Ni halali Mume kuleta watoto wa nje ya ndoa katika ndoa yake/familia yake?

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,891
JE NI HALALI MUME KULETA MTOTO WA NJE YA NDOA KATIKA NDOA YAKE/FAMILIA?

Anaandika Robert Heriel,
Shahidi,

Sitompendelea yeyote, iwe Mimi mwenyewe au Nani. Tutakachoangalia Haki na ukweli . Huo ndio msingi na nguzo kuu katika Maandiko yangu bila kujali Nani atasema na atajisikiaje. Hilo halitozuia na kubadili Jambo lolote.

Jibu la swali hilo ni fupi tuu, nalo ni Sio HALALI.
Lakini lazima tufafanue kidogo, mtoto wa nje ya ndoa ni Nani au ni yupi?

Mtoto wa nje ya ndoa ni Yule ambaye anazaliwa baada ya Ndoa. Huyo ni mtoto wa nje ya ndoa. Mfano, Taikon nimemuoa Neema, baada ya miaka 10 ikatokea nikampa mimba mwanamke mwingine akazaa mtoto. Basi mtoto huyo ni mtoto wa nje ya Ndoa.

Lakini kama Taikon tayari ninayemtoto kabla ya ndoa, ndipo nikaoa huku mchumba wangu akijua kuwa kuna mtoto kabla sijamuoa, basi mtoto huyo hatakuwa WA nje ya ndoa.

Au mwanamke ukamuoa ukijua anamtoto basi watoto hao hutowaita watoto wa nje ya Ndoa.

Hivyo ni halali mkeo/mumeo kuwaleta ndani ya familia au Ndoa yenu. Lakini Jambo hilo linatakiwa mfanye makubaliano kabla hamjafunga Ndoa na mpate muafaka kuwa hao watoto mtawalea kwenye familia yenu au hawatalelewa ndani ya familia yenu.

Makubaliano hayo ni muhimu katika hatma ya huko mbeleni.

Na Kama mtawalea ndani ya ndoa, lazima muafikiane kuhusu mambo ya Haki za Urithi mapema ili baadaye msije leta mtafaruku au chuki za kijingajinga.

Kabla hamjaanza safari yenu lazima mjue Destination yenu.

Ukipanda Gari au ndege yoyote lazima ujue unaenda wapi kama ni Arusha au Mwanza. Au marekani. Huwezi panda Gari alafu usijue Destination yako. Huo ni uzwazwa.

Uwepo wa Ajali barabarani haiondoi mtu kujua alipokuwa anaenda.
Kila kitu kiwe planned kadiri mtakavyoweza na kiwe documented. Mkiandike hivyo ndivyo mambo yanavyoenda,

Usiwe muoga kujadili mambo nyeti wewe na mwenza wako. Jadilini mambo ambayo wengine wanaona tatizo kujadili.

Mfano, ikitokea mmoja wenu amekuwa sio muaminifu akafanya usaliti je nini kitarajiwe, kama mtaachana ambalo Kwa watu Kama Taikon ni lazima Jambo hilo litokee tuu kivyovyote, mtaachanaje, vipi mgawano wa Mali, vipi watoto, na mambo mengine. Uoga usifanye watu wajidanganye mkashindwa kujadili mambo nyeti.

Lazima muambieni ukweli bila kufichana kuwa Mimi ukileta mtoto baada ya Ndoa simpokei,
Kwa upande wa vijana, usioe Mwanamke mwenye mtoto/Single mother Kama huna uwezo na haupo tayari Kulea mama na mtoto wake(ambaye sio wako) Msemo wa ukipenda boga penda na Ua lake unamaana kubwa Sana katika mahusiano ya namna hiyo.

Huwezi mpenda tuu single mother bila ya kumpenda mtoto wake alafu hayo mahusiano yakabaki kuwa salama. Hakuna kitu Kama hicho. Acheni kujidanganya kama wapumbavu.

Nature haimtambui mtoto wa nje katika ndoa hivyo kumlazimisha Mkeo ampende mtoto wako hapo Nyumbani ni kumfanya tuu awe mnafiki. Ni nadra Sana Mwanamke kumpenda Mtoto wa mwanamke aliyemuibia mume wake.

Tumia akili hata kidogo, elewa kuwa tatizo sio huyo mtoto Ila tatizo ni hisia za kimapenzi akikumbuka huyo mtoto ni wamwanamke aliyelala na mumewe tena baada ya Ndoa.

Kama isivyowezekana Kwa Sisi wanaume Kulea mtoto wa mwanaume mwingine aliyemnyandua mke wetu, ndivyo hivyohivyo isivyowezekana Kwa wanawake. Hivyo ndivyo nature ilivyo.

