Bila aibu wala kuona soni unadiriki kusema kuwa ili uamini kuwa hao akina Mdee na wenzake 18 lazima upewe muhtasari wa kikao kilichowafukuza? Mbaya zaidi unaongea bila aibu kuwa ili wewe upate uthibitisho kuwa hao akina Mdee walifukuzwa unataka uthibitisho kuwa natural justice ilizingatiwa. Hivi...
Nina maswali machache sana.
Kwanini Tulia Ackson alilidanganya Bunge na umma wa Watanzania kuwa ofisi ya Bunge haijapokea barua ya kuwafukuza Uanachama Wabunge wa Covid-19 wakati kiuhalisia waliipokea barua tangu Novemba?
Ndugai anaongelea natural justice: Alimfuta Lissu ubunge, alimpa natural...
Imekuwa mazoea spika Ndugai kuotoa maamuzi ya kisheria kwa kadri anavyojisikia.
Wakati Lipumba alipowafuta uanachama wabunge wa viti maalum wa CUF, Ndugai aliwafukuza wabunge wale bila kuhoji. Aidha CCM ilipomfuta uanachama Sofia Simba, alimfukuza ubunge bila kuhoji.
Cha kushangaza Mwambe...
Akitoa salamu zake mbele ya Rais Samia kwenye sherehe za wafanyakazi, spika wa bunge Job Ndugai amesema Mwanza ingependeza kama wangeacha kuezeka nyumba zao kwa masufuria, akisema
"Mwanza kunapendeza lakini kwanini mnafunika nyumba zenu na masufuria? ,Ingependeza kama mngeezeka nyumba zenu na...
Mh Shigongo ametoa pongezi hizo za kukata na shoka alipopewa nafasi ya kuchangia bungeni .
"Mh Spika mimi nilidhani kazi kubwa ya Wagogo ni kujipanga barabara na kuuza maji tu , kumbe nilikuwa sielewi kwamba tunaweza kuwa na kiongozi bora kutoka huko "
Chanzo : EA RADIO
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai leo amehoji kwanini Fedha zinakwama Wizara ya Fedha akimtaka Waziri kujiandaa akisema, "Siku ya Wizara yake nitakamata Shilingi mimi mwenyewe"
Ndugai ametoa kauli hiyo Bungeni Dodoma wakati Bunge likijadili Hotuba ya Wizara ya Nchi - Ofisi ya Makamu wa...
Mtazame na msikilize mwenyewe kisha tunaweza kusema na kujadiliana.
Huu ukosoaji enzi za Mwendazake John Pombe, ilikuwa hatari na pengine angeweza kunyang'anywa uhai bila kupenda.
Pengine pia, tunaweza kuamini zile tetesi za kuwa kuna zengwe linasukwa chini chini ili atemeshwe U-Spika kabla...
Naona mambo yanazidi kuwa mabaya kwa spika Ndugai maana aliwaapisha kwa haraka wanamama 19 wa Chadema ili bunge analoliongoza lionekane lina wabunge toka chama cha upinzani.
Chadema nao wakafanya kweli wakawatimua wabunge walioapishwa na Spika Ndugai na hii ni wazi kuwa hawana sifa ya kuwa...
Leo bunge limetengua kanuni kuruhusu wageni wasioruhusiwa kuingia ndani ya ukumbi wa Bunge wakati wa hotuba ya Rais Samia Suluhu, miongoni mwao ni Makamu wa Rais, Philip Mpango na Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi.
Pia spika Ndugai aliwashauri wabunge wasivae tai nyekundu kwasababu ni kwaajili...
Mheshimiwa Spika,
Nakusalimia kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Natambua leo ni siku ambayo rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan analihutubia Bunge la nchi yetu. Na mimi kama mwananchi nimelazimika kukuandikia barua hii ili kwayo uweze kutafakari, pengine itakusaidia wewe katika...
Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Rais Samia Suluhu Hassan atalihutubia Bunge Alhamisi Aprili 22 2021 jioni
Hiyo itakuwa mara ya kwanza kwa Mama Samia kulihutubia Bunge tangu alipoapishwa kuwa Rais Machi 19 mwaka huu.
===
Rais Samia Suluhu Hassan atahutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
Katika mkutano huo, Catherine Ruge amesema:
Tumeona kwenye vyombo vingi vya habari kuwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassani anaenda kulihutubia Bunge tarehe 22 -04-2021 kwa mara ya kwanza tangu alipoapishwa kwa rais wa JMT kufuatia kifo cha mtangulizi wake, Dkt. John Magufuli.
Kuelekea tukio...
RAIS John Magufuli amesema sababu kubwa ya kusitishwa kwa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni masharti magumu yaliyomo katika mkataba wa utekelezaji wa kazi hiyo.
Jiwe la msingi la ujenzi wa bandari hiyo liliwekwa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete mwaka 2015 na ulitarajiwa kugharimu dola za Marekani...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema amekuwa akifuatilia mijadala ya Bunge na kuongeza kuwa kuna mijadala isiyo ya afya kwa Taifa
Amesema: "Kipindi hiki ndugu zangu Wabunge tunatakiwa kupitisha Bajeti za Sekta mbalimbali za Serikali kwa ajili ya maendeleo ya Taifa. Naomba jikiteni sana...
Mbunge wa viti Maalum Lucy Mayenga amedai leo Bungeni kuwa kuna kundi la wabunge wengi ambao wanamepanga kuhujumu legacy ya Magufuli na kutaka kutenganisha Urais wa Samia na Urais wa Magufuli
Amedai wabunge hao wanamsifia Samia Suluhu kwa lengo la kuonyesha kuwa Maguuli alikuwa akifanya vibaya...
Spika wa bunge Mhe. Ndugai amewatangazia wabunge na wafanyakazi wote wa Bunge kwamba Rais Samia Suluhu Hassan amewaandalia futari siku ya Alhamisi mara baada ya Rais Samia kulihutubia Bunge.
Zoezi la kufuturu litafanyika hapo hapo bungeni
Chanzo: Eatv Habari
Ramadhan Kareem!
NAUNGANA NA SPIKA NDUGAI, VIJANA WENGI SIO WAAMINIFU, TENA WAVIVU
Na, Robert Heriel
Kauli ya SPIKA NDUGAI ni kauli thabiti yenye ukweli kwa 100% ndio maana naungana nayo.
Ndugai anamadhaifu yake mengi tuu lakini kwenye hii kauli yake yupo sahihi. Vijana wengi watampinga, watamtukana...
Ndugai asiposikia tena hili ndo basi tena. Sauti ya leo ni sauti ya mwisho na asipoelewa atakuwa na tatizo la akili. Wananchi wamesema kwa muda mrefu, wataalamu wamesema, viongozi wa dini wamesema. Lakini ni kama ameweka pamba masikioni. Sasa amezungumza raia namba moja. Ndugai achague kusuka au...
Nimemsikia Spika Ndugai akidai kuwa vijana wengi wa kitanzania sio waaminifu, kwamba wakiajiriwa mahala popote lazima wamuibie muajiri wake hivyo asipokuwa makini lazima wamfirisi. Unachosema ni kweli lakini hii mentality ipo kwa kiasi kikubwa hata kwa wanasiasa.
Wanasiasa wengi mpo kwa ajili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.