Mwanaume aliye tayari kwa urafiki, uchumba hadi ndoa anahitajika

Apr 20, 2022
23
30
Habari ndugu zangu, nawasalimu kwa jina la JF.. Upendo uendelee. Natumaini mu wazima wa afya, lakini pia tuwaombee wale ndugu zetu wanaotamani kuwa humu lakini wameshindwa kutokana na sababu zisizozuilika.
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu, mimi ni mtu wa jinsia ya kike.

Sifa zangu ni kama ifuatavyo:

Umri:30-36yrs
Dini:Roman Catholic
Kazi:Self employed
Elimu:Degree level
Sifa za ndani
Sio mnywaji wa kilevi cha aina yyte
Najiheshimu
Mcha Mungu
Najitambua
Mtulivu na msikivu
Mvumilivu nk
Sifa za mwanaume anayehitajika
Umri:37-42.
Mcha Mungu
Awe mkristo mkatoliki
Awe anajitambua
Awe muwazi kwa kila kitu
Awe na huruma, asiwe muongo
Awe na hofu ya Mungu.

Mwisho kabisa awe ameshamaliza kula ujana na awe tayari kwa ajili ya familia, asiwe na mambo mengi.
Nina imani kubwa kuwa ninayemtafuta yupo humu. Nawashukuruni nyote, ila samahani sana wandugu sitoweza kujibu hapa, kwa maelezo zaidi njoo PM majibu yote yapo.

Asanteni na Mungu awabariki.
 
Kutafuna dadaz ntaendelea kama kawa tu, ila ili kulinda ndoa yetu nitahakikisha na pretend kuwa mwema na mtaratibu sana ili asigundue ama kunishtukia! Nina technic nyingi za kuishi na wanawake, afanye kuja PM tu!
hizi technique zitumie kutafuta pesa, magonjwa mengi bro hawa wanawake kila siku wanazaliwa wapya wazuri , huwezi wamaliza
 
Habari ndugu zangu, nawasalimu kwa jina la jf.. Upendo uendelee. Natumaini mu wazima wa afya, lakini pia tuwaombee wale ndugu zetu wanaotamani kuwa humu lakini wameshindwa kutokana na sababu zisizozuilika.
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu, mimi ni mtu wa jinsia ya kike.

Sifa zangu ni kama ifuatavyo:

Umri:30-36yrs
Dini:Roman Catholic
Kazi:Self employed
Elimu:Degree level
Sifa za ndani
Sio mnywaji wa kilevi cha aina yyte
Najiheshimu
Mcha Mungu
Najitambua
Mtulivu na msikivu
Mvumilivu nk
Sifa za mwanaume anayehitajika
Umri:37-42.
Mcha Mungu
Awe mkristo mkatoliki
Awe anajitambua
Awe muwazi kwa kila kitu
Awe na huruma, asiwe muongo
Awe na hofu ya Mungu.

Mwisho kabisa awe ameshamaliza kula ujana na awe tayari kwa ajili ya familia, asiwe na mambo mengi.
Nina imani kubwa kuwa ninayemtafuta yupo humu. Nawashukuruni nyote, ila samahani sana wandugu sitoweza kujibu hapa, kwa maelezo zaidi njoo PM majibu yote yapo.

Asanteni na Mungu awabariki.
Haya sasa! Njoo mwenyewe PM. Maana sifa zote unazozitaka ninazo. Muhimu tu uwe mweupe, umbo namba 8 au 6! Kama una umbo namba 1 au 9 usije tafadhali!

Uwe na shingo ya upanga! Miguu ya bia! Macho ya gololi! Uwe na tabasamu zuri! Uwe na tabia njema! Karibu mama kwenye dunia ya Tate Mkuu Gang!! Ufaidi mema ya nchi.
 
Hizi mbona ni sifa za wahudumu wa bar
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom