ndugai

  1. Mbowe: Nimewasikiliza Rais Magufuli na Spika Job Ndugai. Nimesikitika, tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote

    “[Nimewasikiliza Wah Rais JPM na Spika Job Ndugai. Nimesikitika! Tunatafakari! Nitazungumza tena na Taifa wakati wowote! Ni maisha yetu. Viongozi wetu waelewe: Hatuhitaji kibali chao kufa. Kuishi ni haki yetu. Tukumbuke: Tujilinde. Tuliowategemea wako likizo na Corona sio siasa.” Amesema...
  2. J

    Spika Ndugai asipokuwa makini bunge " lake" linaweza kuweka Historia hasi ya ajabu kabisa duniani

    Tujikumbushe; 1. Tundu Lissu alitunguliwa marisasi akiwa anahudhuria vikao vya bunge. 2. Kitwanga alitumbuliwa baada ya kuingia bungeni akiwa amelewa chakari 3. Bunge lilimuhoji CAG na kumkagua 4. Nassari alifukuzwa ubunge kwa kosa la kumsindikiza mkewe kujifungua 5. Wabunge zaidi ya 10...
  3. Rais Maguful na Spika Ndugai kama hamtaki kuahirishwa Bunge tumieni Video Conference!

    Leo Tena Bunge limepata msiba wa 3 ndani ya wiki mbili tu. Hii si hali ya kawaida tangu Tanzania ipate Uhuru kwa Bunge kupoteza Wabunge 3 kwa vifo vya kutatanisha. Wabunge wa Upinzani CHADEMA na ACT-Wazalendo pamoja na Watanzania wenye busara walishauri Bunge lisifanyike kwasababu ya kuwepo kwa...
  4. TANZIA Mbunge wa Sumve, Richard Mganga Ndassa akutwa amefariki hotelini Dodoma. Rais Magufuli atuma salaam za rambirambi

    Kwa mujibu wa mbunge Godbles Lema na Waziri Kigwangalla ni kuwa mbunge wa Sumve Richard Ndassa amefariki dunia mapema leo. Aidha taarifa zinasema kuwa Ndassa amefikwa na umauti baada ya kuanguka ghafla ndani ya viwanja vya bunge leo. Inadaiwa pia kuwa ndani ya hoteli aliyokuwa akiishi...
  5. J

    Spika Ndugai: Mbunge yoyote anayejihisi ana dalili za Corona ajifanyie Self Isolation na kuripoti hospitali haraka sana!

    Spika wa bunge mh Ndugai amesema endapo mbunge yoyote anajihisi au atajihisi ana dalili za maambukizi ya Covid 19 kama zilivyoainishwa na wataalamu wa afya basi ajifanyie self isolation na kuripoti hospitali haraka sana. Spika Ndugai ametoa mwongozo na tahadhari hiyo Bungeni leo hii na...
  6. J

    Rostam Aziz amkabidhi Spika Ndugai mashine ya kuwapulizia wabunge dawa ya kuua virus ili kudhibiti Corona

    Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz amemkabidhi Spika wa bunge Mh. Ndugai mashine ya kuwapulizia dawa wabunge ili kudhibiti maambukizi ya Covid 19. Sasa wabunge kabla ya kuingia Bungeni watapita kwenye mashine hiyo na kupuliziwa dawa mwili mzima kisha wataingia ukumbini. Maendeleo...
  7. Waitara: Mwenye mamlaka na fedha za mfuko wa Jimbo ni DC pamoja na DED na si Mbunge

    Naibu waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mwita Waitara amemwagiza Mkuu wa Wilaya (DC) ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya kutumia Sh42 milioni za mfuko wa jimbo hilo ambazo zimekaa kwa miaka miwili bila kutumika. Waitara amesema fedha hizo zilitolewa mwaka wa...
  8. Lissu asema hajalipwa stahiki zake kama Spika Ndugai anavyoliambia Bunge

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amedai kuwa bado hajalipwa ‘gratuity’ (bahkshishi) yake ambayo ni asilimia 40 ya mshahara wake, tofauti na kile kinachoelezwa bungeni. Lissu amesema hayo ikiwa ni siku chache baada ya Spika wa Bunge, Job Ndugai...
  9. J

    Spika Ndugai: Baadhi ya wabunge wataondoka mikono mitupu kwa sababu wanaelemewa na madeni sugu

    Spika wa bunge mh Job Ndugai amesema wabunge wengi wanaelemewa na madeni na kuna uwezekano mkubwa baadhi yao wakaondoka mikono mitupu baada ya bunge kuvunjwa rasmi mwishoni mwa mwezi June. Kwa kawaida wabunge hulipwa kiinua mgongo kila baada ya miaka mitano ya kuwatumikia wananchi. Source...
  10. Ndugai tupe madeni ya Lissu yote tutamlipia, sisi bado tunaguswa na yaliyomkuta

    Mh. Ndugai tumesikia ukisema Lissu ana madeni mengi na kwamba akija atayakuta yanamsubiri. Ni vema kwamba umeamua kumtangaza manusura wa kifo au mauaji. Sasa sisi Watanzania ni watu wenye huruma na upendo hatupendi kuona mtu anapata tabu wakati tunaweza kumsaidia. Kama tulivyowachangia...
  11. Spika Ndugai: Tundu Lissu hadai hata mia!

    Spka job Ndugai amesema kuwa wamekwisha mlipa Tundu Lissu ,aliyekuwa mbunge stahiki zake zote Ameyasema hayo Leo akiwa bungen Dodoma ----
  12. Spika Ndugai: Hali ya watanzania ni ngumu, ni maskini sana wanaishi kwa kubangaiza, tukifunga nchi hawataweza kula

    Ndugai-"Hatuwezi 'tuka-paste' hatua za wazungu,tutaua watu" Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema nchi haiwezi kuchukua tahadhari kama zilivyochukuliwa na Mataifa mengine duniani ya kupambana na virusi vya corona kwa kuwa watu wengi nchini maisha yao ni ya...
  13. J

    Mbowe azuiliwa na Mahakama kwenda Marekani licha ya kuruhusiwa na Spika Ndugai

    Mwenyekiti wa CHADEMA ambaye pia ni mfanyabiashara maarufu mh Freeman Mbowe amezuiliwa na mahakama ya Kisutu kwenda nchini Marekani, Uingereza na Uswisi kwenye shughuli zake za kibiashara. Mkurugenzi wa uchaguzi CHADEMA John Mrema amesema Mbowe ambaye ni mbunge wa Hai amepewa ruhusa ya kusafiri...
  14. Ndugai na Magufuli hatutawasahau kamwe katika historia ya Taifa letu

    Ndugai na magufuli hatutawasahau kamwe katika historia ya taifa letu. Hatutasema neno mtajipima wenyewe Mambo mliyoyafanyia taifa hili katika kipindi Cha uongozi wenu. Legacy mnayoiacha kizazi chetu kitawakumbuka daima milele. Mjipime mjitafakari wenyewe Kama mnastahili taji la enzi au taji...
  15. Ndugai: Tumshughulikie Zitto kama Bunge la Marekani linavyomshughulikia Rais Trump

    SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kama Bunge la Marekani linamshughulikia Rais wa nchi hiyo, Donald Trump kwa vitendo vya kukosa uzalendo, kwa nini isiwe kwa mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe ambaye amefanya kitendo cha kuisaliti kwa nchi. Spika Ndugai amesema...
  16. TANZIA Mbunge wa Newala Vijijini, Ajali Rashid akutwa amefariki katika Gesti ya Mingoyo

    Mbunge wa Newala vijijini, AJALI RASHIDI AKBAR amekutwa amefariki katika gesti ya Mingoyo - Mnazi Mmoja - Lindi, inaelezwa kuwa yeye ndio mmiliki wa gesti hiyo mpaka sasa bado chanzo cha kifo chake hakijafahamika na mwili wake umepelekwa hospitali ya Sokoine kwa uchunguzi. Spika wa Bunge la...
  17. Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...

    Wanabodi, Hili ni bandiko la The Voices from Within,naomba kulianza kwa disclaimer Japo siku zote Nabii huwa hakubaliki nyumbani, hili nalijua na litabezwa, na nimeisha lisemea humu TZ Tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!. -...
  18. Spika Ndugai atoa neno kwa Mbunge atakaye kataa bajeti ya serikali

    Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema mbunge anayekataa bajeti ya Serikali bungeni ni mpuuzi. Spika Ndugai ametoa kauli hiyo leo wakati akiahirisha Bunge la sita la Vijana la mwaka 2019 katika ukumbi wa Pius Msekwa, mjini Dodoma. "Kuna mambo matatu katika bajeti, kusema ndio, hapana...
  19. J

    Rais Magufuli apendekeza soko kuu la Dodoma liitwe Soko kuu la Ndugai

    Rais Magufuli ametoa pendekezo kuwa soko kuu jipya linalojengwa jijini Dodoma liitwe Soko kuu la Ndugai. Hii ni kstika kuenzi mchango wa Spika Job Ndugai wa kuuletea maendeleo ya haraka mkoa wa Dodoma Source TBC
  20. Wabunge wa Tanzania Vs Spika Ndugai Vs Wananchi

    Hivi wabunge wa Tanzania mkataba wao ukoje. Hawa ni wawakilishi wa wananchi na wananchi ndio huwatuma bungeni sasa kuna dhambi gani wananchi kuwatumia au kuwaandikia maswali wawakilishi wao ili wakaulize bungeni kwa niaba yao? Kwanini Spika alimkataza mbunge Devotha kuuliza swali kwa sababu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…