka. Halafu wapo watu ambao hufanya maamuzi waonavyo vyema, huku wakihitaji support Kununua umeme Kodi Mtu kakimbia shule ila anataka utume pesa ya kujikimu n.k Kisa na sasabu - "udugu" Hata kama una akiba...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Habari zenu ndugu

    Habari zenu ndugu wangu ?
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini mume wangu hawapendi NDUGU ZANGU?

    Hili limekuwa likinikishangaza sana 😢 majibu sipati,alisema suzy nimeolewa na mume wangu kwa miaka 5 na tuna watoto 2, na tumejenga nyumba yetu nzuri na tuna usafiri wetu, kwa kifupi maisha yetu si haba. Kinachashangaza kuhusu mume wangu hapendi kuona ndugu zangu kuja kwetu tulipo, either kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Irene Uwoya: Sitaki Mwanangu Alale kwa Ndugu!

    Irene Uwoya anasema hatamani kabisa mtoto wake Krish kulala hata kwa ndugu yake kwasababu Dunia imearibika kwasasa. "Nikweli Kwenye Malezi ya watoto kuna muda tunakosea ila mimi siwezi kupenda mwanangu aaribike hapana, Hakuna mama yeyote alieingia leba akafungua anaeweza kutaka mtoto wake...
  17. JamiiForums Tanzania Sitokaa nihudhurie tena kwenye harusi ya dada au ndugu wa karibu upande wa kike

    Nineumia sana kuona dadangu anashikwa shikwa trako na kuchezewa mbele yetu ma kaka na wazazi ukumbini kisa wanacheza mziki wa bluez. Japo dada yetu katuheshimisha kutuletea shemela lakini binafsi nimeumia. Yaani baada ya kula na kunywa tukiwa ukumbini kuna mda kukawa hakuna shamra shamra...
  18. JamiiForums Tanzania Mke siyo ndugu yako!

    Kama mwanaume ni mbwa basi mwanamke ni joka! Usipaniki..hebu sikia ya huyu mwanaume kipofu.. Anasema alikuwa mtu mashuhuri, mwenye nyumba mbili na kipato kizuri tu..ghafla akaumwa upofu. Akaachishwa kazi..akawa mzigo kwenye familia..mkewe akaanza dharau ikiwemo kumpiga na mwiko, kumvuta sehemu...
  19. JamiiForums Tanzania Ndugu lucas mwashambwa una maoni gani juu ya kauli ya "YUDA"

    Lucas Mwashambwa karibu.
  20. JamiiForums Tanzania Wadau, hasa wanaume, ni kweli eti ukifikisha miaka 35 huwezi tena kunyandua mbususu bao 2kwa1 kwenye 6kwa6?

    Nini kinasababisha kukwamia kwenye bao1 tu, kwa wenye umri wa kuanzia 35 years na kuendelea? Na kama unaweza kufakamia bia6 bila breki katika umri huo, kulikoni ushindwe kuunganisha goli2 kwa1 kwenye 6kwa6?🐒 Mungu Ibariki Tanzania
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…