ndogo

Ligi Ndogo Soccer Club (pronounced [liɡi ˈndoːɡo] (listen) or [liɡi ˈndɔːɡo] (listen); also known as The Planets or simply Ligi) is a football club and youth academy based in Nairobi, Kenya. The senior team currently competes in the National Super League, the second tier of the Kenyan football league system. The club's name is Swahili for "little league".
The club's youth academy was founded by current chairman Chris Amimo and Karani Nyamu in February 2002, and in 2005, the first senior team was formed and has played at Ligi Ndogo Grounds along Ngong Road since then. The team briefly used the Nairobi City Stadium in 2012 for its home games while their Ngong Road grounds were undergoing renovations.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, ichunguze Benki Kuu(BoT) kama kweli wako serious katika kusimamia Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha kwa wanaokepesha bila leseni

    Hii taasisi kila wakati inatoa taarifa kwa umma kupitia tovuti yao ya www.bot.go.tz kuonya watu waache kufanya biashara ya kukopesha bila leseni yaani kinyume na Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya mwaka 2018 na kanuni zake. Kinachinishangaza ni kuona matamko mengi ya kuonya watu wanaojihusisha...
  2. JamiiForums Tanzania Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

    Ukweli mchungu ni kwamba smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni Ukiwa na akili kubwa kupata mke Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe ukubali kuoa kilaza Sababu ukiwa na akili kubwa unakuwa una akili ya kumsoma mtu. Pia Kama una pesa umetafuta mwenyewe kwa jasho lako. Maana yake...
  3. JamiiForums Tanzania Sarafu zenye thamani ndogo Afrika

    10 African countries with the weakest currencies in 2024. 1. São Tomé and Príncipe 22,281.8/$Dobra (STD) 2. Sierra Leone 19678.65/$Leone (SLL) 3. Guinea 8,583.4/$Guinean Franc (GNF) 4. Madagascar 4528.28/$Malagasy Ariary (MGA) 5. Uganda 3849.94/$Ugandan Shilling (UGX) 6. Burundi...
  4. JamiiForums Tanzania Ikulu ndogo za mikoani ziboreshwe hazina hadhi

    Kuna hizi nyumba wanazofikia marais wakiwa mikoani katika ziara Mimi Naziita ikulu ndogo sijui kama nakosea ila zinajulikana zaidi kama rest house. Nyingi ya nilizoziona mimi mikoani naziona ni za kizamani sabab zimejengwa muundo mfupi Paa ni fupi labda kidogo ukute zimepigwa rangi tu upya...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa waliomaliza form 4, kama una roho ndogo usiende kusoma special schools (shule za vipaji maalumu)

    Hizi shule(mzumbe,pugu,kisimiri,ilboru,kibaha and the likes) japokua siku izi nyingi zimepoteza sifa zake aisee kama una moyo mwepesi usiende huko unaweza kupata depression au pressure ukashindwa kusoma Miaka Hio mwisho wa miaka ya 2000 niliripoti Moja ya shule tajwa hapo combination ya pcm...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Voda wanatoa Kamisheni ndogo kwa Mawakala?

    Habari zenu, Nina ofisi zangu za Uwakala wa mitandao ya simu na nimekuwa nashangazwa na Kamisheni ndogo zinazotolewa na Vodacom. Mitandao mengine ipo vizuri kiasi chake lakini Vodacom wamekuwa wanabana sana Commission kwenye miamala ya kuweka na kutoa. Hii hali imeenda mbali zaidi kwani hata...
  7. JamiiForums Tanzania vijana msome mjaribu bahati ya ajira, mjiajiajiri / biashara, kuwa msanii au mwamichezo ni kundi halizidi watu elf 1 nchi nzima waliofanikiwa.

    >> MOVED <<
  8. JamiiForums Tanzania Chimbo gani naweza kupata bodi za gari ndogo kama Runx na IST?

    Wakulungwa, gari yangu bodi yake imechoka sana. Ni chimbo gani naweza pata bodi iliyokatika hali nzuri, na bei gani? Gari ni RUNX.
  9. JamiiForums Tanzania Mapinduzi cup Milioni 100 bado ni ndogo kwa simba na Yanga, Waongeze dau lifike walau 300

    Kwa Yanga na Simba kila timu hapo ina sponsorships deals zenye kuingiza takribani bilioni 5 kila mwaka Kombe la Ligi kuu bingwa anapewa milioni 500 lakini hio bado ni pesa ndogo, Malengo huwa ni kuvuta mpunga wa kimataifa, msimu wa mwaka jana pekee Simba kakunga bilioni 2 kasoro caf na bilioni...
  10. JamiiForums Tanzania Hela ndogo ndogo unazozidharau ndo chanzo cha kufeli kwenye maisha yako

