ndugu zangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Brojust

    JamiiForums Tanzania Msaada wa fasta ndugu zangu

    Ndugu zangu Mimi kijana wenu wa hapa jukwaani. Nina shida ya 10K nakurudishia 20K jioni ya Leo. Kuna mistake Moja nimefanya nimeibiwa Kila kitu. Nimeamka na simu tu na bundle. TIGO 0710782874 (Brown Nyanza) Natanguliza shukrani.
  2. drakeman

    JamiiForums Tanzania Tuokokeni ndugu zangu siku mbaya hizi

    Nacho wakumbusha ndugu zangu, dunia hii ya leo, tunaishi katika nyakati mbaya sana, tuokoke, tuacheni dhambi, tuombe sana, maisha tunayo yaishi yamezungukwa na kifo, magonjwa ni mengi, uovu ni mwingi, kule ni vita, huku ni ajari, pale ni utekaji, kule tena ni ushirikina na mengine mengi duniani...
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu hakuna ushahidi wa kina kwamba mtu ukifa kwa jihadi unaenda mbinguni tuwe waangalifu sana tutafute maarifa

    Ndugu zangu hakuna ushahidi wa kina kwamba mtu ukifa kwa jihadi unaenda mbinguni tuwe waangalifu sana tutafute maarifa. Hivi sasa kuna elimu ya kujitoa muhanga elimu hii ipo kwenye dini maarufu kama ukristo na waislam, kuna watu wamejiuwa au kujilipua kwa mafundisho ya kwenda mbinguni baada ya...
  4. Saoka

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu naombeni mwenye kujua namna ya kumpata daktari wa mifupa muhimbili

    Habari ndugu zangu naombeni mwenye kujua namna ya kumpata daktari wa mifupa muhimbili Kuna ndugu yetu kuvunjika mbavu ametoka mkoani hatuna mwelekeo kabisa msaada ndugu zangu tafadhali 🙏 Pm kwa mawasiliano tafadhalini nawaomba muongozo mwenye kujua jmn
  5. L

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri ndugu zangu

    Mimi ni Binti ambae nikiwa chuo mwaka wa mwisho nilidate na kijana mmoja anaeishi ktk mkoa ambako nilikosomea.. Nilikuwa namchukulia kawaida sana wakati huo hadi nikahitimu na mawasiliano yakapungua kadili siku zilivoenda na Mimi sijauona tatizo hata mawasiliano yalipoisha sikuumizwa wala...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya Corolla 5A kushindwa kuwaka, nini itakuwa sababu?

    Habari zenu Wana ndugu, nilikuwa naomba ushauri juu ya gari langu aina ya Corolla E100 ambal limefungwa cylinder head siku chache zilizopita na baada ya hapo nikatembelea kwa siku tatu ya nne kuja kuliwasha likawaka ila kwa miss kubwa Sana nikavuta race halikuacha mpaka likazima na baada ya hapo...
  7. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania Naona muda wa kula viporo vyetu sasa umewadia. Karibuni ndugu zangu.

    Ndugu zangu wapendwa; naomba kuchukua nafasi hii muhimu kabisa, kuwakaribisha kwenye viporo vyetu. Hakika vitaanza kuliwa kuanzia keshokutwa tarehe 02/05/2025. Na kila baada ya siku 3, kiporo kingine kitaliwa hadharani. Lengo la huu uzi ni kutaka tu kuwakaribisha kushiriki kwenye hayo matukio...
  8. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania CCM Ndugu zangu, this is too much, halafu cha ajabu Watanzania wapo kimya

    Hebu cheki 1. CHAMATA Chawa wa Mama Tanzania 2. Samia Suluhu Serengeti Music Festival 3. Samia Boxing 4. Samia Kings 5. Samia Tunamsemea (Wanafunzi wa Chuo) 6. Samia .... 7. Samia ..... 8. Samia ...... 9. --- 100. Halafu sasa kuna hiii 👇👇👇 Bado kuna ..... 1. Bodaboda za Samia 2. Pen za...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu watanzania kwaherini, naenda zangu Palestina kufanya biashara ya vyuma chakavu!

    Nimechoshwa na swaga za ccm eti tumeleta maendeleo, maendeleo yepi hayo? ya kukamata wapinzani na kuwasweka lupango na kuwalazimisha watu wote wawe ccm utadhani watu wote wanapenda jehanamu Maana kazi nyingi izifanyazo ccm ni za jehanamu Naenda zangu Palestina (Gaza) kuuza vyuma chakavu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu CHADEMA juu ya madiliko haya kwa taifa la Marekani juu ya Afrika hata viongozi wa dini hawatasaidia zaidi ya kuweka tu

    Siasa Trump afikiria kupunguza balozi za Marekani barani Afrika Saleh Mwanamilongo Saa 2 zilizopitaSaa 2 zilizopita Marekani inapanga kupunguza kwa kiasi kikubwa mwelekeo wake wa kidiplomasia barani Afrika na pia kufuta ofisi za Wizara ya Mambo ya Nje zinazoshughulikia mabadiliko ya hali ya...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Watanzania, huu ni wakati wa kukaa kimya!

