Mke siyo ndugu yako!

Mke siyo ndugu yako!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
22,688
Reaction score
27,372
Kama mwanaume ni mbwa basi mwanamke ni joka!
Usipaniki..hebu sikia ya huyu mwanaume kipofu..
Anasema alikuwa mtu mashuhuri, mwenye nyumba mbili na kipato kizuri tu..ghafla akaumwa upofu.

Akaachishwa kazi..akawa mzigo kwenye familia..mkewe akaanza dharau ikiwemo kumpiga na mwiko, kumvuta sehemu nyeti ikiwa ni kumkomoa kwa vile tu aligoma mkewe asiuze nyumba yake hii anayoishi..hajui nyumba zingine na mali zake mkewe kazifanyaje.

Mke akazunguka akahonga serikali ya mtaa na mahakama, polisi wenye mitutu wakamvamia..akalia akisema niueni sitoki..majirani wakamsaidia..anasema hata watoto hawamtaki.

Anadai anavumilia mengi kama mwanaume lakini anaomba haki ya nyumba tu ya kuishi hana kwa kwenda kwasababu haoni..

Hapo amepata nafasi ya kusema haya yote mbele ya waziri mkuu..
#Biblia takatifu inatuambia ishini nao kwa akili,sijui mama alienda kilwa huyu,maana kilwa ndiko kwenye uchawi wa upofu.
1000003767.jpg
 
Kama mwanaume ni mbwa basi mwanamke ni joka!
Usipaniki..hebu sikia ya huyu mwanaume kipofu..
Anasema alikuwa mtu mashuhuri, mwenye nyumba mbili na kipato kizuri tu..ghafla akaumwa upofu.

Akaachishwa kazi..akawa mzigo kwenye familia..mkewe akaanza dharau ikiwemo kumpiga na mwiko, kumvuta sehemu nyeti ikiwa ni kumkomoa kwa vile tu aligoma mkewe asiuze nyumba yake hii anayoishi..hajui nyumba zingine na mali zake mkewe kazifanyaje.

Mke akazunguka akahonga serikali ya mtaa na mahakama, polisi wenye mitutu wakamvamia..akalia akisema niueni sitoki..majirani wakamsaidia..anasema hata watoto hawamtaki.

Anadai anavumilia mengi kama mwanaume lakini anaomba haki ya nyumba tu ya kuishi hana kwa kwenda kwasababu haoni..

Hapo amepata nafasi ya kusema haya yote mbele ya waziri mkuu..
View attachment 3602995
Utaji eneo mwandish mpya ww wa lile gazet
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom