Inasikitisha.
Vijana wanaumia,wanaumizwa mbaya zaidi hawasikilizwi, vijana wa kiume ndiyo kabisa wahanga wa hii kitu wamebaki na Vitu vingi mioyoni mwao.
Jinsia na haiba yao inazidi kuwateketeza mithili ya moto wa nyika kwenye nyasi nyingi.hawasemi popote, kwakuwa tu wameshakaririshwa uanaume...