Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 63,634
- 107,701
Kwa nini Watanzania wanaogopa kusema "ngono" au "kutombana" badala yake wanasema tendo la ndoa (act of marriage) ?
Unakuta watu hata hawajaoana wanasema walifanya tendo la ndoa!
Ajabu ni kwamba ni rahisi kutamka "sex" lakini kwa Kiswahili wanaogopa!