Habari zenu?
Nina mchumba tuko nae kwenye mahusiano huu ni mwaka wa nne.
Sasa imefikia wakti wa kwenda kumtambulisha kwa wazee home ila naona aibu kumtambulisha kwa ndugu na jamaa zangu sababu ya historia ya hilo kabila kuwa mbaya kwenye mahusiano.
Je wakuu nitumie mbinu gani kumtambulisha ili...
Mimi ni kijana wa makamo ME umri 30+ , wanasema mficha maradhi kifo humuumbua . Nakuja mbele yenu na uhitaji wa ajira/kazi/kibarua . Maisha yamenichapa sana ndugu zangu Umaskini ni mbaya sana asikuambie mtu . Mpaka naandika hapa mama watoto amenikimbia kisa sina pesa. Nilikua bonge nyanya ila...
Mimi ni mkristo. Katika ukristo, imendikwa wanyama wote wasiocheua na/au wenye kwato zisizo gawanyika pande mbili si ruhusa kuwala wala kugusa mizoga yao kwa maana ni najisi (Walawi 11:3-4)
Mnyama wa kwanza kabisa aliyetajwa kwenye biblia kuwa najisi na hafai kuliwa wala mzoga wake kuguswa ni...
Unaingiaje kwenye uchaguzi Mkuu wakati huo Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ambaye ndo mpinzani wako mkuu yupo mahabusu, na kama haitoshi, chama kimefutiwa Ruzuku yake, kimezuiliwa kufanya shughuli zake za kisiasa, kimebanwa kila kona.
Katika mazingira hayo, hapo kuna uchaguzi gani...
Alama ya kijana ni kazi, kijana ni maneno machache kazi nyingi, kijana awe na tamaa ya maendeleo huku anafanya kazi siyo tamaa ya maendeleo huku anakesha anaangalia press za akili mnemba polepole badala apumzishe mwili kwaajili ya KAZI kesho yake.
Popote ulipo kijana onyesha upekee kiutendaji...
Sitaki kuongeza neno wala kupunguza neno, hiyo ni taarifa kutoka miongoni mwa wananchi waliosema wazi kuwa, alichokisema Pole Pole wamekielewa vizuri.
Kukumbusha tu, Pole Pole alisema kuwa, Mifumo ya NEC na NIDA inaonana na CCM, na wakati huo huo CCM ndio mratibu wa hiyo mifumo nyuma ya pazia...
Asubuhi nikiwa baharini kwenye shughuli zangu nilipatwa na kiwashi, ni kiwashi cha rangi ya njano ambacho hujificha kwenye mwani wa bahari.
Nimeenda Duka la dawa nikapewa dawa aina tatu zote nimeanza kutumia mchana lakini hakuna hafadhali maumivu ndiyo yanazidi (hasa huu usiku) mwili unawasha...
Ndugu zangu, nimefanya bidii mchana na usiku, kuwapa chakula kitamu mfululizo. Naona mmekula mpaka mmevimbiwa! Kwa sababu hiyo, naomba nisitishe tena kwa muda kuandika mada hapa JF, nipate nafasi ya kujiandaa kwenda kugawa chakula katika maeneo mengine ya dunia. Lakini kabla sijaondoka, nitakuwa...
Yanayoendelea ndani ya CCM kwa sasa yanatia wasiwasi. Kumekuwa na taarifa za vurugu, vitisho, na migogoro ya ndani ambayo inapaswa kutazamwa kwa jicho la tahadhari na huruma kwa mustakabali wa demokrasia yetu.
Nashukuru sana Mheshimiwa Tundu Lissu kwa maono ya mbali – kama hali ndani ya chama...
Nina pacha mwenzangu tumezaliwa WAWILI Mimi KULWA pande la MWANAUME kijeba khaswa, ye DOTO ni mwanamke.
Juzi nimewasiliana NAE VIZURI TU tukamaliza. Leo najulishwa kaja sehemu nilipo na anani tafuta. HIVI unaendaje sehemu bila KUTOA TAARIFA kwa mwenyeji wako wakuu, kwanini asinge nijuza majuzi...
Mimi ni mwanafunzi wa chuo, binti mwenye sura ya kawaida lakini anayejua kuitumia. Natabasamu na kuongea kwa upole, lakini ndani yangu nimebeba maumivu makali sana. Na leo, nimeamua kusema ukweli wangu, kwa sababu nimechoka kubeba mzigo huu peke yangu.
Nilipoingia darasa la sita, familia...
Napenda sana kusikiliza mawiza yenu ili kujifunza.Ila kuna mda naona kama mada zenu ni kama mimi naweza waza nilichoweka kwenye kichwa cha habari.
Ni kwamba kule mnapofahamu ukifa ni sehemu porn mbinguni.
Ijumaa njema tukutane kwenye biriani
Nimetafakari sana nimeona kwa maslahi ya Yanga, bora nimuunge mkono mama Samia Suluhu Hassan ili kuendeleza wimbi la mateso kwa watani wetu. Wana Yanga kipindi mnafanya maamuzi fikirieni timu yenu.
#NOREFORMS_NO_ELECTION
Asante.
Kwaherini, ndugu zangu wapendwa wa JamiiForums
Kwa takriban miezi saba, nimefanya bidii kuwaletea habari njema za uzima wa milele. Habari hizi, zimekuwa chemchemi ya furaha kwa baadhi ya watu; lakini kwa wengine, zimeonekana ni kero. Kwa wale mliosononeka au kukasirishwa na nyuzi zangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.