Mwezeshaji1
JF-Expert Member
- Sep 26, 2023
- 235
- 561
Wewe unajitoa kupanga bajeti, kupanga uzazi na vingine vingi ili tu, usirudi ulipotoka.
Halafu wapo watu ambao hufanya maamuzi waonavyo vyema, huku wakihitaji support
Kununua umeme
Kodi
Mtu kakimbia shule ila anataka utume pesa ya kujikimu n.k
Kisa na sasabu - "udugu"
Hata kama una akiba, isipokuwa ni dharura (afya), au ni mchango utakaowawezesha KUJITEGEMEA, kaza!