ndoa

  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni upi uhalali wa ndoa ya mkeka?

    Kiukweli nashindwa kuelewa uhalali wa ndoa ya mkeka Ndoa ya mkeka ni ndoa ambayo huwalazimisha vijana kuingia katika ndoa kuwaepusha na kuendeleza zinaa Hufanywa kwa kuwavamiwa watoto hao wawapo faragha na muda huo huo ndoa hupishwa na kufungishwa na shekhe Ndoa hizi zimekuwa zikihusishwa na...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umri na kabila vina matter kwenye masuala ya ndoa?

    Hivi kwanini kabila na umri vinachangia kuzuia ndoa au kuruhusu ndoa? Mfano utaulizwa huyo mwanaume ana umri gani ukisema tupo sawa watu wana doubt, why?
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chungu lakini dawa {kwanini BIKRA ithaminiwe kabla ya ndoa}

    CHUNGU LAKINI DAWA Kama hana bikra usimuoe, achana naye. Tafuta mwenye bikra ujichukulie mwali. Kama hana bikra usitoe mahari kama umeamua kuoa. Toa mahari kwa mwanamke uliyeikuta bikra kwake. Mtu hana bikra unatoaje mahari. Kama hana bikra usifanye harusi. Harusi ni kwa mwanamke mwenye bikra...
  4. JamiiForums Tanzania Akatwa nyeti zake na mkewe baada ya kushindwa kutimiza ahadi ya kumlipa 5000 baada ya mshindo kwenye tendo la ndoa

    Wanaume nchini Tanzania wanapaswa kuongeza umakini zaidi wakati wa tendo la ndoa kutokana na kushamili kwa matukio ya kukatwa nyeti zao na wapenzi wao. Siku kadhaa zilizopita askari polisi mkoani shinyanga (28) alikatwa nyeti na mke wake na leo Mkazi mmoja wa Wilayani Serengeti amekatwa sehemu...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bima ya Afya nchini Kenya kugharamia matibabu ya mke au mume mmoja tu kwa walio kwenye ndoa zilizo na zaidi ya mpenzi mmoja

    Bima ya Afya nchini, NHIF, sasa itakuwa inagharamia matibabu ya mke au mume mmoja tu kwa walio kwenye ndoa zilizo na zaidi ya mpenzi mmoja. Vile vile, bima hiyo pia itakuwa sasa inagharamia watoto watano tu baada ya mageuzi ambayo yalianza Januari 1, 2020. Bima ya afya humu nchini NHIF...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania UCHUNGUZI: Girlfriend/ Fiancee; Kubana Kushiriki Tendo la Ndoa Kabla ya Ndoa na Madhara yake Hatari kwa Wanaume Kuishiwa Nguvu za Kiume

    Katika hali ilozoeleka kusia kutoka kwa mabinti ama madada zetu pale tunapowachumbia ni ile wao wanaposisitiza kushiriki tendo la ndoa pale tu ndoa itakapokuwa imefungwa. Ndoa haijafungwa no sex! Na hapa na dada zatu hudhani na kuamini kuwa ni kujijengea uaminifu na kutoonekana vitombi au...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Girlfriend Kubana Kushiriki Tendo la Ndoa Kabla ya Ndoa na Madhara yake kwa Wanaume Kuishiwa Nguvu za Kiume

    Katika hali ilozoeleka kusia kutoka kwa mabinti ama madada zetu pale tunapowachumbia ni ile wao wanaposisitiza kushiriki tendo la ndoa pale tu ndoa itakapokuwa imefungwa. Ndoa haijafungwa no sex! Na hapa na dada zatu hudhani na kuamini kuwa ni kujijengea uaminifu na kutoonekana walaini kwa...
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wa haraka: Ndoa mwezi mmoja, mimba miezi miwili

    Habarini! Niende kwenye mada. Jamaa yangu wa mbali lakini niliye na uhusiano nae wa karibu kabisa kwa mambo mengi na msiri wangu mkuu alioa mwanzoni mwa mwezi uliopita, ilikuwa tarehe 2. Leo asubuhi ya saa tano hivi alinijia nyumbani akiwa amefadhaika mno, nilistuka! Alichonieleza na ambacho...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kizuizi cha kuingia kwenye ndoa

    Kuna sababu nyingi kwa vijana kutoingia kwenye ndoa. Lakini sababu zinazojulikana zaidi ni hitaji la kifedha, kujiandaa binafsi, na ukosefu wa mwenza anayefaa. Sababu hizo mbili za mwisho zinachukuliwa kama jukumu la utamaduni. Kutokana na tamaduni juu ya maswala ya ngono, familia, na dini...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ananiamini lakini ana wasiwasi na aliujenga yeye maisha ya ndoa

    Ni mwanamke wa kwanza kumjua maishani .. Na ndio amekuwa mke wangu ... Ndio demu wangu wa kwanza 1999 primary za kinguonguo) na mpaka leo ndio mke wangu nlikutana nae tena 2002 ...Wa ndoa .... Baada ya kujifungua huyu mtoto wetu ... Yaaani alinipotezea kabisa ....hamu ya tendo sijui...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kuhisi upo single ndani ya ndoa?