Mwanamke haoni shida hata ukileta watoto elfu moja wa kuwa-Adapt lakini lazima aone shida ukileta mtoto mmoja wa kwako uliyezaa na Mwanamke mwingine baada ya Ndoa yenu.

Hayo ndio Mapenzi na Upendo ulivyo.
Ukiona haumii ujue hakupendi huyo, Hana wivu na wewe na yupo hapo Kwa maslahi Fulani lakini sio Kwa ajili yako.

Nature inazuia Uasi Kwa namna ya kuumiza watu watakaoufanya huo uasi. Lengo la mwanamke au mwanaume kumchukia mtoto asiyewake aliyezaliwa na mwenza wake ni kuthibitisha amri za Mungu kuwa "USIZINI".

Taikon ninawaambia Watu na kujiambia Mimi mwenyewe, kama itatokea umeoa au kuolewa alafu ukapata mtoto wa nje ukiwa ndani ya ndoa.

Kwanza, usije ukamuambia Mkeo/Mumeo,

Pili, akijua hapo itakubidi uombe Msamaha kwake na Kwa Mungu lakini maamuzi ya kuendelea na ndoa muachie mwenza wako ahukumu vile atakavyo. Usimlazimishe Kwa kumbembeleza Sana.

Tatu, kama mtaendelea na ndoa,basi huyo mtoto asiishi hapo nyumbani kwenu. Ili Kupunguza uchungu na matokeo mabaya zaidi ambayo yanaweza kuchochea hata mauaji.

Vipi Kama Mtoto aliyezaliwa ametoka kwenye familia yenye Ndoa nyingine?
Yaani Taikon ninamke wangu alafu nimtie mimba mke wa mtu mwingine, hiyo itakuwaje? Je mtoto ataishi wapi?

Unaona uzinzi ulivyombaya, mtoto atahangaika Kwa sababu ya ubinafsi wetu, kuendekeza tamaa ya miili yetu bila kujali hisia za wenza wetu, bila kujali matokeo ya mtoto anaweza akatokea akapata shida na kukosa haki za Msingi kama mambo ya malezi ya Baba na Mama, upendo wa Baba na Mama, Urithi WA Baba na mama. Yaani mtoto anapozaliwa katika Mazingira hayo lazima akose moja ya mambo hayo au yote Kwa pamoja.

Swali hilo kulijibu ni ngumu kwani inategemeana na mazingira, kwani mara nyingi ndoa huvunjika tena afadhali zivunjike Bali wakati mwingine mauaji ya kikatili yanaweza kuripotiwa.

Niliwahi andika kuwa nature na Dunia inatambua adhabu ya kifo Kwa baadhi ya makosa kiumbe na binadamu akifanya.

Yaani hata binadamu wangeunda sheria Kali kuhusu Mauaji lakini kuna makosa ukiyafanya elewa Kabisa kuwa Malipo yake ni Kifo kulingana na Our mother nature.

Hivyo Mimi nikisikia mtu kauawa kisa Mke WA Mtu au mume WA mtu wala sishangai kwani najua Nature imeamua kutoa adhabu hiyo automatically. Vitu vyote viko undercontrol ya nature.

Ndio maana mafuriko au radi inaweza kutokea ikaua kundi la watu na kubakiza watu Fulani, au unaweza kuzuka ugonjwa Fulani wakafa watu wengi lakini wakapona wengine. Hilo ni somo jingine.

Nashauri, hasa Kwa Sisi Kina Baba, maana Sisi ndio miili yetu kidogo iko Active kutamani Warembo. Tuache zinaa hiyo ni amri ya Mungu wala sio ushauri wangu.

Lakini kama tumeshindwa kabisa basi tuwe Makini tusiwazalishe wanawake nje ya ndoa tukaleta mitafaruku isiyo na ulazima, tukaharibu Future na Destination nzuri tuliyojiwekea hapo Kabla.

Wanawake usikubali kutembea na mume WA mtu. Kwa sababu madhara ni mengi kuliko faida. Madhara hayo ni Kama ifuatavyo;

1. Kujishusha thamani hivyo hutokuwa na haki popote pale iwe Duniani au kwenye falme za rohoni.

Yaani Kuzimu hutambuliki, Shetani hakutambui, Mungu hakutambui kuwa unahaki Kwa huyo mumeo. Kimsingi huna thamani na hauna haki. Ni Kama kahaba tu.

Hivyo hata ulie vipi machozi yako hayahesabiki Kwa lolote. Machozi ya mjinga hayadhuru. Ni Kama Dua la kuku.

Ni tofauti na ukiwa MKE halali.

2. Mtoto wako Hana haki
Endapo ukizaa na mume WA mtoto nature haimtambui huyo mtoto kwamba anahaki katika mwanaume uliyezaa naye.

Mtoto atataabika tuu bure kisa ubinafsi wako ingawaje utamlaumu mwanaume lakini elewa kuwa Mwanaume yeye alikuwa kwenye Starehe zake.

Nature ilivyo itamtengenezea mazingira magumu huyo mwanaume ili ashindwe kumhudumia mtoto wako yaani ili mambo yasiende Mwororo. Ili kukufanya uone kuwa ulikosea, na kadiri unavyomlaumu mwanaume asivyomjali mtoto wako ndivyo nature itakavyomuongezea ugumu ili azidi kutomhudumia mpaka siku utakapojilaumu mwenyewe wewe na kuona kuwa ulikosea na kuomba toba. Kisha kukubali kubeba msalaba wako.

3. Wanaume wengi hawafikiriagi Wanawake WA nje na watoto wa nje.
Elewa kuwa wanaume wengi wanawachukulia wanawake WA nje Kama vipoozeo tuu au michepuko ya kubadilisha ladha.

Hata siku moja usije ukadhani Mume WA Mtu huko aliko anakuwazia wewe, utakuwa huna Akili. Mume anawaza familia yake tuu. Mkewe na Watoto tu. Zingatia pia mume anajenga heshima ya familia yake sio wewe mchepuko.

Mtoto wako hatafikiriwa na Baba yake Kama wewe sio mkewe. Tena ukiishi naye ndio kabisaaa. Huo ndio ukweli.

Ndio maana mwanamke yeyote mwenye akili timamu zinazomtosha kamwe hawezi kukubali mahusiano na waume za watu alafu mwisho wa siku azalishwe aanze kukuletea shida.

Mume WA mtu atakujali na kukupenda pale anapogombana na Mke wake😂😂. Yaani mpaka wagombane wewe ndio upatemo makombo ya Mapenzi. Huoni kwamba utakuwa CHIZI.

Mwanamke anayejithamini kamwe hawezi kujishusha thamani na kujidhalilisha Kwa namna hiyo.
Ni Bora uwe na Mumeo hata kama anakipato cha chini lakini anakufikiria Kama mkewe kuliko kuwa na Waume za Watu ambao wanakuchukulia kama Malaya. Kwani nature nayo inakuchukulia hivyohivyo, ingawaje unaweza kujiongopea kuwa nawe unathamani kama mkewe lakini huko ni kujidanganya tuu.

4. Kukosa haki ya Urithi
Biblia inasema, Mtu hupata Urithi kutoka Kwa Baba yake lakini mke mwema hutoka Kwa Mungu.
Mtoto wa nje kimsingi Hana haki ya kurithi isipokuwa kupewa vijizawadi mshenzi.
Unapozaa na waume za watu unamtengenezea mtoto wako matatizo tuu ambayo yanaepukika.
Kwa nini usizae na Mumeo wa halali kabisa, tafuta mwanaume akuoe kisha FANYENI maisha, jivunie mumeo huyo ndio Mali yako. Hao wengine wanakuona kama Malaya tu.

Hamuwezi lingana hadhi na Mke.
Sisi wanaume moja ya tofauti yetu na wanawake IPO hapo.
Ndio maana tunakuwa wakali Sana Wake zetu vipenzi wakiguswa, hata kama tunakuwa tunagombana gombana nao lakini haimaanishi hatuwapendi.

Binti zangu, najua kuna wengine ni ngumu kunielewa Kwa urahisi labda mpaka wapitie njia ngumu, lakini najaribu kuwafanya mjitambue na mjue thamani zenu. Usikubali kuzaa na mume WA Mtu, yaani hapo ni kujiingiza kwenye shimo refu lenye kiza, kuyaharibu maisha yako.

Pia usikubali kuzaa bila ya Ndoa. Tafuta kijana anayekupenda, pelekaneni nyumbani mkatambulishane, mambo ya mahari na taratibu zingine zitafuata baadaye ikiwa muda huu hamna pesa na mkicheki umri wenu unafaa kuwa na familia.

Kuzubaa zubaa na kupoteza muda inachangia Kwa sehemu kubwa kuleta madhara katika mahusiano ya Mapenzi Kwa siku hizi.

Msiwe na high Expectations katika maisha, hizo ni ndoto ambazo mnaota mkiwa usingizini ilhali mnaishi katika uhalisia. Mtapoteza Muda.

Usiishi na mtu Kwa kujilazimisha, ishini Kwa kupendana, msiishi kama Bwana na mtumwa wake, ishini kishkaji Ila mwanaume ndiye unatakiwa uwe incharge wa kuratibu movements zote.

Maisha ni kufurahi, Kula na kunywa na kucheza na kuburudika na Mkeo, na watoto na ndugu, na jamaa, na marafiki.

Maisha yanaongozwa na Upendo, na upendo unaletwa Kwa mipaka, na mipaka ndio sheria zenyewe, na kwenye sheria kuna kukosea, kwenye kukosea kuna Busara ambayo Msamaha ni sehemu ya busara. Ila kamwe usitumie busara kujilazimisha Jambo linalokuumiza.

Ingawaje subira inaweza kuwa sehemu ya kutuliza maumivu ili baadaye Msamaha utolewe.

Nipumzike sasa.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Mume WA mtu atakujali na kukupenda pale anapogombana na Mke wake. Yaani mpaka wagombane wewe ndio upatemo makombo ya Mapenzi. Huoni kwamba utakuwa CHIZI.

Hongera Sana kwa andiko lakini limekuwa refu sana
 
Andiko limejaa busara,mwenye masikio na asikie
 
Robert upunguze kidogo urefu na sie wavivu tufaidi...najua kuna madini ila ndefu mno.

Kwa kusoma tu heading, mtoto hana kosa lolote apokelewe kwa mikono miwili ila aliemleta mtoto sasa ndio jalada litakaa mezani
 
Yako mambo yakuweka sawa hapa.

Ndoa Takwa lake la kwanza ni Kuzaa watoto!

Zamani Mama Zetu walizaa watoto Dozen moja na zaidi.

Siku hizi wake zetu wanajifanya wazungu wanazaa watoto wawili.

Na hapo anazuia Mimba asizae...

Sasa mimi kama Mwanaume nifanyeje na ninataka watoto?

Wanaume tuzae watoto lakini TUTAFUTE NOTI.

Wakinamama acheni kuzuia Mimba...au zuieni lakini watoto wetu muwapende!!
 
Saivi ukizaa hiyo dozen si utavaa chuppi kichwani!!!
 
Wewe nadhani umezungumzia upande mmoja wa dini, lakini kuna mazingira mengine hujayasema na yanaweza kuruhusu. Labda kwa vile hauko kwenye dini hiyo ndio maana huna ufahamu nayo.

Mimi Shark nimemuoa Ashura Cheupe tuko kwenye ndoa miaka 10 sasa na tuna watoto ambapo mkubwa ana miaka 8, tunaishi Mbagala tulipojenga. Ikatokea nikiwa kwenye ndoa hii mwaka wa 5 nikamuoa Mwajabu Bonge na nina mtoto nae wa miaka 3 nikapanga chumba Mtoni kwa Aziz Ally, Ashura Cheupe analijua hili.

Bwana alitoa, bwana ametwaa, Inna Lilah wa Inna Ilaihir Rajiuun. Mwajabu Bonge aliekua mke wangu mdogo hayuko tena duniani, Mungu amlaze pahala pema peponi, Ameen. Mtoto wake anatoka Kwa Aziz Ally na kuhamia tu hapa Mbagala ki roho safi.
 
MUNGU AKUBARIKI SANA
 
Wewe nadhani umezungumzia upande mmoja wa dini, lakini kuna mazingira mengine hujayasema na yanaweza kuruhusu. Labda kwa vile hauko kwenye dini hiyo ndio maana huna ufahamu nayo.

Mimi Shark nimemuoa Ashura Cheupe tuko kwenye ndoa miaka 10 sasa na tuna watoto ambapo mkubwa ana miaka 8, tunaishi Mbagala tulipojenga. Ikatokea nikiwa kwenye ndoa hii mwaka wa 5 nikamuoa Mwajabu Bonge na nina mtoto nae wa miaka 3 nikapanga chumba Mtoni kwa Aziz Ally, Ashura Cheupe analijua hili.

Bwana alitoa, bwana ametwaa, Inna Lilah wa Inna Ilaihir Rajiuun. Mwajabu Bonge aliekua mke wangu mdogo hayuko tena duniani, Mungu amlaze pahala pema peroni, Ameen. Mtoto wake anatoka Kwa Aziz Ally na kuhamia tu hapa Mbagala ki roho safi.
Huyo siyo wa nje ya ndoa ila wa mke mwingine..mtoto anayezungumziwa ni yule aliyezaliwa kwa mchepuko
 
Haya madini yanapatika kwa uchache sana!
na wanasema kizuri kula na mwenzio!
mkuu exalioth hapo GGM vipi?

Wazee wa kugonga like sijawaona hapa Extrovert, raraa reree, mkwepu jr

mzabzab na National Anthem vipi hapo!

Equation x, mtoto wa nje siyo!

cc. kelphin, Mjuni Lwambo, Malimi Jr, venossah, scolastika,
Bob sembeke, bila kumsahau NetMaster, Chizi Maarifa, mdau hapo; HAYA LAND, Mubby777, Rumaiya, pia To yeye siwezi kukuacha nyuma tamuuuuu!
Mada imekaa kushoto kushoto sana
 
watoto hawana hatia, na kama hela ipo unakusanya hata wa uswahilini unaishi nao , huwezi jua.. nani ni nani mbeleni
 
Back
Top Bottom