ndugu zangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wakatoliki, mliwafanyaje wasabato? Malizeni tofauti zenu.

    Kuna sehemu niliwahi kukaa jirani na kanisa la wasabato. Almost 80 % ya mahubiri niliyokuwa nayasikia ni kuwaponda wakatoliki. Kwamba wao ndio yule joka kuu, mara mwanamke yule kahaba mkuu aliyezini na wafalme wa dunia. Mara papa ni king wa freemason . Wakawa wanadai kwamba wakatoliki wanaabudu...
  2. kitoto wa vitoto

    JamiiForums Tanzania Habari za usiku ndugu zangu naomba ushauri

    Nina mtoto wa kike ana MWAKA na mwezi 1 alizaliwa akiwa na changamoto ya kulia sana Tulimuona Dr mara kadhaa Dr wengi hawakuona ugonjwa Ila baadae tuligundua ana TB ya mapafu alipata matibabu Ila bado afya yake bado imedhoofika sana tumempa kila aina ya lishe Ila bado uzito wake ni ule ule pia...
  3. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, muda mwingine sisi wenyewe tunawapa nafasi maadui zetu watudhuru

    Habari za jumapili wadau? Tunaishi kwenye jamii ambazo hazipendi kuona wengine wakifanikiwa. Wengi wetu tumekuwa tukipenda kuweka wazi mipango yetu, hasa kwenye social network, WhatsApp, insta etc. Sijui lengo huwa ni nini? Kuwaringishia wengine au kuwahamasisha wengine. Nina mkasa wa rafiki...
  4. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu huku ni kumdhalilisha Rais hii picha yake inafanya nini kwenye mitungi ya gesi?

    ndugu zangu ndio tumefikia huku, kumdhalilisha Rais wetu namna hii? Picha ya Rais ni tunu kubwa sana inapaswa kuheshimiwa, iweje iwekwe kwenye mitungi ya gesi? Lengo ni nini hasa?
  5. G

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi ndugu zangu nipate pesa ya kulipa ada

    Ndugu zangu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 na elimu ya kidato cha sita. Nilichaguliwa kusoma chuo cha IFM kampasi ya Dar es Salaam. Mwaka jana nilisitisha masomo baada ya kupungukiwa na ada. Ninatafuta kazi yoyote na ninaishi Kigamboni, Dar es Salaam. Niko tayari kufanya kazi kwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri ndugu zangu napitia kipindi kigumu mno.

    Habari za wakati huu, Waswahili husema penye wengi pana mengi. Naombeni mnisaidie katika hili ndugu zangu, Hapa nilipo sina kazi wala hata mtaji wa kufanya chochote sina, napambana lakini naona hali bado si nzuri, kinacho nipa mawazo ni kwamba nina mdogo wangu wa kidato cha nne bado hajaripoti...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu ndugu zangu

    Mimi ni Mama wa mtoto mmoja, sijaolewa ila nina kazi yangu nzuri tu ni Mhasibu katika Halmashauri moja hivi, kipato changu ni kizuri tena sana. Kuna mwanaume niko naye huu ni mwaka wapili ananipenda na mimi nampenda. Yeye naye ni mfanayakzi lakini katika kampuni binafsi. Kikipato namzidi hilo...
  8. Equation x

    JamiiForums Tanzania Hii misemo ya kijamaa imepotelea wapi ndugu zangu?

    Maisha ya zamani ilikuwa raha tupu:- ''Ingia bandani kamata kuku wawili tuchinje'' ''Ingia shambani vunja mahindi tuje tuchome'' ''Chemsha kahawa hapo jikoni ulete tunywe huku ukinihabarisha habari za huko nyumbani'' ''Hadithi hii inatufundisha nini wajukuu zangu?'' Nyakati hizi huwezi...
  9. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Kuna upendo kweli hapa?

    Wakuu huyu mwanamke nampenda sana na anadai ananipenda sana, Sasa issue ipo kwenye mahari. Binafsi Nina 1m kwa ajili ya ndoa ila Cha ajabu yeye anataka 2.6m anataka akiba yote niinvest kwenye mahari na ndoa jamani hii imekaa sawa?? Namuuliza anasema kama vipi tuachane. Mimi nimemwambia ukweli...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Poleni ndugu zangu maana hii ni zaidi ya kufiwa

    Niaje niaje............najua kuna baadhi tunaishi huku wengine wana ndugu wengine jamaa na kadharika.........ila ili limenigusa sana .........maana kurudi tena nyumbani kuja kuanza upya ni kisanga .......ingawa nyumbani ni nyumbani hata kama ni kichakani...........
  11. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Tafuta pesa uzeeni ucheze golf, uachane na kucheza bao na kulaumu watoto wako

    Tafuta pesa wewe, sabuni, dawa ya mswaki havikai dirishani. Tafuta pesa wewe, mb 500 siyo za kutumia week. Tafuta pesa wewe, hakunaga bei ya mwisho sh. Ngapi. Tafuta pesa wewe weekend siyo kwa ajili ya kufua. Tafuta pesa wewe, uache kusema niwekee chips za kushiba. Tafuta pesa wewe, kwenye...
  12. Dialogist

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu mi ni mgeni wa hili jukwaa, ila naomba mnipokea na hii idea... wote mtafurahia...