    Wasalam, Watanzania wengi tumekuwa na tabia ya kudharau pesa ndogo ndogo tuzipatazo. Chukulia mtu anaingiza ujira wa 10,000 kwa siku anakula na kutumia yote bila kusave chochote. Just imagine kama angesevu hata 3,000 kila siku kwa mwezi angeweza hata nunua mfuko wa mbolea kutosha kuanzia kulima...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ongezeni mabasi ya kutoa huduma ya usafiri DART Stendi Kuu ya Kimara Mwisho, watu ni wengi na mabasi ni machache

    Kero ya usafiri Kimara Termina ni kubwa sana muda wa kuanzia asubuhi mpaka saa 6 mchana. Msongamano wa watu ni mkubwa sana na mabasi yenu ni machache. Toeni tenda watu binafsi waingize mabasi kwenye hii njia yenu, maana inaonekana kazi imewashinda.
  12. JamiiForums Tanzania Miji suitable kwa City Trams (treni ndogo za mjini)

    Laiti kama siku moja tutajilipua, tukajenga miundombinu ya trams, ambayo inaweza kuwa humuhumu kwenye barabara zetu za jini, usafiri utakuwa rahisi zaidi. napendekeza maeneo haya yazingatiwe, hata hiyo pesa ya bilioni 300 anatoa kwa ajili ya darala la jangwani, inaweza kutosha. 1. Dodoma iwepo...
  13. JamiiForums Tanzania Picha: Maendeleo ya ujenzi hospitali ya wilaya Kivule(Amana ndogo)

    Mambo yanakwenda vizuri pongezi Kwa Serikali.
  14. JamiiForums Tanzania Team Ndogo na Mbovu ambazo zimekutana na Kipigo Kizito Hadi saiv kwenye NBC Msimu wa 2023/2024

    Zifuatazo ni Team Ndogo zilizokula Kichapo Kikubwa Msimu huu wa NBC 2023/2024
  15. JamiiForums Tanzania Ustaarabu na umakini unaweza kuipendezesha sehemu ndogo ya kuishi ikupatie mapumziko mazuri zuri

    Nchi zetu za Afrika zimejaliwa ardhi kubwa na ujenzi wetu wengi ni ujenzi usiopimwa. Mijjni uhaba wa ardhi umeshaonekana na kuna watu wanaoweza kubuni makazi ya watu wengi katika eneo dogo. Picha ni chumba kinachoweza kupangishwa na mtu asiye na familia, hiki chumba kinaweza kuwafaa hata...
  16. JamiiForums Tanzania INAUZWA Mabegi, Mikoba na Pochi ndogo nainai chambuu bei ya katoni

    Habari wanajamii Baada ya kuja na wazo la kuwaagizia watu bidhaa China kufeli Kisha wazo wa kuwauzia Yuan za china na kuwasaidia manunu pia kufeli Nimeona Sijaandikiwa kusaidia watu bali ichi ninachokifahamu ni tunu yafaa nitumie kujinufaisha na familia yangu tu. Ndio nimeamua kuagiza...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Je, kuna dhambi kubwa na ndogo?

    Bado najaribu kujiuliza mtu aliyeuwa maksudi kabisa mfano hao mafreemason na mtu aliyeiba machungwa mawili akiwa na njaa wote watahukumiwa sawa mbele za bwana kama iwapo hawatatubu?? Kumbuka Amri zinasema kuiba na kuua zote ni dhambi .
  18. JamiiForums Tanzania Sijapenda matumizi ya label ya Maokoto kwenye bia ya Serengeti Larger ndogo

    Kampuni ya Serengeti nashauri wejiheshimu na waheshimu brand ya wateja wao wanatumia neno la kihuni na lenye matumizi yenye weight kubwa ya negative connotation hasa sehemu zetu za kula bata. Tafadhari Serengeti breweries mjitafakari sana baadhi yetu tumetoka mbali sana na hii bia sio poa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Balozi Polepole kapotelea Cuba, ameungana na Kabudi na Dr. Bashiru Ali kujisomea majarida. Maskini kutoboa si kazi ndogo!

    Polepole amejitahidi kuandika andika na kusema ila mwisho ameishiwa pumzi baada ya vyombo vya habari kumkataa pamoja na mvuto kwenye social media kupotea. Huyu ni moja ya watu waliotoka familia maskini kama ilivyo kwa Bashiru na Kabudi. Kwa kuonekana wanataka kukitutumua familia za kifalme...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye akili ndogo

    Habari wanajamvi, Kutokana na utafiti wangu wa hapa na pale kuhusiana na wanawake nimekuja kugundua asilimia kubwa ya wanawake ambao uwezo wao ni mdogo wa kufikiri(especially hawa wa uswahilini ila sio wote) wanakua na kidharau fulani ivi cha kijinga kwa mfano unaeza mfuata ukamsalimia demu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…