Kwako Ndugai: Ukiwa kama Spika unapaswa kuisoma ilani ya CCM kwa kina kuhusu Bandari

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,052
28,242
Screenshot_20210410-080901_Office Mobile.jpg

Kwanza ukiwa kama mbunge kutoka dodoma ulipaswa kuiongelea bandari kavu ya Ihumwa halafu uje kuweka msisitizo wa bandari kadhaa zinazotakiwa kujengwa.

Taifa litakuwa hatarini sana iwapo tutakuwa na wanasiasa wasioheshimu Miongozo na ilani walizojiwekea na ambazo ndizo walizopita nazo kujinadi kwa wananchi.

Karibuni kwa mjadala
 
Yani nyie mtapoteana sana!
Mtumishi wa Mungu ameingia katikati ya watu wenye mapepo.
Yani mama amewasalimia tu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano mmesahau mlango wa kutokea...
Akifanyakazi itakuwaje....???
Spika hajui hata ilani anaropoka tu ohhh bandari ya bagamoyo bayo kwenye ilani haimo
 
Wako busy na Bogus Treaty mkuu ,,,mabepari wanaupiga mwingi sanaaa hapaa baada ya JPM kutoka.... pande linapigwa kwa Mangungo wa Msoveroo... sijui atafunga Au atapaisha safari hii

Au tutapata penati ya mwisho dakika za nyongeza... kwako Mwalimu Kashashaaa...
 
View attachment 1748093
Kwanza ukiwa kama mbunge kutoka dodoma ulipaswa kuiongelea bandari kavu ya Ihumwa halafu uje kuweka msisitizo wa bandari kadhaa zinazotakiwa kujengwa.

Taifa litakuwa hatarini sana iwapo tutakuwa na wanasiasa wasioheshimu Miongozo na ilani walizojiwekea na ambazo ndizo walizopita nazo kujinadi kwa wananchi.

Karibuni kwa mjadala
Nakubalina nawe, nashangaa watu kujitoa ufahamu wakati kila kitu kiko kwa maandishi apa............................
 
Back
Top Bottom