Tendo la ndoa ndiyo msingi ama nguzo ya wanandoa

Extrovert24

Senior Member
Jun 23, 2022
107
124
Habari za jioni wana jamvi la JF, itoshe kusema ya kwamba tendo la ndoa ndiyo msingi ama nguzo ya wanandoa.

Ikitokea mmoja katika tendo la ndoa hafanyi vema ni rahisi lolote kumtokea kama ndugu yetu Yanga kule Khartoum. Lakini point ni kwamba kwa kizazi cha sasa vijana ambao ni 20+ hawawezi kushiriki tendo kwa ufasaha ukilinganisha na watu wazima kitu ambacho kilitakiwa kuwa kinyume.

Na sababu kuu zinajulikana ndiyo kitu ambacho huwafanya wengi kuogopa kuingia katika maisha ya ndoa, na mtu kuishia kuwa na msongo wa mawazo muda wote. Kijana wa 20+ unatakiwa kupelekea moto chombo ya fundi mpaka iseme baba basi yatosha mie.

Kitu muhimu sana ni lishe ambayo inaweza kukusaidia, lakini pia kuna wale ndugu zetu ambao waliwahi kupiga punyeto, hawa pia kwenye maisha ya ndoa baadae huja kuwa mtihani. Yaani ile misuli huwa inafika hatua inachoka yani mpaka huruma. Ndugu zangu wa vega/viagra nao pia hali huja kuwa mbaya.

NB: Sijaandika uzi huu kwa ubaya ndugu zangu, bali ni kukumbushana na kuweka afya zetu sawasawa. Maana hata kama ukiwa na pesa lakini afya yako ni dhaifu basi lazima utakuwa stressed sana.

Wasalaam.
 
Sawa mkuu yaan kupelekewa moto mnapenda mara ngap kwa mwezi? Maana kuna mdau alisema mnapenda kupelekewa moto mara 3 km sio 4 tu kwa mwezi tena mna siku zenu pendwa
Tukiwa kwenye joto"kipindi yaai linapevuka LIBIDO inakuwa juu" na huo ni wakati akili zinaruka tunawaza kupelekewa mto tu, sasa ni jukumu lako kujua kipindi hicho.

Huwa chuchu zinavimba, vipele kama vya baridi na mwili kuwa wa moto, mti utaona mwanamke anapepesa macho kwa kila mwanaume anayekatiza mbele yake:
 
Tukiwa kwenye joto"kipindi yaai linapevuka LIBIDO inakuwa juu" na huo ni wakati akili zinaruka tunawaza kupelekewa mto tu, sasa ni jukumu lako kujua kipindi hicho.

huwa chuchu zinavimba, vipele kama vya baridi na mwili kuwa wa moto, mti utaona mwanamke anapepesa macho kwa kila mwanaume anayekatiza mbele yake:
Duuh kwa hio ndio mnakua hivyo yaan macho nje nje ukigusa tu kitundani
 
Nasikitika kwamba hiki pekee ndicho kilichopo kwenye akili za waafrika smh
 
Ngono imekua changamoto kubwa sana mpaka tumeipa priority mno, sijui tatizo liko wap!
 
Tukiwa kwenye joto"kipindi yaai linapevuka LIBIDO inakuwa juu" na huo ni wakati akili zinaruka tunawaza kupelekewa mto tu, sasa ni jukumu lako kujua kipindi hicho.

huwa chuchu zinavimba, vipele kama vya baridi na mwili kuwa wa moto, mti utaona mwanamke anapepesa macho kwa kila mwanaume anayekatiza mbele yake:
Fafanua hii LIBIDO ndiyo nini?
 
Tukiwa kwenye joto"kipindi yaai linapevuka LIBIDO inakuwa juu" na huo ni wakati akili zinaruka tunawaza kupelekewa mto tu, sasa ni jukumu lako kujua kipindi hicho.

Huwa chuchu zinavimba, vipele kama vya baridi na mwili kuwa wa moto, mti utaona mwanamke anapepesa macho kwa kila mwanaume anayekatiza mbele yake:
Jukumu langu Tena kujua hizo siku wakati wewe ndyo mwenye hamu ya kupelekewa moto. Nyinyi ni wabinafsi Sana siku tukitaka hiyo maku mnatunyima lakini mnategemea siku mkihitaji kukunwa mkunwe hiyo haipo TIT FOR TAT. Nafanya dakika mbili namwaga nakupa mimba nalala.Utajijua na mihamu na milibido Yako sijui milibudo huko huko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom