bless on
JF-Expert Member
- May 22, 2026
- 770
- 1,790
Irene Uwoya anasema hatamani kabisa mtoto wake Krish kulala hata kwa ndugu yake kwasababu Dunia imearibika kwasasa.
"Nikweli Kwenye Malezi ya watoto kuna muda tunakosea ila mimi siwezi kupenda mwanangu aaribike hapana, Hakuna mama yeyote alieingia leba akafungua anaeweza kutaka mtoto wake aaribike labda awe kichaa, Mimi sitaki hata mtoto wangu aende kulala ata kwa ndugu yoyote sababu Dunia imearibika, mimi ndo najua machungu ya mtoto wangu nitakuwa naye" Alisema -Irene uwoya.