ndugu zangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Maisha ni maisha ndugu zangu, yani utachapika na maisha ukishakuwa mnyonge wa mtu, hakuna cha karma wala malipo, malipo ya unyenyekevu ni kubabaishwa

    Life is a bxxch and then you die.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Naweza kuanzisha biashara gani kwa mtaji wa Milioni 5 kwa mwaka 2026?

    Naweza kuanzisha biashara gani kwa mtaji wa M5 na ikawa na mwanzo na muendelezo mzuri kati ya hizi 1. Soft drinks 2. Nafaka Pia kwa mwenye ushauri wa biashara nyingine tofauti na hizo kwa mtaji wa M5 Mkoa ni MWANZA Natanguliza shukrani
  3. covid 19

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, naomba msaada wenu – tegemeo langu la kipato limesimama

    Natumaini mpo salama. Nimeamua kuleta changamoto yangu hapa kwenu kwa sababu jamii forum ni kama familia, na mara nyingi tumekuwa tukishirikiana na kusaidiana katika nyakati tofauti. Mimi ni mjasiriamali ninayejiendesha kwa kazi ya bajaj, ambayo ndiyo tegemeo langu kuu la kipato kwa ajili yangu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa mawazo ndugu zangu

    Kuna maswali ambayo najiuliza Mwanzo na mwisho ndugu yangu tulikutana mwanza Alivyofika nairobi ndugu zake na mke wake Sasa familia yangu wamenitenga Dar es salam ndiko mke wangu anaishi Mimi nipo uku morogoro kutafuta dawa Atapata bus nikasema hapana ilo ni swali lake Sasa tupo hapa...
  5. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu katika Imani. Tukumbuke kuwa Allah ametuahidi.

    Mwaka unaishia na mwingine unaanza. Nawakumbusha tu kuwa tuna ahadi ya milele Allah ametuahidi. Kwahiyo Tujitahidi kufanya mema twende Peponi. Quran 45 : 51 -55 "Hakika wachamngu watakuwa katika mahali pa amani. Katika Bustani (Peponi) na chemchem. Watavaa nguo za hariri nyembamba na nzito...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu hakuna ahadi hata moja waliyoitoa kwenye msiba wa mama yetu wameitekeleza

    Wadau naomba ushauri. Msiba wa mama yetu mwaka jana July na hadi muda wameshindwa kutimiza ahadi zao zote walizokuwa wameahidi kwangu na uwezo wanao. Ahadi wakitoa wao wenyewe baada ya maziko tena mbele ya Mjomba nduguye marehemu mama kunisaidia mimi ndugu yao kumbe ni bure
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.

    Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.
  8. cacutee

    JamiiForums Tanzania Hivi ndugu zangu mnawezaje?

    Kwa hizi sintofahamu zilizoko nchini nyie ndugu zangu mnawezaje kuongea Mambo ya kunyanduana na kuhusiana? Me mwenzenu mood imekata kabisa. Naachoooka Mimi mke wa Clemence Mwandambo
  9. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu vijana wa Tanzania msidanganyike. Samia ni muongo sana

    Naomba vijana tuendelee pale pale tulipoishia. Huyu ni Muongo sana , muongo kupita kiasi. Mala waliofanya fujo ni wageni kutoka nje. Mala ni watanzania wameuwawa. Huyu mama ni Muongo. Fisadi Mroho wa Madaraka Na mabaya yake Mengi mno. MUONGO NI MUONGO TU.
  10. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Damu iliyomwagika inatosha kwa ukombozi,msiandamane tena ndugu zangu!

    Damu iliyomwagika wakati na baada ya uchaguzi,kiroho imehalalisha mageuzi nchini ! Damu hiyo itanena,hakuna haja ya maandamano tena comrades! Tuendelee kulitumikia taifa letu kwa upendo,idara zina macho na zimeona seriousness ya watanzania na mabadiliko wanayoyataka! Tutulie, Tanzania mpya...
  11. technically

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu nawaaga kwaheri

    Sitakuwa Tena mtandaoni Hizi video na picha za ndugu zangu ninazoziona uvumilivu umenishinda. Moyo wangu unavuja damu sana. Nitarudi hapa siku Samia atakapokuwa kafa au kaachia madaraka Kwaherini ndugu zangu sitaingia Tena mitandaoni hasa mitandao ya kijamii Watu wameuwawa mpaka waliokuwa...
  12. Alex khalifa

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu watanzania, tuwe wavumilivu huyu mama akimaliza muda wake ataondoka, tumwache afanye kazi

    kwa kikwete tumeibiwa sana kama nchi awamu ile ila sasa yupo wapi, hivo ndugu zangu nawaombeni sana tuwe wavumilivu muda wake utaisha tu, kabla huja hamasisha uvunjifu wa amani fikiria watoto, wazee, walemavu nk haya ni maisha tu tutakufa tutayaacha yanini kuumizana? natumaini hata watekwaji...
  13. Isenye

    JamiiForums Tanzania Naona aibu kuwaambia ndugu zangu kuwa nimepata mchumba kutoka kabila la warangi

    Habari zenu? Nina mchumba tuko nae kwenye mahusiano huu ni mwaka wa nne. Sasa imefikia wakti wa kwenda kumtambulisha kwa wazee home ila naona aibu kumtambulisha kwa ndugu na jamaa zangu sababu ya historia ya hilo kabila kuwa mbaya kwenye mahusiano. Je wakuu nitumie mbinu gani kumtambulisha ili...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Usiombe yakukute , JF nawaangukia ndugu zangu

    Mimi ni kijana wa makamo ME umri 30+ , wanasema mficha maradhi kifo humuumbua . Nakuja mbele yenu na uhitaji wa ajira/kazi/kibarua . Maisha yamenichapa sana ndugu zangu Umaskini ni mbaya sana asikuambie mtu . Mpaka naandika hapa mama watoto amenikimbia kisa sina pesa. Nilikua bonge nyanya ila...
  15. Engager

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu waislamu. Kivipi Nguruwe ni haramu kwenu ingali Ngamia mnakula?

    Mimi ni mkristo. Katika ukristo, imendikwa wanyama wote wasiocheua na/au wenye kwato zisizo gawanyika pande mbili si ruhusa kuwala wala kugusa mizoga yao kwa maana ni najisi (Walawi 11:3-4) Mnyama wa kwanza kabisa aliyetajwa kwenye biblia kuwa najisi na hafai kuliwa wala mzoga wake kuguswa ni...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Wakristo wenzangu kwa shida walizonazo waumini wa Gwajima na misaada waliopewa kuanzia leo nimeacha kuwasemea vibaya wakatoliki nitawaheshimu

    Wakristo wenzangu Kukiwa na shida kubwakubwa mkombozi wetu ni Kanisa Katoliki hivyo tuache midomo midomo tuanze kuwaheshimu
  17. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wengi sana majukwaani wanapenda ,wanatafuta ,wanahoji, wanauliza, wanajenga na kuijadili h CCM ni ushahidi wanavutiwa na sera zake

    Wadau huo ni ukweli usiopingika labda kama takwimu husika ni za kughushi
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu watu wa CCM, ebu epukeni aibu hii.

    Unaingiaje kwenye uchaguzi Mkuu wakati huo Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ambaye ndo mpinzani wako mkuu yupo mahabusu, na kama haitoshi, chama kimefutiwa Ruzuku yake, kimezuiliwa kufanya shughuli zake za kisiasa, kimebanwa kila kona. Katika mazingira hayo, hapo kuna uchaguzi gani...
  19. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu vijana kwenye siasa kazi na uaminifu ndiyo itakayokufanya ujulikane na Taifa na si kupiga majungu na upotoshaj mwisho huwa ni kudharauliwa

    Alama ya kijana ni kazi, kijana ni maneno machache kazi nyingi, kijana awe na tamaa ya maendeleo huku anafanya kazi siyo tamaa ya maendeleo huku anakesha anaangalia press za akili mnemba polepole badala apumzishe mwili kwaajili ya KAZI kesho yake. Popote ulipo kijana onyesha upekee kiutendaji...
  20. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania GE2025 "Mimi na ndugu zangu (wengine ni marehemu) hatukujiandikisha lakini taarifa za tume zinaonyesha tumeandikishwa" . Hii imekaaje?

    Sitaki kuongeza neno wala kupunguza neno, hiyo ni taarifa kutoka miongoni mwa wananchi waliosema wazi kuwa, alichokisema Pole Pole wamekielewa vizuri. Kukumbusha tu, Pole Pole alisema kuwa, Mifumo ya NEC na NIDA inaonana na CCM, na wakati huo huo CCM ndio mratibu wa hiyo mifumo nyuma ya pazia...
Back
Top Bottom