Tyler Perry: Kamwe sitakuja kuoa maana Ndoa ni Utapeli

Tyler Perry: Kamwe sitakuja kuoa maana Ndoa ni Utapeli

dronedrake

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2013
Posts
24,815
Reaction score
61,705
Muandaaji na muigizaji maarufu wa filamu nchini Marekani, Tyler Perry amenukuliwa akisema kwamba "hatakuja kuoa maana anaamini ndoa ni utapeli"

Ninacho ogopa siyo ndoa, bali ni talaka ambapo mwanaume hupoteza zaidia ya nusu za mali zake kumpa mtaliki wake pale wanapoachana

Ameongeza kuwa, anawajua watu maarufu ambao wamepoteza utajiri wao kutokana na talaka katika ndoa

Tyler Perry mwenye utajiri wa zaidi ya dola za kimarekani bilioni 1.4, sawa na TSh. 3,703,448,000,000 amefanya mahojiano hayo na The Jennifer Hudson Show ambapo amebainisha wazi kwanini hajaoa na hatakuja kuoa kamwe akiamini ndoa ni mtego wa kumnufaisha mwanamke na kumfilisi mwanaume.

Tyler ana mtoto mmoja aliyezaa na ex wake Gelila Bekele
=======================================================================

Tyler Perry Reveals The One Thing Keeping Him From Marriage

Tyler Perry has revealed that he has no plans to get married, saying divorce is what concerns him about marriage.

The filmmaker explained in an interview that he has seen financially successful people “go broke” after going through divorce.

According to Perry, those experiences have influenced his decision to remain single rather than risk the financial consequences he associates with divorce.

=======================================================================

perry.png
 
Mimi ninacho shauri vijana waoe ila wasioe wanawake my first born.

Huyu wangu anasomesha wadogo zake wanne,wazazi wanamtegemea,now anasema anataka kuwapelekea wazazi wake umeme kijijini

Likizo wadogo zake wote wanakuja kwangu(Dar kwa shem)
 
Nawewe leta ndugu zako mkuu mzani ubalance wenyewe
 
Back
Top Bottom