Ndugu zangu nipeni ushauri kuhusu huyu binti

RUKUKU BOY

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
1,588
Reaction score
1,859
I hope everyone is doing well.

Mie ni mwanaume, 30 years. Nilipomaliza chuo nilipambana Ili kujenga uchumi wangu,,sahivi namshukuri Mungu maisha yanasonga.
Kwa Sasa nataka kuoa ila mpenzi niliyenae ananiweka dilemma, Kwa maana kwamba nimuoe au nisimuoe.

Huyu binti ana 22years, amesoma certificate in teaching, Binti ni bikra hawajawai kutana na mwanaume kimwili(nisha prove ilo live kabsa) haombi Hela, afu sio malaya anatabia nzuriii.

Changamoto.
Binti anaumwa macho yaani macho yanamsumbua so anavaa miwani mara nyingi,,but sio kipofu,anaona ila Kwa kuntumia miwani. Lakini pia Binti kifua kinamsumbuaga kipindi Cha Bariadi au akinyeshewa na mvua. Sasa Kwa hizi changamoto nkimuoa sio kwamba itakuwa tabu mara macho yaume mara kifua kiume.

Niko dilemma Kwa scenario kama hiyo nifanyeje? Na Mimi sitaki nimchezee afu Binti amekufa ameoza kwangu.

Ushauri wakuu.
 
Pumbavu

Kabisa wanaume huu ujinga mnatoa wapi? Mwanaume mzima una ask validation kwa wanaume wenzio ili iweje?
 
Mwamba Unaijua kesho yako? Kama unaijua hongera sana.

Maisha ni fumbo, na kamwe usimtenge au kumkwepa mtu kwasababu ya udhaifu ulio nje ya uwezo wake, wewe unaweza kuja kupata tatizo kubwa zaidi yake.

Ndoa ni maelewano, hizi changamoto ndogo ndogo Wala hazina issue kwenye ndoa.

Unaweza tafta unayehisi amekamilika ikawa mwiba kwenye mafanikio yako na ukajikuta unarudi zero.
 
I hope everyone is doing well.

Mie ni mwanaume, 30 years. Nilipomaliza chuo nilipambana Ili kujenga uchumi wangu,,sahivi namshukuri Mungu maisha yanasonga.
Kwa Sasa nataka kuoa ila mpenzi niliyenae ananiweka dilemma, Kwa maana kwamba nimuoe au nisimuoe.

Huyu binti ana 22years, amesoma certificate in teaching, Binti ni bikra hawajawai kutana na mwanaume kimwili(nisha prove ilo live kabsa) haombi Hela, afu sio malaya anatabia nzuriii.

Changamoto.
Binti anaumwa macho yaani macho yanamsumbua so anavaa miwani mara nyingi,,but sio kipofu,anaona ila Kwa kuntumia miwani. Lakini pia Binti kifua kinamsumbuaga kipindi Cha Bariadi au akinyeshewa na mvua. Sasa Kwa hizi changamoto nkimuoa sio kwamba itakuwa tabu mara macho yaume mara kifua kiume.

Niko dilemma Kwa scenario kama hiyo nifanyeje? Na Mimi sitaki nimchezee afu Binti amekufa ameoza kwangu.

Ushauri wakuu.
Hebu tuliza akili kijana,unapompenda mtu shida zake ni shida zako,maradhi anayoumwa ni ya kawaida tu ambayo yanatibika,ingekuwa ana ukimwi,au seli mundu hapo ndipo unaweza kutia mashaka.Sasa fanya ifuatavyo mpeleke hospitali kubwa akapimwe vizuri ujue hicho kifua tatizo nini,na macho ni ugonjwa au ni macho kutokuwa na nguvu ya kuona mpaka avae miwani.Utapata majibu mazuri tu na umtibu.Mtafi mnapendana basi muoe,vinginevyo atachukuliwa na mwanaume mwingine vaaaaaaaap ubaki unalialia
 
Mkuu usijiviike bomu, maisha siyo rehearsal. Huyo atakufanya uwajue madaktari wote hapa mjini.

Na kama ana 22 anatumia miwani kama mzee wa miaka 60, jiulize akifikisha 50 itakuwaje?

Usitishwe na wanaokuponda eti na wewe Kuna siku utapata gonjwa kubwa. Unapotafuta mwenza unapaswa kuchagua mbegu bora ya kukuzalia watoto wenye afya.

Moja ya sifa ya mbegu bora ni kutokuwa na magonjwa. Sasa huyo ambaye akidondokewa na tone la maji anaugua kifua, wa nini? Tupa kule.
 
Jana nimekutana na rafiki yangu wa utotoni, amefanya dialysis kama miaka kumi hivi, mke ameshindwa kuvumilia ndani ya miaka miwili tu akamwambia "babe naona siwezi kuishi na mgonjwa, naenda kuanza maisha mengine"! I felt so sorry for the lad, looking at what he's going through na mtu anaona hawezi tena kuishi nae. I learnt a thing or two through our conversations.
 
Usiogope comments wewe mpige chini huyo mwanamke, hata mkulima hawezi kupanda mbegu zake kwenye shamba lisilo na udongo wenye rutuba..!!

Hizo changamoto angekuwa nazo kipindi mshaoana sawa. Ukikaza fuvu utashinda unaweka appointment na madaktari bingwa kila siku..!
 
I hope everyone is doing well.

Mie ni mwanaume, 30 years. Nilipomaliza chuo nilipambana Ili kujenga uchumi wangu,,sahivi namshukuri Mungu maisha yanasonga.
Kwa Sasa nataka kuoa ila mpenzi niliyenae ananiweka dilemma, Kwa maana kwamba nimuoe au nisimuoe.

Huyu binti ana 22years, amesoma certificate in teaching, Binti ni bikra hawajawai kutana na mwanaume kimwili(nisha prove ilo live kabsa) haombi Hela, afu sio malaya anatabia nzuriii.

Changamoto.
Binti anaumwa macho yaani macho yanamsumbua so anavaa miwani mara nyingi,,but sio kipofu,anaona ila Kwa kuntumia miwani. Lakini pia Binti kifua kinamsumbuaga kipindi Cha Bariadi au akinyeshewa na mvua. Sasa Kwa hizi changamoto nkimuoa sio kwamba itakuwa tabu mara macho yaume mara kifua kiume.

Niko dilemma Kwa scenario kama hiyo nifanyeje? Na Mimi sitaki nimchezee afu Binti amekufa ameoza kwangu.

Ushauri wakuu.
Yeye pia hakupenda kuwa hivyo kama una mpenda hizo changamoto ni ndogo sana kwa maana hata wewe huwezi kujua kwsho utakuwaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom