ndoa

  1. tpaul

    JamiiForums Tanzania Msichana wa Kitanzania akipata mchumba na kufunga ndoa anajiona amepata degree (Hons)!

    Hodi humu jamvini wana MMU, Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Najua mnahangaika na utafutaji wa maji na mkate kwa familia wakati huu. Kwa sababu ya suala la kuolewa kuwa gumu siku hizi binti akiolewa anajiona kama amepata degree (Hons) ya first class. Siyo siri...
  2. tpaul

    JamiiForums Tanzania Sheria ya ndoa ifanyiwe marekebisho kuruhusu ndoa za mkataba

    Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kumchosha mtu yeyote. Kwa utafiti binafsi niliofanya hivi karibuni, ndoa nyingi hapa nchini, na katika nchi nyingine za kiafrika, huingia migogoro au kuvunjika kabisa kwa sababu ya wanawake kuwa na uhakika wa ndoa ya kudumu, hasa hizi ndoa za...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kuzembea wajibu wa matunzo makusudi kunaweza kuvunja Ndoa

    Maana ya Talaka Sheria inayosimamia masuala ya talaka ni sheria ya Ndoa ya mwaka 1971. Na kwa mujibu wa sheria hiyo, “Talaka ni ruhusa ya kisheria ambayo mume au mke hupewa wakati anapomwacha mwenzie”. Chombo chenye mamlaka ya kutoa talaka Chombo pekee chenye uwezo wa kuvunja ndoa ni...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Historia ya maisha yangu, chamgamoto niliyopitia mpaka kufanikiwa kufunga ndoa

    Wakuu habarini. Mtanisamehe kdg kwa uwandishi wng Kama mada apo juu inavyosema nitasimulia niliyopitia mpaka kufanikiwa kufunga ndoa na mke wng. Mimi ni mtot wa 2 katika familia yetu tuliobahatika kuzaliwa 5 mimi nikiwa ndie mtoto pekee wa kiume kwa upande wetu sisi mzee alikua na wake 2 mke...
  5. Majighu2015

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa namna ya kutatua changamoto ya kidini kabla ya ndoa

    Wakuu nina mchumba wa kiislamu ambae tumeshibana sana na nataka nimuoe lakini imetokea changamoto kwa baba yake anataka nibadili dini na amekomaa kweli kweli. Baba yake ni mtu wa dini na ni kiongozi kwenye BAKWATA. Binti hana maamuzi sana kwenye swala hilo anamsikiliza mshua wake. Binti...
  6. Extrovert24

    JamiiForums Tanzania Tendo la ndoa ndiyo msingi ama nguzo ya wanandoa

    Habari za jioni wana jamvi la JF, itoshe kusema ya kwamba tendo la ndoa ndiyo msingi ama nguzo ya wanandoa. Ikitokea mmoja katika tendo la ndoa hafanyi vema ni rahisi lolote kumtokea kama ndugu yetu Yanga kule Khartoum. Lakini point ni kwamba kwa kizazi cha sasa vijana ambao ni 20+ hawawezi...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Sungusungu wa Shinyanga wapewa jukumu kuzuia ndoa za wahitimu la Darasa la 7

    Jeshi la Jadi (Sungusungu) Manispaa ya Shinyanga na Wilaya ya Shinyanga limepewa jukumu la kuhakikisha hakuna ndoa ya utotoni ya mwanafunzi yeyote aliyehitimu darasa la saba mwaka huu. Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Jasinta Mboneko aliwakabidhi jukumu hilo juzi wakati wa kusimikwa viongozi wapya...
  8. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Wakristo wengi huhofia mali kugawanywa pasu kwa pasu ndio maana hawaachani hata wakifumania wake zao

    Kwa waislam wengi mambo ya kuvunja ndoa yanamalizwa kimya kimya bila hata mahakama kuhusika, wapo wanawake wanaoenda mahakamani kudai haki za mali lakini ni wachache. Kwenye ukristo shughuli ipo tofauti, ndoa hadi inavunjika hapo ni kwamba mahakama imehusika na imeshatoa hati ya ndoa...
  9. Vocal Fremitus

    JamiiForums Tanzania Kama hauna nia ya kumuoa usimpe mimba

    Kumekua na wimbi la akina dada kuzalia nyumbani hasa hawa wa miaka 19-26. Unakuta kijana anajua hana uwezo wa kuhudumia mimba na kuchukua majukumu kama baba lakini anazalisha tu. Kuna hawa jamaa ambao wameshaoa, anakuwa na kamchepuko kwa tamaa zake, anakazalisha. Wakati uwezekano wa kumuoa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Sababu kubwa inayomfanya Mwanamke akatae kushiriki tendo la ndoa

    Wanandoa wengi wanafanya mapenzi kama jukumu na siyo starehe ya kufurahishana. Na wanaume wengi wamekuwa wabinafsi kwasababu wanafikiria tu mihemko yao bila kujali unayemtumia anahali gani. Mwanamke ni mtu anayefanya vitu vyake kwa hisia, kwahiyo kabla hujataka kufanya hicho unachotaka kufanya...
  11. mapema

    JamiiForums Tanzania Vijana ingieni kwenye ndoa lakini mjue yaliyopo ni kinyume kabisa na matarajio

    Nafurahi kufikisha mwaka wa 10 siku ya leo kwenye ndoa. Nilioa kwa vigezo vyote vya dini, yaani ile hakuna ngono kabla ya ndoa. Ilikuwa ngumu kidogo lakini kwa nguvu ya dini niliweza ingawa mwenzangu sikujua nyendo zake. Na kwa kiasi kikubwa maisha yangu ya ujana sikuruka sana kwa nia njema ya...
  12. Jbst

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni upuuzi

    Nimegundua kwa mara ya pili mapenzi ni upumbavu na upuuzi tu, yalishanikuta mara ya kwanza nikapuuzia na hii mara ya pili nathibitisha ni upuuzi tu! Baada ya siku kadhaa kuwakejeleli watu hapa JF waliokuwa wakilialia kipuuzi kuhusu mapenzi na mimi yamenikuta aisee! Unampenda mtu na kumjali na...
  13. Mowwo

    JamiiForums Tanzania Tendo la Ndoa lifanyike mara ngapi kwa wiki kwa wanandoa/wapenzi?

    Kulingana na utafiti uliochapishwa kwenye jarida la labia ya kujamiiana unaonesha, wanandoa wastani hufurahia tendo la ndoa mara 54 kwa mwaka. Huu ni utafiti, tuje kwenye uhalisia. Wengi tunapenda sana hili tendo. Japo msukumo wa kulifanya unatofautiana kati ya mtu na mtu. Wapenzi walioanza...
  14. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Ndoa za kikristo hazifati maandiko ya kwenye biblia, zinafata sheria za viongozi wa makanisa

    Hizi ndoa za kikristo zimefikia mahala sasa tunaweza kuziita ndoa za kisheria kwasababu watu wanaona mahakamani kuna unafuu kuliko kufata sheria za ndoa za kikristo. Usijidanganye kizazi hiki kwamba mke mwema anashushwa na Bwana, mwanamke unaweza kumchunguza mwaka mzima mkiwa kwenye uchumba na...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini ndoa nyingi za Bomani (Serikalini) zina Afya 'Kimahusiano' kuliko zile za Makanisani mwetu?

    Ngoja nimtafute mrembo hapa hapa JamiiForums ili nikafunge naye ndoa ya Bomani ili niishi kwa afya, amani na furaha. Hiyo ya Kanisani nawaachia tu wengine.
  16. SN.BARRY

    JamiiForums Tanzania Masanja awachana 'live' wambea wa ndoa yake

    Video hiyo hapo "Yaani namuachaje huyu msichana, nimuache huyu dada halafu? Yaani hata ndoa ziishe leo zote halafu kesho tuanze upya namrukia huyu huyu! Nataka niwaambie kwa lugha rahisi, ninamshukuru Mungu kwasababu Mungu yupo kazini." "Yote ambayo wanangu mnasikia, msiende na mikumbo watu...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mliokuwa kwenye ndoa: Usifuatilie simu ya mke wako utaishi miaka mingi

    Wale ambao wapo kwenye ndoa fanya yafuatayo utakuja kunishukuru Acha kushika wala kufuatilia simu ya wife. Usimpende kupita kiasi. Chukulia poa kila issues. Mwanamke yeyote duniani anatongozwa sana tu, kwa hiyo we potezea kumfuatilia wife, cha msingi usijue chochote. Kuwa busy kutafuta hela...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ni halali Mume kuleta watoto wa nje ya ndoa katika ndoa yake/familia yake?

    JE NI HALALI MUME KULETA MTOTO WA NJE YA NDOA KATIKA NDOA YAKE/FAMILIA? Anaandika Robert Heriel, Shahidi, Sitompendelea yeyote, iwe Mimi mwenyewe au Nani. Tutakachoangalia Haki na ukweli . Huo ndio msingi na nguzo kuu katika Maandiko yangu bila kujali Nani atasema na atajisikiaje. Hilo...
  19. Mivyumba

    JamiiForums Tanzania Kuna watu mnasababisha mikosi kwenye ndoa na familia

    Kuna wanaume baadhi huwa wanajiona wanaakili sana, kumbe ndiyo chanzo cha wao kuleta uharibifu kwenye familia zao. Hofu ya Mungu isipotawala ndani yako, vitu kama hivi ndiyo huwa vinafanyika! Naomba usome hiki kisa👇👇👇👇 Wamama nimekuta sms mchepuko anamtumia mume wangu nanukuu, "Baby vipi...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wa hivi wamekosaga nini kwenye ndoa zao?

    Nauliza hivi wanawake wa hivi wamekosaga nini kwenye ndoa zao? Kakuaacha na nyumba watoto wawili kaenda kutafuta, hufanyi kazi zaidi ya kulea watoto pesa anatuma ila unawapa utamu wapita njia. Update
Back
Top Bottom