INAUZWA Mabegi, Mikoba na Pochi ndogo nainai chambuu bei ya katoni

Salahan

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,942
3,607
Habari wanajamii

Baada ya kuja na wazo la kuwaagizia watu bidhaa China kufeli

Kisha wazo wa kuwauzia Yuan za china na kuwasaidia manunu pia kufeli

Nimeona Sijaandikiwa kusaidia watu bali ichi ninachokifahamu ni tunu yafaa nitumie kujinufaisha na familia yangu tu.

Ndio nimeamua kuagiza mwenyewe na kuuza mwenyewe niape sitotoa tena connection yoyote niliowasaidia yatosha.

Naaam nimeamua kuagiza na kuwauzia tu kwa bei ninayoona ni rafiki kwa kila mteja wangu.

Usiniulize chochote kuhusu China Mana sitojibu just njoo niungishe maisha yaendelee.

WhatsApp Image 2023-10-28 at 12.05.59.jpeg
WhatsApp Image 2023-10-28 at 12.05.58.jpeg
WhatsApp Image 2023-10-28 at 11.47.56.jpeg

Pochi izo hapo ni pochi ndogo maarufu kwa jina la nainai
Wadada wanatumia kuwekea simu na makeup kiasi kanakuwa kamejaa
Ninua ukauze 10000-15000 (rejareja)
Material ni PU na Plastic
Bei kwa katoni (pisi 20) ni 80,000/= yaani kila pochi moja 4000/=
Bei ya jumla kuanzia pisi 2 basi kila pochi moja 5000
Rejareja 6000

Tupo Morogoro Mjini
Mtaa wa Konga jirani na Aika Lodge
Tucheki Whatsapp +255759727895


NINAZO PISI 100 TU
(ZIPO OFISINI SIO TENA CHINA)
WATEJA WA KATONI MNAPEWA KIPAUMBELE

Post Inayofuata nitapost Zinazokuja zilizopo njiani ili wateja wangu mjipange

Njoo kama mteja sio kuuliza mambo ya wapi natoa wala mambo za China
Haya maisha bila roho mbaya nimegundua hayaendi kabisa
 
UPCOMING........HAZIJAFIKA ZIPO NJIANI
WhatsApp Image 2023-10-28 at 22.44.56 (1).jpeg
WhatsApp Image 2023-10-28 at 22.44.56.jpeg
WhatsApp Image 2023-10-28 at 22.44.55 (2).jpeg
WhatsApp Image 2023-10-28 at 22.44.55 (1).jpeg

BEI YA IZO NAINAI HAPO JUU ITAKUWA SAWA NA BEI ILIYOTAJWA HUKO JUU
HIZI BADO HAZIJAFIKI ZIKIFIKA MTATAARIFIWA JAPO WAWEZA WEKA ODA (PRE PAYMENT)
ZINATARAJIWA KUFIKA
TAR
13/11/2023
22/11/2023
27/11/2023


WhatsApp Image 2023-10-28 at 22.44.55.jpeg

MABEGI YA NGUO NAYO YAPO NJIANI BEI TUNAYOITARAJI KUYAUZA NI
(4) @ 45000
(3) @ 50000
(2) @ 55000
(1) 60000
MABEGI MAKUBWA (SUITCASE)
ZINATARAJIWA KUFIKA
TAR
04/12/2023
 
Tumerekebisha kidogo idadi ya katoni toka pisi 25 hadi pisi 20 kwa bei ileile 4000 kila pochi....Kwenye katoni tunamix aina zote bila kurudia ila kwa maombi ya mteja.Karibuni
 
Back
Top Bottom