    Heri ya mwaka wandugu. Ukweli nimeona nije na hii ID kabisa tu maana uchungu nilionao moyoni nahisi kufikia point ya kuhitaji msaada. Nilikuja na ID hii mamii90 kuomba ushauri tu. Naomba uangalie ule uzi wa familia ya mume ndo utapata muendelezo wa hii. Watu wengi walionishauri walisema ongea...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siri 6 za wanawake ambazo kamwe hawawezi kukuambia

    1. Idadi ya wapenzi wake wa zamani Wanaume wengi hupenda kujua wao ni wangapi kuwa na mwanamke Fulani. Lakini mwanamke kamwe hawezi akakwambia wewe ni wa ngapi. Kumuuliza jambo hili kunamkera sana mwanamke na ndio maana mara nyingi hawezi akakwambia ukweli. 2. Anakulinganisha na mpenzi wa...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanandoa vikongwe zaidi duniani kusheherekea miaka 80 ya ndoa

    Wanandoa wakongwe zaidi duniani wanaoishi nchini Marekani, John na Charlotte Henderson kusheherekea miaka 80 ya ndoa yao. Kwa mujibu iliyoandikwa na jarida la Washington Post, Charlotte (105) na John (106) wanandoa ambao wamedumu kwenye ndoa kwa miaka 80, ndoa yao inasemakana kama ndoa...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wenzi wa ndoa wajinyonga mara tu baada ya ya harusi. Pana funzo hapa

    Ile tabia ya wachumba kufanya sherehe za gharama kubwa wakitegemea michango ya watu imewagharimu uhai wanandoa mara baada ya harusi yao huko Kenya. Walikodi hoteli ya nyota 5, walikodi helikopta na mbwembwe nyingine nyingi wakiamini michango itawacha wakiwa mamilionea baada ya harusi. Lakini...
  15. JamiiForums Tanzania Taratibu za kuvunja ndoa bomani

    Habari wana JF Mimi nilifunga ndoa ya bomani, ila ndoa yangu iliingia doa na uwezekano wa kurudiana imeshindikana. Nilikua naitaji kujua taratibu za kuvunja ndoa za bomani, maana sheria inataka ndoa za Kiislam tu ndio zivunjwe mahakamani, ila za Kikristo na za bomani hazijazungumziwa. Asanteni.
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aina za wanawake wanaodumu kwenye ndoa Tanzania

    Utafiti unaonyesha kuwa ndoa za Vijijini ndio zinadumu kuliko za Mijini pia unaeleza kuwa ndoa zinazofungishwa kimila ndio zinadumu kuliko zinazofungishwa Kidini na Kikatiba (Kanisani, Miskitini na Mahakamani) Utafiti unaonyesha Wanawake wa Makabila 20 bora Tanzania wanaodumu kwenye ndoa kama...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tujadili: Wapi wana amani ama wanafurahia maisha kati ya wanandoa na walio nje ya ndoa?

    Habarini WanaJukwaa Pendwa la MMU! Katika Pita pita yangu nimekutana na Msuguano Mkali wa Juu ya Raha ya Kuwa na Ndoa ama Kutokuwa kwenye Ndoa. Kuna Wengine Wamesema Ndoa ina Raha saana maana Ndiyo Utimilifu wa Maisha wenyewe. Wamedai kuwa Ukiwa Nje ya Ndoa maanake kunakuwa kama Kiungo...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwenye ndoa kosa la usaliti linastahili msamaha?

    Napenda kujifunza kutoka kwenu especially kwa wale walioko kwenye ndoa na wale ambao hali kama hii ishawatokea. Je ukimfumania mwenza wako anachepuka ndani ya Nyumba yako kiasi cha kwamba kukatokea ugomvi uliofanya jamii nzima ijue unagongewa unaweza kumsamehe mwenza wako na kuendelea kuishi...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sheikh Kandauma: Ndoa ni mapenzi na huruma

    Kutoka kwa Sheikh Ahmed Kandauma Kila sifa njema anastahili Mola wa ulimwengu huu ambaye ni Allah Subhannahu Wataalah, na rehema na amani ziwe juu yake Mtume Muhammad (S.A.W). Tunamshukuru Allah kwa kutuwezesha kukutana tena katika ukurasa huu ambapo tutajadili mambo mbalimbali yanayotusaidia...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mchungaji aingia kwenye mgogoro wa ndoa baba mke wake kisa binti wa kanisani

    Inadaiwa mchungaji wa Kanisa la Restoration Bible Church huko ruaha Iringa ameingia kwenye mgogoro wa kifamilia na kanisa kutokana na mchungaji huyo aliyefahamika kwa jina moja la Jeremia kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mdada aliyejulikana kwa jina la Vaileth ambae pia amempa kacheo flan bila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…