Tukutane 2056 kati ya wanaokubali ndoa na kataa ndoa

Tukutane 2056 kati ya wanaokubali ndoa na kataa ndoa

Akhi

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2021
Posts
5,653
Reaction score
9,781
Nawasalimu wakubwa na wadogo

Nimefikiria mada hii kwa uoni wa mbali sanaa mana vijana wengi humu ndani saivi wanabishana sana kuhusu ndoa na vijana hawa wengi ni wa 90's

Mpaka mwaka huo wengi wa vijana wa 90's kama tutajaaliwa kufika tutakua tushakua wazee sasa nataka tuje kuona wepi walikua sahihi kati ya hizi battle mbili

In shaa Allah tukutane 2056
 
Nyie mliooa mtakuwa mshakufa kwa presha za kulea watoto wetu
Kwa dunia ilivyoharibika, Usiamini sana wanaume wenzako ukawaachia watoto.
You better watch your back and your children back.
 
Back
Top Bottom