ndoa

  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Nini ufanye mkeo anapoanza vituko ndani ya ndoa?

    Kwa moyo wa dhati, naomba tulijadili hili kiutu uzima, huende tukaokoa maisha ya mtu mmoja.
  2. Mr_Plan

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Ndoa inaelekea kunishinda sina namna, naumia sana

    Habari Wanajamvi Leo naomba niwasilishe mkasa wangu unaonisibu hivi Sasa katika Maisha Yangu....Ndoa...Ndoa..Ndoaaa.. Baada ya kusaka Life Miaka 2 Nyuma na kujihakikishia Uwezo wa Kula kuvaa, Malazi, Starehe Nikiwa na Miaka 24 tu Nikaamua kumtafuta Mwenza wa Kujenga nae Life.. Nikampata binti...
  3. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Michelle Obama: Ndoa haina usawa wa 50/50, lazima mmoja akubali kujitoa

    Huyu ni mke wa Rais Mstaafu Barrack Obama! Huyu ni mwanamke mweusi aliyewahi kushika nafasi kubwa zaidi kisiasa hapa duniani, THE FIRST LADY OF USA. Lakini, pia ni msomi ambaye alibahatika kusoma vyuo vikubwa duniani kama Harvard University na Princeton. Ukimsikiliza kwenye mahojiano yake...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kauli inayoleta mfadhaiko kwenye ndoa

    "Niseme tu ukweli mme wangu, yaani toka tuoane huu ni mwaka wa pili sasa, sijawahi kufurahia tendo la ndoa kabisa. Ninafanya tu kukuridhisha lakini sifurahii kitu chochote". Ha! yaani hakuna lugha nzuri ya kuwasiliana kuhusu hili kweli, nyie wana ndoa.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Dream za baadhi ya wanawake ni kufanya sherehe/harusi kubwa na si kuishi maisha ya ndoa

    Unakuta dada anafunga ,anaomba apewe mume ,Mungu anampa mume baada ya ndoa anarudi kwa ex wake ,hapo ndipo unajua shida yake ilukuwa ni SHEREHE/HARUSI nae wamwone kaolewa na si MUME wala NDOA. Hapo utajua kuna wanawake wanaopenda SHEREHE/HARUSI ila hawapendi maisha ya NDOA wala mume,kwani anaye...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Indonesia: Bunge kupitisha Sheria, watakaofanya ngono kabla ya ndoa Kwenda jela

    Bunge linatarajiwa kuipitisha sheria hiyo mwezi huu Desemba 2022 ambapo adhabu yake ni kifungo cha hadi mwaka mmoja. Sheria hiyo ikipitishwa itawahusu raia wote wazawa na wageni na piaitaruhusu wazazi wa watu ambao hawajaoa kuwaripoti watoto wao kama wameshiriki kufanya tendo hilo. Uchumba...
  7. sanalii

    JamiiForums Tanzania Mshauri wa ndoa nataka kufanywa mchepuko

    Binadamu wanapenda kujaji watu kwa kuangalia sifa za nje kitu ambacho mara nyingi siyo sahihi, katika neighborhood ya kazini, one of colleague aliniomba nimshauri kwa yale anayopitia, kwa moyo mkunjufu nilijitahidi kua positive juu ya ndoa yake na bila kupindisha rula, so ikawa kama counselling...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Naibu Spika Zungu: 'Vijana epukeni ngono kabla ya ndoa'

    Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu amelitaka Bunge la Vijana kutoka na azimio ambalo litawaasa vijana kujiepusha na masuala ya ngono kabla ya ndoa. Zungu ameyasema hayo leo Alhamisi Disemba Mosi, 2022 wakati akifungua Bunge la Vijana ambalo limeanza vikao vyake vya siku tano katika ukumbi...
  9. makaveli10

    JamiiForums Tanzania Ndoa yangu ya JF imenipatia mtoto

    Kwanza namshukuru Mungu kwa kweli, nina furaha usingizi umepotea, hamu ya msosi sina kabisa toka nilivyopata kifungua kinywa, nimebahatika kunywa chai tu usiku huu. Ndugu zangu, Allah ameniruzuku mtoto wa kiume jioni ya leo, mke wangu kazaa kwa njia ya operation, namshukuru Mungu mama na mtoto...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Acha ujinga, mpe tunda mchumba wako vinginevyo utakimbiwa

    Wadada wengi wamekuwa na katabia ka kujifanya watakatifu na wanyoofu kwa wachumba zao kwa kuwanyima sex ili wapendwe zaidi na waonekane wanajitunza. Kama mdada bado ni bikra kumbania mchumba ni halali yake, lkn vinginevyo kuna uharamu mkubwa! Wakati mchumba akinyimwa kuna mhuni anammega huyo...
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hawa madada zetu siku hizi kama wanakwesa makambo, nampigania sana dada asiachwe kwenye ndoa yake

    Sister emekuwa na ujinga flani. Ana kiburi na mjeuri sana. Hatufikirii sisi nduguze tuliopo hapa. Amekuwa mbinafsi na kama ana mashetani. Akigombana kidogo na shem anamwambia kama vipi tuachane. Mimi namtizama sister kwa jicho fulani kuwa "sister usiseme hivyo tuangalie na sisi nduguzo" wala...
  12. comte

    JamiiForums Tanzania Haijalishi mahusiano yoyote ya kingono zaidi ya kwenye ndoa ni chukizo kwa Mungu-huponi kwa mjibu wa mambo ya walawi 18:1-30

    Mambo ya Walawi - Leviticus 18 1 Bwana akanena na Musa, na kumwambia, 2 Nena wewe na wana wa Israeli, uwaambie, Mimi ndimi Bwana, Mungu wenu. 3 Nanyi msifanye matendo kama yale ya nchi ya Misri mliyokaa; wala msifanye matendo kama yale ya nchi ya Kanaani, nitakayowapeleka; wala msiende katika...
  13. Daktari W Sindabhalla

    JamiiForums Tanzania Goli 1 baada ya dakika 45 za tendo la ndoa

    Salaam wana JF. Awali ya yote, niseme kwamba, Raha ya Mechi ni ule udambwidambi, vyenga vya kutosha na Magoli ya kiufundi. Binafsi, Uzoefu wangu ktk tendo la ndoa, goli la kwanza huwa naliingiza nyavuni kabla ya dk 5 kuisha then najiweka sawa kwa round ya pili na 3. ambazo huchukua si...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania 'Wasimamizi wa ndoa ni 'Pisi Kali' kuliko Mabibi Harusi'

    Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk Amon Mpanju amesema siku hizi wasimamizi wa ndoa wamekuwa ni fasheni na siyo wale wenye sifa ya kufanya kazi hiyo katika ndoa. Sambamba na hilo amesema wakati mwingine wanakuwa ‘pisi kali’ kuliko bibi...
  15. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Mlio kwenye ndoa naombeni ushauri juu ya huyu mwanamke

    Kiukweli baada ya kuona hii pisi ikirandaranda kutafuta mume nimeamua kujivika bomu nioe mke wa pili. Wanamazengo mnasema? Si wife material kabisa huyu?
  16. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Huku Marekani, hatimaye nimefunga ndoa na mpenzi wangu wa muda mrefu

    Kwema? Jamani hatimaye leo nimefunga ndoa na aliyekuwa mpenzi wangu wa zamani Adelina Jackson Kimambo pale kanisa la St. Joseph misouri Lutheran church. Namshukuru jalali kiukweli ndugu sijaamini kabisa kumuoa hii pili kali kwanza yeye ni msomi na mtoto wa kitajiri wa kichaga wa familia ya...
  17. Mwanangikolo

    JamiiForums Tanzania Kutoka kuichakata mbususu kimasikhara mpaka kuwa mke wa ndoa

    Kinehe bankima na bangosha Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni mzaliwa wa mkoa wa mwanza wilaya ya ilemela kata ya nyamanoro mtaa wa kona ya bwiru au zaman ikijulikana kama mtaa wa maduka mawili nadhani apa kwa wazawa wa mkoa wetu huu pendwa wa sato sangara na jiji la pili kwa ukubwa...
  18. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Utaratibu mzima wa kufungia ndoa kanisani ni uhuni tu, kanisa limepora mamlaka yasiyowausu ili kuzitawala ndoa

    Na ndio maana nikaona mapema nioe tu ndoa ya kimila kama kwenye biblia, ukilipia mahari unaondoka na mwenzako, imeisha hivyo !! ni ndpa inayotambulika na serikali kama ndoa za dini na cheti cha ndoa ya kimila mtakipata ofisi ya wilaya bila kero yoyote. Utaratibu mzima wa kufungia ndoa kanisani...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Aliyeghushi nyaraka za kesi ya ndoa afungwa miaka 7

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu kifungo cha miaka saba jela, Tuwaha Muze (44) baada ya kupatikana na hatia katika makosa mawili ambayo ni kughushi makubaliano ya uongo na kuwasilisha nyaraka za uongo za mwenendo wa kesi ya ndoa. Pia, mahakama hiyo imemhukumu Samson Tuwaha, kifungo...
  20. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanahitaji vyeti vya kuthibitisha ubikira wao kabla ya ndoa

    Ubikira kabla ya ndoa ni muhimu kwa wasichana wengi na familia zao, wakati mwingine wanaume uomba wathibitishe ubikira wao jambo ambalo Shirika la Afya Ulimwenguni linachukulia kama ukiukwaji wa haki za binadamu. Nchini Irani katika mwaka uliopita idadi Wairani wanaotoa wito wa kukomeshwa kwa...
Back
Top Bottom