ndugai

  1. Yericko Nyerere

    Sikuwa mjinga, niliamini niko sahihi, leo Ndugai amejibu

    SIKUWA MJINGA, NILIAMINI NIKO SAHIHI, LEO NDUGAI AMEJIBU. Na Yericko Nyerere Job Ndugai mfuasi kindakindaki wa hayati John Magufuli aliyeapa kumuongeza muda wa kutawala Tanzania, ananirejesha nyuma miaka miwili iliyopita 22 December 2019 nilipoandika Makala nikipinga hotuba ya Rais Magufuli...
  2. J

    Ndugai: Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uendelee, Dkt. Magufuli alishauriwa vibaya

    Spika wa Bunge ameshauri mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uendelee kwa sababu Magufuli alishauriwa vibaya, hii ni baada ya kamati ya Bunge ya bajeti kushauri kuwa serikali iangalie kuhusu kuendelea na mradi huo. Ndugai amesema kuwa mradi huo utakuwa na faida kubwa kwa Watanzania na...
  3. Cannabis

    Ndugai: Wabunge ishaurini Serikali, iendelee kununua ndege au isitishe

    Dodoma. Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewataka wabunge kuchangia Mpango wa Taifa wa Maendeleo kwa kuishauri Serikali kama iendelee na mpango wake wa kununua ndege au isitishe hadi itakapoweka mambo sawa. Ndugai amesema hayo bungeni mjini Dodoma leo Alhamisi Aprili 8, 2021 kabla...
  4. J

    Ndugai: Taarifa ya CAG imeonyesha ATCL inapata hasara, je tuendelee kununua nyingine?

    Spika wa Bunge Job Ndugai amewaasa wabunge kuchangia kwa uwazi bila kuogopa mpango wa bajeti wa mwaka 2021/2022 na sio kusubiri serikali ifeli kisha walaumu. Spika amesema kwa mfano Taarifa ya CAG imeonyesha ATCL imepata hasara ya bilioni 60 na kuuliza; je ni sahihi kuendelea kununua ndege...
  5. J

    Kwa Katiba za nchi nyingine Spika ndiye angekuwa Rais kwa miezi mitatu

    Katiba yetu ni nzuri sana ndio maana mambo yote yameenda kwa amani kabisa ndani ya siku 21 za maombolezo. Katika baadhi ya nchi Rais akifa Spika ndio anaongoza nchi kwa siku 90 na kuitisha uchaguzi. Ndio kusema ingekuwa hapa, Spika Ndugai ndiye angekuwa mkuu wa nchi na baadae kusimamia zoezi...
  6. Replica

    Spika Ndugai: Wafanyabiashara wa nchi hii kila siku wanalalamika, mnahitaji kengele gani igongwe?

    Leo spika Job Ndugai amewaapisha wabunge walioteuliwa jana na Rais Samia Suluhu na kuahirisha Bunge kwa ajili ya hafla ya kuwaapisha mawaziri jioni ya leo. Pamoja na mambo mengine, Spika Ndugai amewaambia mawaziri na mawaziri watarajiwa kwamba Bungeni ndio nyumbani na uwaziri ni matembezi...
  7. W

    Hivi ni kweli Spika Ndugai anailinda na kuitetea Katiba ya Jamhuri ya Muungano kama alivyoapa ama leo ametuchezea shele?

    Leo katika zoezi la kuthibitishwa kwa jina la Makamu wa Raisi Bungeni Jijini Dodoma Spika wa Bunge, Job Ndugai, alipata wakati mgumu wa kati amruhusu kwanza aliyekuwa Mbunge wa Buhigwe, Dkt. Mpango (VP now), ahutubie kwanza kabla ya matokea ya kura za kuthibitishwa kuwa makamu wa Rais...
  8. J

    Spika Ndugai atatizwa na tafsiri ya Katiba, aamua kumruhusu Dkt. Mpango kuwaaga wabunge wenzake kabla ya kuthibitishwa na Bunge

    Spika Ndugai amekiri kupata wakati mgumu kwenye kuitafsiri Katiba iwapo Dkt. Mpango awaage wabunge wenzake kabla ya matokeo ya kura kutangazwa na kumthibitisha au baada yake. Amesema iwapo atamtangaza Dkt. Mpango amepitishwa kuwa Makamu wa Rais basi haitawezekana tena mteule huyo kupewa fursa...
  9. fmlyimo

    Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina. Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki. Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais...
  10. J

    Spika Ndugai: Nyani wanashangilia kifo cha mkulima wa mahindi wanasahau mwakani hawana pa kula

    Hii kauli ya Spika wa bunge mh Ndugai inafikirisha sana. Hao nyani wanaofurahia kifo cha hayati Magufuli ni akina nani? Je, ni Ufipa? Na kwanini mwakani watakosa chakula? Hata hivyo Ndugai amesema wanaoshangilia wanajidanganya Tanzania haitarejea kuwa shamba la bibi kamwe. Maendeleo hayana...
  11. J

