ndoa

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ili kupunguza kuzuia wimbi la ndoa kuvunjika tuoane ndugu wa karibu

    Kuliwahi kutolewa taarifa hivi karibuni kuwa ndoa 300 kwa mwezi (sawa na ndoa 10 kwa siku) huvunjika jijini Dar es Salaam pekee. Ili kupunguza ama kuondoa kabisa tatizo hili, mimi Sexless napendekeza ndugu wa karibu waoane kama wafanyavyo waarabu na wahindi. Hili likifanyika litapunguza...
  2. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa kikristo huchelewa kuoa ama hawaoi ni ushahidi tosha kwamba ndoa za kikristo ni gereza

    Ni kawaida sana kukuta vijana wa kikristo hasa huku mijini na kwenye majiji wanaoa hadi wafike 33. Wengine wanaishi na wanawake majumbani na wana watoto lakini hawana ndoa. Kwa vijana wengi wa kiislam ninkawaida kukuta ashaoa akiwa na 23 hadi 25. Huu ni usbhahidi tosha kwamba ndoa za kikristo...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tamko la TAPO la Wanawake na Wasichana: Haturidhishwi na kasi ya mchakato wa kubadilisha Sheria ya Ndoa

    TAMKO LA TAPO LA WANAWAKE NA WASICHANA KUHUSU MCHAKATO WA MABADILIKO YA SHERIA YA NDOA YA MWAKA 1971 Ndoa za utotoni ni tatizo kubwa nchini Tanzania linalo sababisha wasichana kutotimiza ndoto zao hasa za kielimu. Ndoa hizi mara nyingi husababishwa na hali duni za kimaisha, mila na desturi...
  4. Vladivostok

    JamiiForums Tanzania Nini kimewakumba wanawake na hii trend ya kutafuta ndoa uzeeni

    Salam wanajamvi. Katika Siku za karibuni kumeibua wimbi kubwa la wanawake kutafuta ndoa ukianzia Misikitini, Kanisani, mtandaoni na kila sehemu utakuta wanaweka matangozo ya kutafuta waume mbaya zaidi tayari in jua la jioni umri umekwenda. Kuna kipindi walisema hawaitaji ndoa wakasema tafuta...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ndoa ambazo mke anampenda sana mume hazidumu. Kwasababu.......

    ......imeandikwa kuwa " mume ampende mke na mke amtii mume". Na isiwe kinyume chake. Mke hapaswi kupenda bali kupendwa, na kazi ya mke iwe ni kutii kama jeshini vile. Lakini bahati nzuri ni kwamba, mwanume akimpenda mke automatically atamheshimu mkewe, na mwanamke akipendwa na kuheshimiwa...
  6. Nyenyere

    JamiiForums Tanzania Dalili za awali za mke/mume mwema

    Wakuu amani kwenu. Kumekuwa na maswali mengi sana kutaka kujua kama kweli mwanamie/mwanamume fulani anafaa kufunga ndoa naye ama la. Wengi hutaka kujua ni sifa zipi hasa mwenza anapaswa kuwa nazo kabla ya kujiingiza kwenye mahusiano ya kudumu. Leo nitazungumzia sifa chache muhimu zaidi ambazo...
  7. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Tuliohamishiwa Dodoma, tujadili ndoa zetu

    Baada ya Serikali ya CCM kuhamishia Mkao makuu yake DODOMA kwa nguvu na bila tafiti, zaidi ya asilimia 87% ya watumishi wake ambao walikuwa wakiishi DAR ES SALAAM sasa tumehamia DODOMA. Baada ya kuhamia DODOMA, imetokea suala la kuacha waume zetu Dar es Salaam au wake zetu Dar es Salaam kwakuwa...
  8. Google Diggers

    JamiiForums Tanzania Nimeachana naye, najisikia faraja sana

    Huyu mwanadamu ni nyoka. Alinipendaga sana. Tukatoka sana tulibary Sana na kula bata na kudingana, mwenzie mie nikizama na yeye alioza. Wkt yeye akielezea Siri za ndani za Mr wake nikamuon hee huyu vipi ....? Mumewe ni ugonjwa na hali ya uchumi ya familia na kwakweli sikupendezewa na tabia...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ukiishi naye bila ndoa anakuheshimu zaidi kuliko ukifunga naye ndoa, kwa sisi Wakristo

    Kwema Wakuu! Kwanini mwanaume unalazimishwa kuoa? Kwanza elewa Kabisa ndoa haipo Kwa ajili ya maslahi ya mwanaume Bali mwanamke. Yaani mwanaume hapati faida kubwa akifunga ndoa zaidi ya mwanamke, zaidi Sana atapata hasara maradufu ukilinganisha na akiishi na Mwanamke bila ndoa. Angalau ndoa...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wasichana watatu kati ya 10 wanaathirika na ndoa za utotoni Tanzania

    Mkurugenzi Mkaazi wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Zlatan Milisic amesema uchunguzi waliofanya umeonesha wasichana watatu kati ya 10 wenye chini ya miaka 18, wapo kwenye ndoa za utotoni. Zlatan amesema wanaoathirika zaidi ni wasichana wanaoishi vijijini huku akitaja madhara wanayokumbana...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Mrema ni batili, Mjane ana ndoa nyingine halali

    Mnakumbuka story ya Raia Mwema - Lyatonga Mrema adaiwa kupora mke wa mtu Kumbe anayejiita Mjane wa Mrema ni Mafia wa mjini na anatumia majina fake kutapeli watu. Doreen aliolewa April 2012, ndoaya kikatiki na Bwana Fredrick Mushi (mchaga wa kibosho) ambaye yupo hai na inasemekana walipata...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kama ni Mungu ndiye aliyekupangia, hata mkikutana kwenye mazingira mabovu na ya kishenzi ndoa yenu itadumu

    Kuna demu mmoja nilikuwa nafanya naye kazi mahali. Zama zile kulikuwa na foleni sana Dar, barabara nyingi zilikuwa nyembamba, hivyo basi mambo ya happy hour kuanzia saa 11 hadi saa mbili usiku ilikuwa ni ratiba ya sehemu nyingi za biashara. Watu walijazana kwenye mabaa kusuburi foleni ipungue...
  13. brightmind

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sio kweli, ndoa sio tamu😎

    Mwalimu T, Rafiki yangu kipenzi wa enzi na tena mhitimu wa ndaki ya Ruaha. Kwa sasa ninafanya naye kazi. Alidumbukia ndoani miaka miwili iliyopita. Bwanaye ni mshehereshaji, mwembamba wa mwili na mkubwa wa maneno. Hachagui neno lipi lianze na lipi lisubiri. Wala hajui hapa aseme lipi na pale...
  14. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kutokana na kazi ninayofanya, nimejua kwanini ndoa zamani zilikua zinadumu

    Nimetokea kuichukia / kuichoka kazi ninayofanya, mainly kwa sababu ya mipango yangu ya baadae pia mazingira na mfumo wa kazi, Kila nikipanga escape route inafeli hivyo nawajibika kuendelea coz siwezi nyanyua mguu mmoja kabla mwingine haujagusa chini. Hii imenifanya nifikirie maisha ya ndoa za...
  15. L

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mapenzi ndoa mpaka kifo

    Idadi ya vifo, majeruhi na athari hasi mbalimbali zitokanazo na mahusiano mapenzi na ndoa imekuwa ikiongezeka siku hadi siku. Vyombo vya habari vimekuwa vikiripoti idadi kubwa ya athari hasi zitokanazo na mapenzi ndoa pamoja na mahusiano. Utasikia huyu kamuua mkewe kisa wivu wa wapenzi, au...
  16. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Wabunge wafunguka sababu za kuvunjika kwa ndoa

  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti UN: Watu Milioni 50 wapo kwenye ndoa na kazi za kulazimishwa

    Utafiti uliofanywa na Mashirika ya Umoja wa Mataifa ya Kazi, Uhamiaji na Walk Free Foundation umebaini kuwa hadi mwaka 2021, watu milioni 28 walikwama kwenye kazi za kulazimishwa huku milioni 22 wakiishi kwenye ndoa kwa kulazimishwa. Mkurugenzi wa Shirika la Kazi Duniani (ILO) Guy Ryder...
  18. Sirdick Mashally

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kuvunjika kwa ndoa ya dada kulivyoathiri afya ya mtoto wake

    Kumbukumbu zikinijia nakumbuka siku ile ilikuwa ni siku ya furaha sana kwangu na kwa familia kwa pamoja. Siku ambayo dada yangu aliolewa, kila mwana familia na ndugu tulikuwa kwenye furaha isiyokifani, tulisherehekea kana kwamba hakukuwahi kutokea wala hapatatokea tena harusi kwenye ukoo wetu...
  19. Tripp

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenza wa kufunga naye ndoa

    Habari. Mimi ni kijana wa Kitanzania, umri wangu miaka 33, dini mkristo KKKT, naishi Dar es Salaam, nimejiajiri. Nahitaji mpenzi ambaye lengo letu kuu ni ndoa mwakani tukielewana. Vigezo vya mke wangu ni umri miaka 25-38, awe tayari kwa maisha ya ndoa, kama ana mtoto asizidi mmoja; ndio uwezo...
  20. Samahani

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ndoa yangu "Isininyanyase"

    Utangulizi Katika Sheria ya ndoa ya mwaka 1971, Sura ya 29; ndoa imetafsiriwa kuwa ni ‘muungano wa hiari’ kati ya mwanamke na mwanaume unaokusudiwa kudumu kwa muda wa maisha yao yote. Kumbe, mojawapo kati ya mambo ambayo wanandoa wanapaswa kuyaweka vema katika fahamu zao ni kuwa, lengo la uwepo...
Back
Top Bottom