    Salaam, Shalom! Nawauliza ndugu ZANGU watanzania mliowahi kusimama court, ukipewa muda wa kujitetea, ukasikizwa upande wa mshitaki na mshitakiwa, hakimu anapogonga nyundo mezani huwa anaashiria Nini? Kugonga nyundo ni taarifa kuwa, wote tunatakiwa kukaa kimya. Sasa ukiongea muda wa hukumu...
  12. RUKUKU BOY

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu nipeni ushauri kuhusu huyu binti

    I hope everyone is doing well. Mie ni mwanaume, 30 years. Nilipomaliza chuo nilipambana Ili kujenga uchumi wangu,,sahivi namshukuri Mungu maisha yanasonga. Kwa Sasa nataka kuoa ila mpenzi niliyenae ananiweka dilemma, Kwa maana kwamba nimuoe au nisimuoe. Huyu binti ana 22years, amesoma...
  13. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Watu wa kaskazini mwa Afrika wana ubinafsi sanaa acha niwaambie ndugu zangu

    Angalieni tu kwenye line up yao.....asilimia 95% ni wachezaji wa ndani...yaani wazawa. Kama unabisha just Google cheki mechi za leo, line ups zipo tayari.....mtanielewa ndugu zangu In summary, hawa waafrika waarabu hawatupendi , bisha ila kuna siku utanielewa, asante.
  14. KENZY

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu waislamu mlichonifanya leo nitawalipa!

    Haiwezekani nishindie chapati wakati nilikuwa nasikia mapochopocho!!, Hata wa humu jukwaani mmeshindwa kutoa mualiko nawakati nilikuwa nawasindikiza vyema kwenye mfungo wenu!. Sasa kwa taarifa ni hivi hili swala nimelivalia njuga wanasema sisi ni pipo tutakutana!.
  15. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wakristo, mke mmoja anatosha?

    Tuseme tu Kwa uwazi Tusifiche Mke mke anatosha au kuwa na mpango kando laZima
  16. THE BEEKEEPER

    JamiiForums Tanzania Msaada ndugu zangu demu wangu kaondoka na nguo zangu za ndani tu?

    Habari Nimetoka chuo mda huu nimefika geto, nina kawaida ya kwenda kuoga kwanza. Nimetoka kuoga naona Nguo zangu za ndani zote hazipo nampigia demu simu kaniblock nipo confusion msaada
  17. B

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni Kazi. Nina elimu ya kidato cha nne

    NATAFUTA KIBARUA NDUGU ZANGU Mimi Ni kijana (me), mkazi wa TABATA KINYEREZI. Nina elimu ya kidato cha nne na ninategemewa na familia yangu—mke na watoto wawili. Kutokana na changamoto za maisha, natafuta kibarua chochote cha halali ili niweze kuhudumia familia yangu. Nina uwezo wa kufanya kazi...
  18. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Ndugu Zangu Waislamu. Ikifika kipindi cha mfungo basi punguzeni maigizo

    1. Unazini mwaka mzima ukija Mwezi huu ulivyokuwa mrahibu wa ngono unaharalisha ufuska wako kwa kuoa single maza ambaye unaachana nae miezi mitatu baadae (ungefunga ngono badala ya chakula ungekuwa umefanya cha maana) 2. Kila siku wala kwa meza migahawani ila leo eti unataka wakuwekee kwenye mkeka
  19. 1academ

    JamiiForums Tanzania Nilimuacha mke wangu kisa ndugu zangu najutaa jamanii

    Mzuka wanaJF dume rijali la JF mwenzenu nipokatika majutoo jamanii kamsaada... Nilikuwa na mke mzuri, mwanamke aliyekuwa nguzo ya familia yangu. Alijitoa kwa kila hali, akahakikisha kila kitu kinaenda sawa, lakini mimi niliamua kumwacha kwa ajili ya ndugu zangu. Leo nipo peke yangu, nimepoteza...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Nataka niwe na ofisi yangu ya maswala ya umeme yaani kurepair na wiring

    Ndugu za nazani mko poa ..jamani ndoto yangu nataka niwe na ofisi yangu ya maswala ya umeme yaani kurepair na wiring kusuka mota na mengineyo ila sasa nahofia kama itanilipa kweli .....sasa kama kuna alie wahi kufanya hichi kitu anipe ushauri wake ili nijue nianzie wapi pia aniambie kama ina lipa.??
Back
Top Bottom