    Hakukuwa na sababu ya Dkt. Tulia kurudia rudia kusema anamwakilisha Spika Ndugai, msiba siyo kikao cha Serikali

    Binafsi niliamini Naibu Spika Dkt. Tulia analiwakilisha bunge zima pale msibani kwa Balozi Kijazi kumbe nilikosea alikuwa anamwakilisha Spika wa bunge ambaye yuko mbali. Nijuavyo mazishi siyo kama vikao vya serikali au chama ambavyo kuna watu ni lazima wahudhurie kwa mujibu wa vyeo vyao...
  12. J

    Spika Ndugai aahirisha Bunge na kuwataka Wabunge kuzingatia masharti ya Serikali kuhusu afya zao pia madereva wao wasikimbie hovyo

    Spika wa bunge Mh. Ndugai ameahirisha vikao vya bunge hadi watakapokutana tena kwenye mkutano wa vikao vya bajeti mwezi March, 30. Spika amewataka wabunge kuchukua tahadhari ya afya zao kulingana na miongozo inayotolewa na wizara ya afya kadhalika amewataka wabunge na madereva wao wawe makini...
  13. J

    Ni kama vile Spika Ndugai anakaimu na nafasi ya KUB, maana siyo kwa ukosoaji huu anaoufanya bungeni

    Binafsi nimeridhishwa sana na utendaji wa Spika Ndugai katika mkutano wa bunge unaofungwa leo. Ndugai ameweza kuikosoa serikali katika baadhi ya mambo yakiwemo ajira kwa vijana, riba kubwa kwenye mikopo ya elimu ya juu, SUA kuacha majukumu yake ya msingi na kuanza kufundisha walimu wa sekondari...
  14. M

    Ujumbe kwa Mh. Job Ndugai: Ujasiriamali una principles zake

    Mh. Speaker, ningependa kufikisha ujumbe huu kwa ufupi sana. Nimeamua kuandika baada ya kukusikia kwa mara ya pili ukiongelea ugumu wa ajira kwa vijana. Sitaki kujikita sana kwa wajibu wa serikali duniani kote kutengeneza ajira na kuhakikisha sekta binafsi inakuwa kwa kasi ili kutoa fursa za...
  15. J

    Spika Ndugai: Vyuo vikuu vianze kufundisha Ujasiriamali kama vile vya Kenya vijana wasisubiri ajira ambazo hazipo!

    Spika Ndugai amesema ni wakati sasa vijana wetu wakaachana na mawazo ya kuajiriwa na badala yake wajikite kwenye shughuli za ujasiamali na kilimo. Ndugai amesema vijana waliomaliza darasa la saba ni mfano mzuri wa kuigwa kwa sababu wao hawachagui kazi tofauti na wale wanaojiita wasomi ambao...
  16. TODAYS

    Spika Ndugai: Tunatengeneza vijana wa kucheza Pool table, wakikaa na simu wanaperuzi tu

    Kutoka Dodoma. "Tunatengeneza vijana wa kucheza Pool table, ambao wakikaa na simu wanaperuzi mitandaoni tu". "Nafikiri labda tuongeze kodi labda itapunguza hata sijui, hivi tufanye kitu gani ili tuhakikishe kila mtu anafanya kazi, maafisa maendeleo ya jamii hawafanyi kazi" -Job Ndugai. Nini...
  17. S

    Tundu Lissu: Ni ufisadi na ufujaji wa fedha za umma kwa Bunge kuwalipa watu ambao hawana sifa za kuwa wabunge

    Ameandika hivi katika akaunti yake ya Twitter: Ni ufisadi na ufujaji wa fedha za umma kwa Bunge kulipa mishahara na posho kwa watu ambao dunia nzima inafahamu hawana sifa ya kuwa wabunge kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania. Ipo siku wahusika wa ufisadi huu na wale wanaouwezesha watawajibishwa...
  18. L

    Je, inawezekana kuwa spika Ndugai akawa ni Mtumishi Umma anayelipwa zaidi Tanzania?

    Katiba yetu inasema Spika sio lazima awe Mbunge hivyo basi kuna mshahara wa cheo cha Spika ambao kwa kawaida ni mkubwa kuliko mshahara wa ubunge. Kwa mahesabu haya: 1.Ubunge 11 millions 2. Spika 11 + X millions Jumla inaweza kucheza kwenye 28-30 millions. Ukizingatia kwa sasa CEO wengi wa...
  19. USSR

    Spika Ndugai ataka Walimu waongezewe kazi wafundishe masomo kuanzia matatu ili kupunguza uhaba wa Walimu

    Akikazia mawazo ya wabunge kama kawaida yake nimemsikia Spika ameitaka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi kuwaongezea masomo ya kufundisha walimu kwa maana ya kuwafundisha kuyafundisha tangu wakiwa vyuoni hasa vyuo vikuu ili kupunguza uhaba wa walimu na kuongeza tija kwa Wanafunzi. Akitolea...
Back
Top Bottom