    Kila mmoja achati kwa lugha anayoijua mradi usitukane... Unaweza kutumia google translator... Mimi naanza.. Nǐmen hǎo ma, wǒ de péngyǒumen. Wǒ de míngzì shì nǐ de zhàngfū
  13. white_charcoal

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa mikoani tushirikiane kutimiza wazo langu la biashara

    Awali ya yote, Nashukuru Sana kwa kutenga muda wako na kupitia Uzi huu. Leo nimepata wazo la biashara linalohusiana na kutoa huduma kwa watu mbalimbali hasa wa mikoani na wale wote ambao wapo nje ya jiji la Dar es salaam. Nimepitia Nyuzi nyingi na mitandao mingi ya kijamii kwa muda mrefu...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nina leseni Class D, natafuta kazi Morogoro

    Jamani Naomba Msaada Ndugu Zangu Nna Leseni Cras D Naitja Kazi Ya Uderevar Nipo Mkoani Morogoro Wilayani Mvomero Namba Yangu 0674443530/0622909927
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ndugu Zangu, Hususani wa Jukwaa la Siasa, Hakikisha Miongoni Mwa Malengo Yako Kwa Mwaka 2025, Unakua na Bima Ya Afya.

    Itakusaidia sana na kukuepusha na fedheha za kujifungia ndani kwasababu huna pesa ya matibabu, au kujiuguza kwa kukimbilia kununua panadol tu, au kufakamia dawa ambazo si sahihi kiholela dhidi ya ugonjwa au maradhi yatakayokua yanakusumbua, Lakini pia bima ya afya inaondoa unyonge na inaweza...
  16. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Ndugu Zangu Waislamu, Kwanini Waarabu Wanakimbilia Kwenye Mataifa ya Makafiri Badala ya Nchi za Kiarabu Kama Saudia na Qatar?

    Katika miongo ya hivi karibuni, Ulaya imekuwa ni eneo la mchanganyiko wa tamaduni, ambapo mamilioni ya wahamiaji kutoka sehemu mbalimbali za dunia wamekuwa wakielekea huko. Miongoni mwao, kuna idadi kubwa kutoka nchi zenye Waislamu wengi, wakiileta tamaduni zao mbalimbali na mitazamo tofauti...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri ndugu zangu

    Habari za mda huu Nina million 1200000 wazo la biashara nililolipata ni kununu a pikipiki ya laki 8 alafu pesa inayobaki ninunue nguo za ndani za wadada na vigauni vikali niwe nawatembelea masaloon na kuwauzia je kwa hilo wazo nitafeli? Maana nitakuwa na pikipiki nitakuwa na uwezo wa kuuza...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuondoa taarifa zilizojazwa kimakosa Ajira Portal kipengele cha Academic Qualifications

    Samahani ndugu zangu wapendwa, nisaidieni jinsi ya kuondoa taarifa zilizo jazwa kimakosa kwenye ajira portal pale kwenye academic qualifications
  19. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, Mbowe mnamuonea tu. Nani asiyejua utamu wa madaraka?

    Ni raha iliyoje kuona kundi kubwa la watu likikulamba na kukunyenyekea? Hata Lissu mwenyewe anajua kuwa moto aliouwasha siyo wa kitoto ni ngumu sana kuuzima kimasihara. Wapo waliojaribu wapo wapi sasa? Yaani kirahisi tu Mbowe amkabidhi kijiti Lissu? Thubutu, kuwa chairman wa chama kikuu cha...
  20. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu watanganyika usiku wa deni haukawii kukucha.

    Wasalaam. Mababu zetu zamani zile walikua na misemo ya konakona na mingine imenyooka, hatimae ule usiku wa deni umefika kesho tarehe 21/12/2024 mh mbowe atatoa msimamo wake kuhusu uenyekiti ndani ya chadema. Familia na wazee wamemnasihi asigombee, lakini machawa na wachumia tumbo wanamlazimisha...
Back
Top Bottom