chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,034
- 3,076
Habari zenu ndugu wangu ?
kuna polisi mwengine kafa au habari ganiHabari zenu ndugu wangu ?
Tatizo tukiitikia salam tu, utasikia me chai ya rangi sijala leo
Ooh jamani 😞
Ex wangu huyo ShesRise_1 ila nisikuone nae
kabla hajasema intentions zake znafahamika 😂Acha uongo bana
Usiharibu furaha ya kijana 😂umetelekeza uzi wako ulioungwa na mods![]()
Lazima tumnyooshe!Usiharibu furaha ya kijana 😂